pamoja na kwamba yupo kifungoni wikiendi hii tid anatoa singo yake mpya (juu) pamoja na salamu kwa wadau wote. salamu zake ziko juu ya kava ya singo hiyo ambayo globu ya jamii imeipokea na kuisikiliza sasa hivi. kibao 'siwezi' kilichomo humo ni kikali...




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. uncle michuzi mbona hujatuwekea link ya huo wimbo tumemmiss tid wetu mungu amjalie ampe faraja na nguvu nawalomkandamiza wajue what goes around comes around tid we salute u

    ReplyDelete
  2. kafungwaaa???for how long??kwa lipi aswaaa

    ReplyDelete
  3. UTAKOMA KURINGA; Teh he he heee. Pole sana bwana mdogo TID, ndiyo maisha ndugu yangu.

    ReplyDelete
  4. Tatizo lako michu unaminya sana comments. hapo hata blog yako inakuwa unainyima uhai ambao ingekuwa nayo. We flash tu comments za watu. Nini unaogopa?! Anyway, is up to you bwana

    ReplyDelete
  5. the next tupac...

    ReplyDelete
  6. anon wa 2,mbona upo slow sana? kafungwa for one year.. yupo in ..ze segerea!

    aisee... ompyuta zipo hadi segerea?safi sana..LOL..HUO UJUMBE SIO WA TID,CHANGA LA MACHO HILO,HUO UJUMBE UTAKUA UMETYPIWA NA MANAGEMENT YAKE NA NDIO WALIOTUNGA MANENO HAYO YA KUSIKITISHA ILI SINGO IUZWE.MNAKUA KAMA HAMJUI

    ReplyDelete
  7. ni tegemeo langu tid ukitoka huko segerea utakuwa ustaadh na kuwacha hayo mambo ya shetani inshaallah.

    ReplyDelete
  8. Only in Tanzania mtu anafungwa jela na still anaweza kutengeneza nyimbo. Huko jela kuna studio?

    Namwonea huruma sana wahalifu wa kweli wako nje wanatembea lakini wakikutaka wakupunguze umaarufu watakuweka jela no matter what.

    Je bongo kuna sheria ya kutolewa nje kwa nidhamu njema huko jela? Kwanza huyu wamgempa probation tu. Jela mwaka mzima kwa kosa lile basi waizi na mafisadi wa Epa watafungwa for life au watahukumiwa kufa.....teht teh eteh ete het ...shame on them.

    ReplyDelete
  9. Huyu TID ametupwa ndani ili iwe fundisho kwa mastaa wengine, wasidhanie wako above the law, kwa niyo hii ni fundisho kwa mastaa wengine - muwe mnatumia akili pale ambapo mnataka kuonyesha ubitozii wa kishamba shamba. Ni hayo tu

    ReplyDelete
  10. Hivi Nyie hamjui kusoma au Kiingereza Laini kilichoandikwa bado Kigumu?? Nanukuu "For now this m"a"ssage comes to you with my new single "siwezi" which I recorded two weeks before i was sentenced to jail...."

    Na Huyu aliyeandika hiki Ki-Msg sijui maimuna mana dah!...Acha nisichonge "massage, Run ons..." duh.

    BoOSt3D

    ReplyDelete
  11. afu wewe anon 11:28 nshakujua wewe! sijui ndugu yake tid. hapa ishu ni mwimbo,we unaanza kuleta ishu za asifungwe. KAUMIZA VIBAYA MNO MTOTO WA WATU,kwanini asifungwe?ingekua mlalahoi mwingine msingetetea,eti kisa TID.. sheria haina cha super star wala nini..kawaulize huko kina kobe bryant watakwambia

    ReplyDelete
  12. Michuzi hongera unatumia window vista.

    ReplyDelete
  13. TID ametoa kibao akiwa Segerea duh! basi yeye ni mamba maana mamba anacheza popote 'majini na nchi kavu'. Keep it up TID na ukitoka ukae mbali na watotot wa watu!
    Chagy Girl, Boston

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...