bongo darisalama inazidi kuwa tambarare, sema sehemu za kupaki magari ndio mgogoro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kaka hebu tupe habari kamilikamili basi. Hii maktaba squire unamaanisha ni pale maktaba kuu ya taifa (Maktaba complex) ama wapi. Maana najaribu kuvuta kumbukumbu zangu nimeshindwa kuelewa hiyo benki imejengwa maeneo gani. Hata hivyo tunawashukuru kwa kutuongezea ajira Tanzania

    Mdau
    Cardiff

    ReplyDelete
  2. Huo ndio upuuzi, unajenga jengo kubwa kama hilo na hujui wateja watapaki magari sehemu gani?

    Ulaya kama linajengwa jumba kubwa na linataka kuhudumia wateja wengi basi wanachofikiria kwanza ni wateja watapaki magari wapi.

    Kwa maana hio jengo kubwa linaanzia na parking ambayo imechimbwa chini ndio liendelee kwenda juu.

    ReplyDelete
  3. Mimi nimefurahishwa na huyo mama anayekatiza,mashallah! kajifunika vizuri khanga au sijui vitenge viko very colorful mashallaha ,mwanamke kujistili.

    ReplyDelete
  4. Bank of india??

    ReplyDelete
  5. Watu wengine bwana, yaani picha nzima umeona mwanamke tu?

    Haya bwana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...