kaka Michuzi,
tunakushukuru kwa kazi uifanyao ya kutuarifu mambo ya huku nyumbani.mimi ni mwanafunzi huku Malaysia.nimekuwa nikimtafuta dada Lilian Simon Shija kwa miaka mitatu bila mafanikio.nilimaliza naye form 4 mwaka 2005 kule Happyskilful,Segerea.
yoyote anayeweza kumfahamu aliposasa anitumie info zake kwenye email yangu: marcelinambogo@yahoo.com
POLE SANA NDUGU YANGU- HUYO DADA TUMEMZIKA JUZI TU. MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI
ReplyDeletehivi kama hamjui,au hamna information ni bora kutojibu kabisa kuliko kusema uongo
ReplyDeleteannon hapo juu, you are just out of order.. you are not funny...
ReplyDeleteYeah hata mimi nimeshaona kuna mtu kila post ya watu wanaotafuta wakwao anasema tumeshamzika. Nimejiuliza ni kweli hawa watu woooote wanaotokea kutafutwa humu kweny blog wamefariki au ?????
ReplyDeletenahisi huyu mtu ana akili za kitoto au hana life kwa hiyo kakalia kujibu kutwa kucha kila post zinazowekwa huku vinavyomtuma kichwani kwake.