Wamiliki wengine wa kampuni tano zilizohusika kuchota mabilioni ya fedha katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT), jana walifikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kughushi nyaraka na kuiba.
Washitakiwa hao ni Falijala Hussein, Rajab Maranda ambao ni wamiliki wa kampuni za Mbale Farm; Lashashi Tanzania Ltd, Money Planners Consultant na Kaloloma & Brothers. Mwingine ni mkazi wa Arusha, Japhet Lema anayemiliki Kampuni ya Njake Enterprises ya Arusha ambayo nayo ilijichotea mabilioni kutoka katika akaunti hiyo ya EPA.
Habari kamili bofya hapa.
Kwa kujua EPA ilifanyika vipi soma hii confidential link kutoka kwa wakaguzi.
ReplyDeletehttps://secure.wikileaks.org/leak/tanzania-epa-report.pdf
Ni kweli deni lilianza miaka 27 nyuma.
Sasa hata mtu mjinga , atakuambia mtu kama Lukaza alikuwa na miaka kama 15 wakati huo, sasa hilo shirika lake lilihudumia nchi akiwa na umri huo wa miaka 15 ni utapeli ambao hata mtoto wa sekondari atakuambia.
Wakubwa wa wizara ya fedha na BOT pia nao wahusishwe hapa maana ;
They also engaged with conspiracy activities and racketeering with EPA. Kuwashtaki wafanya-biashara tu pekee yake ni uongo mkubwa (scapegoat). Tunataka wale waliowafanya wakaiba.
ETI HII NI FILAMU YA KINAIJERIA? BILLIONEARS CLUB? KAMA NI HIVYO MBONA WALE WA NDANI YA BUNGE HAWAMO?
ReplyDeleteJamani wajinga ndiyo waliwao,msilalamike sana wacha hao waliokamatwa waseme kama walikuwa na wenzao nyie mtapiga kelele tuu ukweli wao ndio wanaujua kama wameamua kujitolea haya kazi kwao...ila Kaka Johnson Lukaza ulikula raha sana(Kweli kutesa ni kwa zamu jamani!!)
ReplyDeleteTRUE STORY KWA KAKA MICHUZII!!KWELE JAMAA WALITANUA - jamaa alipakiza 2 VOGUE ( RANGE ROVER NEW MODEL )AT THE SAME TIME ndani ya BRITISH AIRWAYS CARGO MWAKA JUZI,WAMENUNUA NYUMBA MASAKI ZA KUFAA MTUU!YANI ILIKUWA UKIWASIFIA KUWA WAO NI MATAJIRI WA DAR ANAKUPA ELFU 10 CASH!YANI MPAKA WATU WANAOGOPAA!KUMBEEEEEEEEEEEE>>>>>EPA
ReplyDeleteWATU WALIJUWAJE KUWA KUNA PESA YA EPA BOT? LAZIMA KUNA INSIDERS WALIOBONYEZA WATU KUWA KUNA PESA HUKO NJONI TUZILE, MTU WA NJE PEKEYAKE HAWEZI KUJUWA HILO, NI WATU WAKUBWA NDIO WALIOTAFUTA HAWO WATU NA HAO WAFANYAKAZI WANAENDA NA MAJI KWA AJILI YA UTENDAJI NA MIKONO YAO/SINGNATURES, WASIKUBALI KUFA PEKEE YAO WASEME UKWELI.
ReplyDeletewhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat????
ReplyDeleteasa uyo mama komu sijui ni balaa afu si mke wa naniiiii???uko segerea wanalala special rooms wth good special services