gadna g. habash wa clouds 88.4fm akila stori na bosi wa uhusiano wa vodacom tz mwamvita makamba kabla ya filamu mpya ya james bond ya quantum of solace kuanza kuoneshwa usiku huu kwenye ukumbi wa sinema la mlimani city, dar. vodacom ndio waliodhamini onesho hilo la kwanza ambapo wadau wake waliingia dezo
baadhi ya wadau wakipata vilaji kabla ya kuingia ukumbini kuona picha hiyo mpya ya james bond 007 ya quantum of solace katika ukumbi wa sinema wa mlimani city usiku huu




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. PLS mwamvita naomba namba OR EMAIL ya ally mwambie mimi jamaa yake wa ununio islamic high school , nimejaibu kutafuta contact zake nimeshindwa,i think this is only way i can contact him my EMAIL : soudnorman@yahoo.co.uk TEL:+447958748714 THANX!

    ReplyDelete
  2. Naona wenzetu Dar mnapeta tu!

    ReplyDelete
  3. KIBOKOOOOOOO!! HIYO MOVIE IMESHATOKA KUMBE? NAONA ONLINE WANASEMA USA ITATOKA NOV.14.. JE BONGO WANAPATA ACCESS YA HIZI MOVIES KABLA YA USA? NICE NICE NICE!!! ENJOY...

    ReplyDelete
  4. aah Le-movie lenyewe linaboa kinoma jamaa kachemka..bora ya mwanzoCASINO ROYALEE. Naona hii imepelekea hata jamaa mwenyewe kuwa wazi kwamba next bond sasa inabidi awe Mnegro,jamaa naoona anaweza kuachia ushukani anyTM. o Hiyo movie ishatoka kitammbo na nchi nyingi wameashaaangalia kabla ya MAREKANI. Hivyo mdau hapo juu usistuke sana ...BONGO TAMBARARE TUUUUUUUU.....BORED MOVIE..

    ReplyDelete
  5. khaaaaa yani ao woote apo wasubiri movie ya bure???hahahaaaa

    ReplyDelete
  6. nakuonamzee gadna aka mzee wakulelewa vipi tena unataka kujiweka kwa mwamvita kama kawaida yako maslai mbele mapenzi baadae

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...