Mkurugenzi wa Fedha wa Zain Tanzania,Heiko Schlittke (kulia) akikabidhi kombe kwa mchezajigofu, Daudi Helera kwa kuibuka mshindi katikamashindano ya gofu ya Zain Corporate Challengeyaliyorindima katika viwanja vya TPDF Lugalo, Dar esSalaam mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Fedha wa Zain Tanzania,Heiko Schlittke (kulia) akikabidhi kombe kwa mchezajigofu, Keval Shah kwa kuibuka mshindi miongoni mwawaliopiga mpira ukakaribia kuingia shimoni katikamashindano ya gofu ya Zain Corporate Challengeyaliyorindima katika viwanja vya TPDF Lugalo, Dar esSalaam mwishoni mwa wiki.

John Mhina (kushoto) na Florah Mkumbowakiimba wakati bendi ya Tanzanite ilipotumbuizakatika mashindano ya gofu ya Zain Corporate Challengeyaliyodhaminiwa na Zain na kurindima katika viwanjavya TPDF Lugalo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.


Mkurugenzi wa Fedha wa Zain Tanzania,Heiko Schlittke akitazama mpira baada ya kuupigawakati wa mashindano ya gofu ya Zain CorporateChallenge yaliyorindima katika viwanja vya TPDFLugalo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya ZKAdvertising Ltd, Clem Young akijiandaa kupiga mpira wakati wa mashindano ya gofu ya Zain CorporateChallenge yaliyorindima katika viwanja vya TPDFLugalo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hii kiwanya kwa watu wa Eaglez kama sisi mhh ngojea nirudi bongo nitachapa wote hihihih

    ReplyDelete
  2. Hizo fairway mbona ni vichaka namna hiyo..na hizo rough na out of bounds zitakuwaje? Glad to hear kwamba Zain wana promote golf Tanzania. We need that!. Tatizo ni kwamba sidhani kama sisi civilians tutaweza kuruhusiwa kucheza kwenye facilities kama kwenye hiyo golf course ya Jeshi.
    Personally, I think this is one of the best business in Dar.

    Phatlorenzo--MN

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...