Jamani eeeeeeh....
Hivi Chura mnamjua vizuri? Hivi chura ukimwangalia mnamwonaje? Amekaa, amechuchumaa, kainama, kasimama au?
Mdau Rhxoqsa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mdau uliyeuliza swali la chura ni kwamba vyote ulivyotaja ndivyo anavyo. Ni sawa na ukakuta wameweka TANGAZO likisema hakuna kukaa hapa. Lakini ukienda na kusimama au kulala hapo ni rukhsa kwani wamesema hakuna kukaa.

    ReplyDelete
  2. Yote ulosema yanalandana lakini kwa hakika Chura huchutama.. (dRU)

    ReplyDelete
  3. WEWE HAPO ULIPO, UNAKAA,UNASIMAMA,UNACHUTAMA NA KUCHUCHUMAA? JIBU LAKO NDO HILO HILO!

    ReplyDelete
  4. Unashangaa nini Mkuu kuhusu chura? Ile ndiyo miondoko yake au Mapozi yake aaaah! au unataka kutuchekesha tehetehe hii kali ya mwaka tehetehe.
    na tutasemaje kuhusu viumbe wengine kama kinyonga nk?

    ReplyDelete
  5. chura kakaa bwana we huoni matako yapo chini

    ReplyDelete
  6. mheshimiwa hapo mi naona jibu ni au

    ReplyDelete
  7. sina mbavu,aisee stress zoooote zimepungua leo duh!!afadhali

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...