Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Walikuwa wapi miaka yote hiyo kutamka kwamba Obama asili yake Tarime au wapi hadi pale alipofanikiwa kuwa Rais wa Marekani?This kind of behaviour reflects the lowest degree of mental maturity,infact a brain pint-size!Ni Ushamba na Ulimbukeni!Obama akiwa mjomba wako wa kubambika ndiyo iweje,utabadilika ghafla kuwa mashuhuri,mwenye akili na busara sana au utakuwaje?Sasa kauli kama hiyo ikitolewa na Mtu Mzima kabisa inatia wasiwasi mtu huyo kapevuka kiakili kiasi gani?No person on earth has had a fixed abode since creation.Everybody has been on the move from the word GO in search of Greener Pastures!Utakaaje mahali pamoja miaka yote iwapo malishio na maji kwa mifugo yako vyote vimenyauka?When God created the Earth he never put boundaries separating countries from each other,or did he?Its the Person himself or Herself being so SELFISH thought he would annex a part of the World to himself and make it a World of his own probably he would richer and happier than before and than the rest of the other people whoever they are!But it never worked.Instead it has brought untold miseries to this Beautifull Planet!And so why should people not move from place to place in search of greener pastures?The Obamas did!So where does that put you? Labda huyo anayejidai kwamba Obama katoka Tarime,atueleze wazazi wake kabla ya kuhamia Tarime walitoka wapi?wapi na wapi na wapi na wapi......etc?Aisee utachemsha!-tonny-
ReplyDeleteJaluo kachukua nchi
ReplyDeletehiyo hawataweza ficha kwani wakianza mambo ya family tree itampeleka tarime kama siyo ruvuma
ReplyDeleteWanaomgombea Obama wakamwulize mdogo wake George Obama alisaidiwa vipi na kaka yake kwanza! Huo ni upuuzi na ujinga wa watanzania.
ReplyDeleteTena msijekushangaa sana kuwa Pres Obama hatoweza kuisaidia Kenya au nji yoyote ya afrika kifedha kama Pres Bush alivyoipiga tafu serikali ya JK!
Watanzania tutulie tufanye kazi na tupambane na mafisadi tunaoishi nao kwenye makazi yetu kuliko KUJIKOMBA kwa Obama.
THAT SH*T STINKS WATANZANIA
hivi mnazania bush kasaidia bure? Hakuna cha bure hata siku moja , wanajidai msaada ila wanachopata toka kwetu ni zaidi ya walicho toa.Watanzania tuamke hakuna cha bure dunia hii, tena kabisa toka kwa mtoto wa Kichaa!
ReplyDeleteMi nawashangaa hata hao waliojipumzisha siku nzima eti kisa Barack kawa rais wa marekani.I thought those people are smarter than us! I was dead wrong!
ReplyDeleteJamani mi labda sikumwelewa Kipanya! Nilifikiri ametoa ujumbe tu kwa njia ya kutuchekesha na kuona jinsi gani sasa Waafrika tunavyotaka kujikomba kwa Obama kuwa katoka kwetu ili tupate misaada! Kwa kweli mi nilijisikia aibu kusikia watu wamepumzika siku nzima kisa Obama kashinda!Sasa watu wote huko nje tutajiita Wakenya! tena tutabadili na makabila!Mi kuanzia leo jina langu Onyango!Na wengine watafikiri huyu mwenzetu mana katoka upinzani kumbe kwa Marekani kila wakati kama si Republican basi ni Democrat!Na wanaheshimiana!
ReplyDeleteNyie wote mnaopinga wakenya kupumzika inaonekana ni watumwa wa fikra, wazungu wamewatawala mpaka fikra, na kama sio hivyo basi mmesahau historia. Hivi na nyie kwa akili zenu kabisa mnadhani wakenya na waafrika kwa ujumla wanashareheka eti kwa sababu Obama atawapa misaada. Kama mnafikiri hivyo basi ninyi ni wavivu wa kufikiri. Nani asityejua hali ilivyokuwa miaka kadhaa huko nyuma (infact, mpaka sasa)kuhusu ubaguzi wa rangi? Nani asiyejua kuwa watu weupe si tu wanambagua mweusi bali pia hawamuamini katika jambo lolote, wanamuona ni mtu wa daraja la tatu, na ubaguzi huu umeendelea hata kwenye dini. Kwetu sisi kuona mtu mweusi anashika nafasi kubwa namna hiyo duniani, tena kwa kuchaguliwa na wazungu hao hao, ni ushindi mkubwa sana. Ninyi nyote mnaokandia, mnataka kusema kuwa Afika ya kusini nao wasingeshangilia siku makaburu walipoangushwa kisa tu eti hata huyo muafrika mwenzao aliyachaguliwa hatawasaidia kitu pengine bora ya yule mweupe aliyeondoka. Mnaniudhi sana mnavyojikomba kwa hao wazungu, sana yani.
ReplyDeleteMimi nami kuanziya leo nitaitwa obieni otieno ili nikiwa majuu wajuwe kwamba ni jamaa yake OBM. kaka KP kweli unatisha. Keep it up so that we could laugh in order to reduce stress. Acheni kufanya huu uwanja wa siasa, hapa ni vichekesho tuu.
ReplyDeleteDMX