huwa nafarijika sana kupata bahati ya kugongana na wadau toka sehemu mbalimbali duniani, maana bila wao libeneke lisingefika hapa, nawashukuru sana wadau wote. safari hii nimegongana na wadau toka toronto, canada, nao wamenipa moyo sana katika kuendeleza libeneke. nami panapo majaaliwa nawaahidi wadau wote kutowaangusha
huwa nafarijika sana kupata bahati ya kugongana na wadau toka sehemu mbalimbali duniani, maana bila wao libeneke lisingefika hapa, nawashukuru sana wadau wote. safari hii nimegongana na wadau toka toronto, canada, nao wamenipa moyo sana katika kuendeleza libeneke. nami panapo majaaliwa nawaahidi wadau wote kutowaangusha

Wameiwiva ile mbaya! Haya huyo dada.
ReplyDeleteHe! kama ndoto vile nakuona kaka John Kalonga na da Specy hongera sana,nimefurahi kukuona kaka John ni siku nyingi sana.
ReplyDeleteNawatakia heri ya mwaka mpya uwe wenye mafanikio kwenu wotee!!!
Sick.
mkonos kwa back..............!
ReplyDeleteHuo mkono baba. SIjui una nini!
ReplyDeleteHatukuwezi kwa mikonozz.
ReplyDeleteHuo mkono wako wa kulia umeuweka wapi? maana hilo bega lilivyopanda!
Space, habari za Toronto?Mkuu John Kalonga nakuona babavipi Ottawa?Vipi mlikuwa kwa harusi ya mtoto wa CISCO nini?
ReplyDeleteNi kweli kabisa kaka Michuzi tunakukubali sana globu yako inatupa nyuzi zikiwa bado zamotoooo. Inatufariji sana sisi tulio mbali na nyumbani.
ReplyDeleteNinawashauri wadau wengine wa hizi globu wawe aktivu kama kaka Michu.( usiibanie hii bro michuzi)
DONGO kwa kaka Mjengwa
Jaribu kuchanganya habari na pia usipendelee kujiandika zaidi wewe mwenyewe.
We need to read different things.
Bubbles.
Huyu John Kalonga, ni kocha wa mpira wa miguu na anakuza vipaji vya watoto Ottawa.Ni mtu anaeheshimika sana na chama cha soka Canada.Ni watu kama hawa wanaweza kUsaidia soka letu la Tanzani."NABII HAESHIMIKI NYUMBANI".Ubalozi wetu Ottawa unalijua hili, Je kuna juhudi zozote zilishawahi kufanyika ili angalau asaidie na nyumbani?TFF fuatilieni hii tip!!
ReplyDeleteMichuzi huyu dada kushoto ni Ms. Chagula, ninafikiri tulikuwa majirani pale Regent Estates-Dar
ReplyDeleteMichuzi kuwa Fair najuwa Yanga ingeshinda Ubingwa wa Tusker ungeonesha hapa Tuwekee Picha za Mtibwa kushinda Ligi kwanini ikiwa Yanga au Simba ndio mnaweka? Mtibwa Oyeeeeeeeeeeeeeeeeee. sorry nipo nje ya mada. bania basi na hiyo.
ReplyDeleteJe ni wa ex-O'bay na Tumbawe? maana ni miaka mingi sana.
ReplyDeleteAhsante blogu ya jamii.
Mdau
Honolulu Hawaii Island.
Mr. John Kalonga...mdau wa Ottawa huyo sio Toronto! nakuona Mtu mzima, full kutanua Bongo!
ReplyDeletehongereni wenzetu kwa kula christmas na mwaka mpya tanzania. sisi wengine tulio toronto tuna wish tungekua nyumbani. hapa ni snow na baridi kali. i wish you a very happy new year bwana michuzi na mwenyezi mungu akupe afya nzuri wewe na family yako.
ReplyDeleteCanada kuna soka kweli!!! tangu lini!?
ReplyDeleteSpecie Huzeeki? Umefanya la maana kuja kujionea mwenyewe bongo ilivyo! Unfortunately siko bongo ningetutafuta tubadilishane mawazo!!
ReplyDeleteMichuzi unanimaliza sana unavyoujua kutukamata vijana wa zamani. Itabidi siku tukutafutie zawadi ya uhakika.
Keep it uo endeleza libeneke.
Peace!
Mdau USA
What a suprise..Yes! Mjomba na mpwa wake...wee John nimeacha message ya Merry Xmas nikidhani uko Ottawa kumbe uko Bongo? Enjoy!
ReplyDeleteSpecie tunakungoja; kisses to little Chantel!
J
Wewe mdau unaeshangaa Canada hakuna soka,nina uhakika si mfuatiliaji wa Soka la kimataifa.CANADA walishaingia mpaka world cup upo hapo?Ina international Soccer stars wengi German UK na USA.nyie Tanzania mna nini, na Wapi? KUWAIT?
ReplyDeleteTimu ya taifa ya TZ,haiwezi hata kuifunga timu ya CANADA ya wanawake,viwango canada ni juu mno.Kukusaidia kaangalie orodha ya ubora wa soka ulimwenguni katika webite ya FIFA.
Ha ha ha eti soka la Canada ni zaidi kuliko la Tanzania! Kuna timu ngapi za soka Canada!?
ReplyDeleteRanking ya FIFA haiko sawa ndiyo maana Canada wako juu kuliko Tanzania vinginevyo Taifa Stars hata wakiamshwa usiku wa manane watavuna kapu la magoli toka kwa timu ya Canada. Wanatoka katika kundi rahisi ndiyo maana wanapata mteremko kuingia World Cup na walibahatisha mara moja tu. Tanzania ingekuwa katika kundi hilo la Canada kila baada ya miaka minne tungetinga katika World Cup. Acha hizo za kuisagia Taifa lako kaka!!!!
Hongera kaka John na dada Space ambaye tulikumisi katika sherehe ya uhuru wa Tanzania hapa Toronto kumbe uko Bongo wala maraha tu.Salamu zao
ReplyDeleteHee Kaka Kalonga naona umechanika kwelikweli Bongo kutamu jamani Dada space ndio maana tulikumisi kwenye sherehe ya uhuru kumbe wainjoi bongo.du wadau wa Toronto na Ottawa mnang'aaaaaaa. Salamu zao
ReplyDeleteHEBU MTAJE MCHEZAJI WA CANADA AMBAYE YUKO HAPA U.K. NI NANI? ACHA UONGO BWANA WEWE AU ANACHEZEA CREWE ALEXANDER? PREMIER HAYUPO USIDANGANYE! HATA GERMANY HAYUPO, AU UNATAKA KUSEMA WA MAN U, YULE NI NI u.k. canada alizaliwa huko na aliishi na wazee wake ndo maana anachezea U.K. NATIONAL TEAM, hata hivyo mpira amejifunzia academy ya BAYERN MUNIC FOOTBALL ACADEMY.
ReplyDeletewow ama kweli Dar tambarare>
ReplyDeleteAma kweli,fumbo mfumbie mjinga mwerevu ataling'amua tuu...
ReplyDeleteMichuzi mikono iko kwa sista Specie. Ninakufagilia sana sista wewe mwenyewe umetulia saanaa huko Toronto hutaki shida na mtu. Nina hakika wale waliokuombea mabaya wanahangaika tu sasa na sijui kama wamekuja hata kukusalimia - wataumia na roho zao tu. Vizuri umekuja bongo baada ya muda mrefu na uncle wako hapo John, mmewiva kishenzi. Mumeo Mmarekani umekuja naye au amebakia huko huko? Maana alivyokucha kina dada wa huku watakuwa macho juu, angalia dada. Heri ya mwaka mpya.
ReplyDeleteMtani Kalonga basi hata kutuambia kwamba unajimwaga bongo? au ndio ulikuwa unaepa nisikupe basikeli ya kumpelekea mpwa wangu. Mbulu anakusalimu sana. Holler at me when you get back!!
ReplyDeleteDC.