Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Kat Deluna alifanikiwa kuzikonga nyoyo za washabiki waliofika kwenye tamasha la fiesta ile mbaya
Viwanja vya lidaz club vilifurika ile mbaya huku shangwe kama kawa

Bendi ya Fm Academia a.k.a Wazee wa Ngwasuma ndio pekee walialikwa kwenye tamasha hilo la fiesta na kuwakuna vilivyo watazamani na wapenzi wa bendi hiyo waliofika viwanjani hapo




Wane Star pamoja na kundi lake jukwaani wakicheza ngoma ya asiri

Kikundi cha Wane Star kikicheza na bonge la nyoka aina ya chatu jukwaani mwishoni mwa wiki kwenye tamasha la Fiesta Jirambe 2008 ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar.Kwa picha zaidi za tamasha hilo ingia michuzijr.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. VIJANA WA KIBONGO WANGEKUWA WANAJITOKEZA KWENYE KUPIGA KURA KAMA WALIVOJAZANA LEADERS,,,VIONGOZI MAFISADI, WASIOKUWA NA MWELEKEO WALA JIPYA WASINGEPENYA..HATMA YA TAIFA IPO MIKONONI MWENU,ACHENI KUENDEKEZA STAREHE NA KUONA SIASA HAZIWAHUSU.
    Mbongo mwenzenu,Ethiopia!

    ReplyDelete
  2. yani bendi ya fm academia ndio pekee walialikwa ku perform au hapo ni mchapio,michuzi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...