Barack Obama akila nondozz wakati wa mahafali ya kumaliza sekondari shule ya Punahou School mwaka 1979 huko Hawaii (samahani, sio Jakarta, Indonesia).
mama na mwana

Akipongezwa na nyanya yake wakati wa mahafali ya kumaliza sekondari . Hawa ndio waliomlea alipokuwa Hawaii wakati mama yake alipokuwa anaishi Indonesia.
enzi za ujana wake huko Hawaii

akiwa na baba yake wa kufikia na mama pamoja na mdogo wake Maya

Barack Obama Sr. akipozi na mwanae huko Honolulu alipokwenda kumuona. wakati huo Obama mdogo alikuwa darasa la tano

Barack akiwa bado dogo

Barack Obama na babu na nyanya wake Stanley na Madelyn Dunham walipomtembelea mwaka 1982 huko New York ambako Obama alikuwa akisoma chuo kikuu cha Columbia university.
Barack Obama akiwa na nyaya yake kwa upande wa baba, Sarah Hussein Obama
Toka shoto ni dada yake Auma, mama ya dadaye Kezia Obama, Obama's nyanya wa kambo Sarah Hussein Onyango Obama na ndugu mweingine. Juu wa kwanza hajatajwa, Obama mwenyewe, kaka yake Abongo (Roy) Obama na wanaofuata hawajatajwa.

Mungu ampe nini tena Obama na familia yake... Donda?

Obama's first morning as president-elect was spent in more prosaic duties. He had breakfast at home in Chicago with his two daughters, then headed to the gym for a workout. He planned a stop at campaign headquarters later to thank his staff.
Obama won at least 349 Electoral College votes with two states still too close to call. With 96 percent of the popular vote counted, he led McCain by 52 percent to 46 percent.
Democrats gained at least five Senate seats and about 20 in the House of Representatives, giving them a commanding majority in Congress and strengthening Obama's hand. Four Senate seats remained undecided.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

 1. ahaa obama huyo na ua lake kweli riziki ya mtu usilalie mlango wazi wa kushinda ni wa kushinda tu,jamaa ana akili nyingi sana + msomi, anastahili kuwa na akili zinazomwagika zenyewe kwani inasemekana babu yake mzee baba ni mhaya wale wasomi waliotukuka kwa kupenda elimu, hongera obama

  ReplyDelete
 2. obama,a man like u should have a gym at your house, if nelly the rapper has one at his crib, why not you my nigga?

  anyways hongera sana,mzee naona mambo yashaanza kukunyookea.. tafadhali usiwe fisadi,na kutuibia pesa za weusi wenzetu wa damu!.. because thats like our money my nigga

  ReplyDelete
 3. i love obama,lakini kwanini anambusu mkewe hadharani?hii tabia sio nzuri,kuna watu na wa rika mbalimbali wanaangalia.mi juzi naangalia na mkwe wangu eti mara akamhaggy afu akambusu mkewe.nilisikia nongwa ya ajabu nikatamani ardhi ipasuke

  ReplyDelete
 4. Dogo acha kamba. Punahou School iko Honolulu, Hawaii.

  ReplyDelete
 5. WABONGO BWANA! ETI SAIVI OBAMA MHAYA WE ANON WA 1 ACHA UZUSHI!

  ANON WA 2,NIMEKUSTAHI! GO TO SCHOOL AND LEARN PLEASE. AND DONT USE THE WORD 'NIGGER' SAWA? UPUUZI MTUPU

  ANON WA 3 NAWE NIMEKUSTAHI,MAANA SIJUI UNAISHI DUNIA YA WAPI!

  PICHA NZURI SANA MICHUZI,NIMEFURAHI KUZIONA.KUMBE ALIENDAGA UJALUONI MZEE MZIMA..ILA KAJISWALI KWENYE TUTA, MBONA INASEMA JINA BARRY OBAMA.. INAKUAJE?

  ReplyDelete
 6. Huyo anayeshangaa mtu akikiss hadhani mhhhh...hizi ni culture za watu na ni tofauti...

  Lakini nimeishi miaka mingi sana huku na wala sioni ni jambo la ajabu...kwavile showing your love to the one you love sio jambo la kuficha...kwanza hawafanyi turn kiss wanakiss normal on a kiss....ulimwona al gore kwenye 2000 uchaguzi yeye alimkiss mkewew turn kiss mbele ya watu watch here ndio utajua kuwa Obama pale it was nothing

  http://www.extrememortman.com/presidential-election/great-kisses-in-democratic-candidate-history/


  It is real not a bid deal kuonyesha upendo kwa mkeo hadhani... Sasa huyo mama mkwe yeye hajui kupendwa au akijua mtoto wake anakupenda itakua noma?

  Unakumbuka ule wimbo unasema if you are happy and you know clap your hands........yeah if you are in love and you know show it....hold hands etc ..... na mkifanya hivyo ....

  ReplyDelete
 7. Msiwe waandishi waongo kiasi hiki. Waandishi wa habari muwe na habari kamili za uhakika kila mara. Hiyo shule haiko Jakarta, Indonesia, kama ilivyoandika iko Hawaii- USA.
  Huko Jakarta alisoma shule ya msingi tu, na alikaa huko kwa miaka minne tu.

  ReplyDelete
 8. Kumbusu mkewe hadharani sio ajabu. Mbona kwenye maharusi watu wanabusiana mbele ya wazazi wao, ndugu zao pamoja na marafiki zao? Kama mnapendana kwa nini mjifiche ukizingatia siku yenyewe ni ya furaha kubwa? YES WE CAN! YES WE CAN! YES WE CAN! OUR MOMENT HAS COME!
  Mdau, UK

  ReplyDelete
 9. wewe wa comment ya 1:27am hapo juu, acha uzee uzee wako. US hapa unamkiss mke wapo popote. Sasa which is better kukiss mke wako hadharani au kuwa na more than one wife which is very common in Africa.

  ReplyDelete
 10. Come on! Here in USA and Europe you can kiss your wife anyway at anytime. There is nothing wrong to kiss your wife in the public. Which one is better kissing your wife in the public or married to more than one woman? which is most of the African leaders and rich men do....you tell me!. The guy leaves with modern countries traditional and standard not African culture..Sorry bro!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 11. Anon wa November 06, 2008 1:15 AM...toa fikra duni zako hapa. Unaonyesha ujinga kuongea maneno kama hayo. Eti Nelly wana gym nyumbani basi na yeye awe nayo. Unajua tofauti ya kipato chao au kwa sababu umesikia kashinda urais ndo unadhani ka-win kinoma. Unadhani kuwa rais marekani ndo kuwa fisadi. TOA UJINGA HAPA.
  Anon wa November 06, 2008 1:27 AM...umechoka vibaya. Kama huna mapenzi na mkeo ya kuonyesha hadharani KAA KIMYA. Wat Obama and his wife do is perfectly normal.

  HONGERA SANA MR OBAMA. TUTAONANA INAUGURATION DAY- JAN 20TH 2009 NDANI YA WASHINGTON DC.

  mtoto

  ReplyDelete
 12. ANON November 06, 2008 1:15 AM
  Acha ujinga, usipende kurukia vitu ambavyo huvijui. Obama sio nigga.
  Neno Nigga limetokana na negro, maana yake ni mtumwa.Obama baba yake dunia nzima inajua alitoka Kenya akaenda kusoma Marekani. degree ya kwanza na ya pili akaenda Havard University.
  Tofautisha kizazi cha weusi wa Marekani waliotoka mashambani utumwani ktk miongo mingi iliyopita.Eboooo!!!

  ReplyDelete
 13. Hata mimi nime-i-google, ni kweli Punahou School iko Honolulu, Hawaii.

  Halafu Obama aliondoka akiwa mdogo Indonesia alipelekwa Marekani kwa bibi yake

  ReplyDelete
 14. Duh! KAFANANA na MAMA YAKE kama njegere!

  ReplyDelete
 15. Wewe unayesema obama kambusu mkewe hadharani acha ushamba. ninyi ndo mnaofikiri kubusu ni sexual activity kwa wenzio ni upendo...watu wa ngono bwana...

  ReplyDelete
 16. Huyu aliyetoa comment ya kwanza naomba usiwafaamishe hao wahaya kuhusiana na hilo maana unawajua tena. Historia inaonyesha kuwa babu yake kwa upande wa baba ni mhaya kweli.

  ReplyDelete
 17. Wabongo! ukiongelea swala la kwenye mjadala hata kama mjadala wenyewe haukuwa wa mapenzi basi ule mjadala wa mwanzo watausahau na kuendelea na issue za mapenzi. Angalia watu wengi wasioipenda au kuiweza biology ( naongelea kipindi cha o level) lakini mkifika kwenye topic ya reproduction basi kila mtu anaingia darasani na watu wanachangia mtindo mmoja. Wabongo tunapenda sana mambo ya chachandu!

  ReplyDelete
 18. Nyie ma-anoniz acheni uzushi, mmesha waona wahaya matapeli sana au wanapenda mambo makubwa???
  Hebu tupeni hiyo web-link inayoosha babu yake Obama upande wa baba yake ni mhaya??

  ReplyDelete
 19. Msidanganywe na Wabongo wasiojua kitu hapa lakini watajifanya wanajua sanaaaaa!Fungueni websites zifuatazo kwa habari za uhakika na ukweli zaidi kuhusu historia na maisha ya Obama:www.barackobama.com;au www.obamabook.org/;au unaweza kuvisoma vitabu vyake viwili ambavyo ndivyo vilivyo mkweza na kumuuza kwa wapiga kura wake wote wa marekani,vitabu vya - cha kwanza kinaitwa,DREAMS OF MY FATHER;na kingine kinaitwa,THE AUDACITY OF HOPE,ambacho kilipigiwa sana debe na Oprah Winfrey,vitabu hivyo waweza kuvisoma kupitia YourObamaBook@yahoo.com;au kwa kutembelea Obama Book Resource Center.Obama Mobile ni Text HOPE to 62262 kwa kutanguliza code za Marekani;pengine hivi sasa kesha pata Urais pengine mobile hiyo itakuwa vigumu kuipata,lakini jaribu usikate tamaa!Kitu muhimu hapa vijana wetu Tanzania ningependa mvijue ni kwamba Obama kapitia maisha karibu yaleyale ambayo vijana wetu hapa nchini wamepitia,taabu zilezile,shida zilezile lakini Obama alikuwa na bidii sana katika kila alilolifanya na aliyafanya akiwa na malengo maalum katika maisha.Muhimu zaidi ni kwamba alijaliwa Akili sana na Muumba wake.Maisha yake yote amelelewa na Nyanya wake na alisoma kwa kujituma sana.Kwasababu Marekani ni nchi yenye fursa tele za kujiendeleza aliweza kuzitumia fursa hizo na kufikia hatua aliyofikia.Intelligence;Hope;HardWork;Determination;NEVER GIVE-UP!Pitieni hizo websites zake mtajua ninacho kizungumza hapa.Pengine na wewe pia pengine utakuja kuwa Obama kwa Tanzania mwaka 2010!Good-Luck and Best Wishes!-tonny-

  ReplyDelete
 20. MHAYAAA??? EBU ACHENI ZA KULETA APA ALAAAA,,,teh teh teh uwiiiiii sina mbavu yan
  khaaa OBAMA KAZI ANAYO

  ReplyDelete
 21. familia yake iyo ya kibongo apo,,duh sijui itawatokea nini??watapata "neema ya kijana wao kweli awaa??"
  sijui itakuaje,,,ivi bibi yake mkenya keshaendawhite house??au

  ReplyDelete
 22. obama ni mhaya pure achani wakenya tena jina La asili ni Rwegasila

  ReplyDelete
 23. Na nyie mjifunze kuchagua kiongozi kwa sifa za uongozi sio vingi. Tanzania kweli haina ukabila ila hisia za kidini ziko juu vibaya mno. Kuna watu watamchagua mtu wa dini nyengine kama wanahisi huwa hasali. Hii ni njia potofu kisiasa. Hamna mtu bongo atakuwa raisi wa dini bali wa watz. Kwanza dini yake we inakuhusu nini?

  ReplyDelete
 24. ...samahani, sio 'turn kiss' ni 'tongue kiss'. ni hilo tu...

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...