Monsiour Michuzi,
pokea libeneke la Obamizo munamo jana mornie (asubuhi) wadau wako Wa EGPAF (Elizabeth Glaser Pediatric Aids Foundation) hao wakiwa wametwanga Fuuuuullllaaaannnaaazzzz za mkenya huyo mashuhuri
senkyu,
Wadau EGPAF

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

 1. jamani huyo si mkenya mashuhuri wala nini, habari nilizosikia leo kumbe orgin yake ni mjaluo wa shirati musoma tanzania, nasikia hata bbc wamesema, sasa watani wa jadi watatueleza nin? hebu fuatilieni wadau

  ReplyDelete
 2. Michuzi, hii siyo comment bali ni scholarship info kwa wanahabari. Josh  Fellowship invites African journalists to work in Germany

  Posted on: 17/10/2008 Fellowships and Awards, International Experience Deadline: 31/01/2009 Region: Sub-Saharan AfricaSouthern African journalists have the chance to compete for the Southern African-German Journalists‘ Bursary to work for two months in a media outlet in Germany. Applications will be accepted from December 1, 2008 to January 31, 2009.

  The program, sponsored by the International Journalists’ Programmes, seeks to foster relations between Africa and Germany, as it enables young journalists to gain valuable insights into Germany. Participants experience the day-to-day journalism of their host newsroom while also researching stories for their home media.

  Candidates must work for a media organization, be between 25 and 35 years old, fluent in English and come from the eligible countries: Angola, Botswana, Democratic Republic of Congo, Lesotho, Madagascar, Malawi, Mauritius, Mozambique, Namibia, South Africa, Swaziland, United Republic of Tanzania, Zambia and Zimbabwe. German is not mandatory.

  The fellowship 2009 begins in May with an introductory conference for all delegates, followed by the journalism internship. Applicants must submit their preferences for the newspaper, radio or TV station or news agency where they would like to work in Germany.

  Participants will receive a fixed payment of EU€3,000 (about US$4,035) to cover most of their travel, accommodation and living expenses.

  For information on how to apply, visit http://www.ijp.org/southernafrica.html?&L=1 or contact Marco Vollmar at vollmar@ijp.org.

  ReplyDelete
 3. Wenzenu wanaugombania mlima Kilimanjaro nyie mnagombania watu / mtu (obama)kama vp mkubaliane mbadilishane mlima Kilimanjaro for Obamaz nationality

  ReplyDelete
 4. Kila nchi afrika itasema ni mwanawe, kuna gazeti linasema kuwa babu yake ni mkenya wakati wa mkoloni alikuwa mpishi na familia alokuwa akifanya kazi ilihamia zanzibar huko ndiko alikosilimishwa na kuoa kabla ya kurudi kenya!!! unaona hayo!

  Mimi nauliza moja tu, waafrika wanasherehekea namna hii kwa matumaini gani? mnadhani umasikini na matatizo yetu ndio yamefika mwisho? wacheni ndoto, huyu ni mwamerika na ni rais wa amerika ataongoza amerika kwa principle zile zile za kimarekani.

  ReplyDelete
 5. acheni ushamba jama! kenya leo public holiday! the whole world is laughin at kenya for their ignorance.! mara bibi yake muhaya, mara mjaluo wa musoma.. either mkenya au mtanzania haibadilishi chochote.. he is president of usa,not kenya or tanzania,and doesn mean atatuwekea kipaumbele.

  ReplyDelete
 6. we annon Nove 6: 1:43 lazima ni genious. Ila pia kumbuka kwamna Africa inasheherekea si kwa sababu ya kutaka favour bali ni kwa Wamarekani kutambua kuwa Waafrica wanaweza! Hapa nilipo tokea jana wazungu wananizunguka kana kwamba ndiyo wananiona kwa mara ya kwanza wakati siku zote tuko pamoja. Kiwawatatanishacho ni kwa jinsi gani hawa wamarekani wamemchagua black wakati wenyewe hapa black ni daraja la chini kabisa duniani. Imewachanganya sana na wengine wanasema, ati wanangojea waone atakachofanya!

  ReplyDelete
 7. hi
  the people who loughed off @ kenya sayn they are ignorance are the once to be loughed @ since they are pure definition of inorance since kenya appreciates HISTORy a very important fact in ones life and OBAMA jus made history irregardleesly of his tribe or be it source of origin apart from him being BLACK
  so hate o love t take o leave t watch HISTORy being TELEVISED

  ReplyDelete
 8. OBAMA OBAMA OBAMA OOOOOO
  NI MTANZANIA DAMU-DAMU,Mt KILIMANJARO WA TZ,,,ila wakenya vyoooote ivi vyao kwa umakini wao wa publicity iliyo juu
  adi raha tih tih tih

  ReplyDelete
 9. Inatakiwa kuwa makini kwa wafanyakazi wa mashirika kama haya kushabikia siasa za vyama /maraisi..nilidhani nyinyi mnatoa huduma kwa jamii bila kujali raisi/chama kilicho madarakani...msingetumia picha yenye signboard ya shirika lenu kama ilikuwa ni muhimu sana kutuletea ujumbe wa kumpongeza Obama! Huo ni mtazamo wangu tu...niko radhi kupingwa

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...