Home
Unlabelled
salamu za lupango toka kwa TID
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
uncle michuzi mbona hujatuwekea link ya huo wimbo tumemmiss tid wetu mungu amjalie ampe faraja na nguvu nawalomkandamiza wajue what goes around comes around tid we salute u
ReplyDeletekafungwaaa???for how long??kwa lipi aswaaa
ReplyDeleteUTAKOMA KURINGA; Teh he he heee. Pole sana bwana mdogo TID, ndiyo maisha ndugu yangu.
ReplyDeleteTatizo lako michu unaminya sana comments. hapo hata blog yako inakuwa unainyima uhai ambao ingekuwa nayo. We flash tu comments za watu. Nini unaogopa?! Anyway, is up to you bwana
ReplyDeletethe next tupac...
ReplyDeleteanon wa 2,mbona upo slow sana? kafungwa for one year.. yupo in ..ze segerea!
ReplyDeleteaisee... ompyuta zipo hadi segerea?safi sana..LOL..HUO UJUMBE SIO WA TID,CHANGA LA MACHO HILO,HUO UJUMBE UTAKUA UMETYPIWA NA MANAGEMENT YAKE NA NDIO WALIOTUNGA MANENO HAYO YA KUSIKITISHA ILI SINGO IUZWE.MNAKUA KAMA HAMJUI
ni tegemeo langu tid ukitoka huko segerea utakuwa ustaadh na kuwacha hayo mambo ya shetani inshaallah.
ReplyDeleteOnly in Tanzania mtu anafungwa jela na still anaweza kutengeneza nyimbo. Huko jela kuna studio?
ReplyDeleteNamwonea huruma sana wahalifu wa kweli wako nje wanatembea lakini wakikutaka wakupunguze umaarufu watakuweka jela no matter what.
Je bongo kuna sheria ya kutolewa nje kwa nidhamu njema huko jela? Kwanza huyu wamgempa probation tu. Jela mwaka mzima kwa kosa lile basi waizi na mafisadi wa Epa watafungwa for life au watahukumiwa kufa.....teht teh eteh ete het ...shame on them.
Huyu TID ametupwa ndani ili iwe fundisho kwa mastaa wengine, wasidhanie wako above the law, kwa niyo hii ni fundisho kwa mastaa wengine - muwe mnatumia akili pale ambapo mnataka kuonyesha ubitozii wa kishamba shamba. Ni hayo tu
ReplyDeleteHivi Nyie hamjui kusoma au Kiingereza Laini kilichoandikwa bado Kigumu?? Nanukuu "For now this m"a"ssage comes to you with my new single "siwezi" which I recorded two weeks before i was sentenced to jail...."
ReplyDeleteNa Huyu aliyeandika hiki Ki-Msg sijui maimuna mana dah!...Acha nisichonge "massage, Run ons..." duh.
BoOSt3D
afu wewe anon 11:28 nshakujua wewe! sijui ndugu yake tid. hapa ishu ni mwimbo,we unaanza kuleta ishu za asifungwe. KAUMIZA VIBAYA MNO MTOTO WA WATU,kwanini asifungwe?ingekua mlalahoi mwingine msingetetea,eti kisa TID.. sheria haina cha super star wala nini..kawaulize huko kina kobe bryant watakwambia
ReplyDeleteMichuzi hongera unatumia window vista.
ReplyDeleteTID ametoa kibao akiwa Segerea duh! basi yeye ni mamba maana mamba anacheza popote 'majini na nchi kavu'. Keep it up TID na ukitoka ukae mbali na watotot wa watu!
ReplyDeleteChagy Girl, Boston