Home
Unlabelled
da'rita ala nondozzz UDSM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wabeba maboksi ' eat your heart out'
ReplyDeleteIMF wameanzisha lini chuo Dar? kiko sehemu gani. Au sisi IFM imebadilishwa jina
ReplyDeleteThis can't be typo, twice:)
hivi kwanini wabongo wengi wanakula nondo wakiwa wazee?waachieni vijana hizo position vyuoni,mibaba na mimama mizee mmeshazeeka hizo elimu za uzeeni sijui zinawasaidia nini?
ReplyDeleteAnonym. wa 8.20 PM una kitu tunaita " CHICKEN VISION" yaani kwa lugha ya kimatumbi twasema "MAONO YA KUKU". Uwe unafikiria kwanza kabla ya kukoment. Leo nakuminyia ila siku nyingine!!!!!!!
ReplyDeleteMbona kama naona waganda
ReplyDeleteMdau Kichele pia umo nakuona. Hongera kwa kuongeza nondoz. Wadau wa Tambaza 1980s wanakukumbuka? wadau wa SHYCOM je?
ReplyDeleteMdau
Cardiff
Chiken vision ana ubongo wa fulava, ho watoto wadogo shule wanataka basi? wanaona starehe na kupata hela za haraka bila shule ndio dili wacha wazee tusome elimu haina mwisho
ReplyDeleteMichuzi, kipekee nakushukuru kwa kupost matukio ya muhimu hasa matukio ya unyakuaji wa NONDOZZ,hakika hiki ni kitu cha muhimu sana kwani haya ndio maendeleo halisi ya wananchi wetu na nchi kwa ujumla,ila naomba nikukosoe kdg,hawa wadau hawajamaliza IFM bali wamemaliza UDSM naomba urekebishe kdg....
ReplyDeleteHao wadau wamekula Nondozzzzz za mlimani, sio IFM
ReplyDeleteHONGERA DA RITA NA WOTE MLIOPIGA HATUA HIYO. TUNAWATAKIA KAZI NJEMA.
ReplyDeleteWadau toeni comments za maana kama mtu amepiga hatua kwa kuhitimu wewe mpe hongera baadaye tuma comments zako kumsahihisha Michuzi.
MISUPU WAMSHUSHIA HADHI DA RITA HAPO SIO IFM AU IMF NI UDSM KAKA. AU MLIMANI.
ReplyDeleteRita semizigi hongera mwanabonde hio nondo yako tunaingojea kwa hamu sie huku kwamkole kwasemgaya magila tuje tuitambikie kwanza,kaza msuli mtoto wa kibondei
ReplyDeleteHongera mdogo wangu Rita bidii zako zinazidi kuzaa matunda tangu ukiwa pale Mzumbe. Endeleza libeneke la kusoma. Sasa tunasubiri nondozz za CPA, usichelewe sana.
ReplyDeleteKaka yako wa USA
Hongera mdogo wangu Rita bidii zako zinazidi kuzaa matunda tangu ukiwa pale Mzumbe. Endeleza libeneke la kusoma. Sasa tunasubiri nondozz za CPA, usichelewe sana.
ReplyDeleteKaka yako wa USA
KICHEEEEREEE ah! njoo huku, nimekumbuka enzi hizo Amex (jikoni) Tambaza Sec.tukikong'otana kwenye misosi. Hongera baba paroko kwa nondo.
ReplyDeleteHongera kwa kuchukua nondoz ya MBA Rita na wegineo.
ReplyDeleteHivi huyo mshamba anayesema elimu ya nini ukishakuwa mtu mzima katokea wapi? Ni Mkenya nini maana lazima aone wivu kuwa sasa Watanzania wameamka wakubwa kwa wadogo ni shule tu kwa kwenda mbele. Kwa watu wazima walioshia form four wengi wanasoma ili waendelee mbele mpaka UNi, walisohia form six hali kadhalika. Na walio na degree moja wako busy kuongeza ya pili, na walio na mbili wanakazana kupata shahada za Udaktari (Phd). Tushachoka kuitwa mbu mbu mbu, tunataka tuwe na idadi kubwa ya watu waliopata elimu ya kutosha na wanaojitambua na kutambua wajibu wao katika jamii. Haya ndio maendeleo sio maneno ya kujibizana na wakenya na wengineo! Kama unaona aibu kusoma basi usiwakandye wengine wenye kujua faida ya kujiendeleza! Kalaghabaho na UBOZI wako!
wakina mama wanalipaaa si mchezo
ReplyDeleteakinamama msuli-msuli tuu noo kubweteka kuwategemea saaaana wanaume
jamani Rita Semizige yani hongera sana, lol Mihuzi kweli wewe mtu, umenikumbusha mbali sana. Huyu Rita nilisomaneye Mgulani primary, du long time, jamani Rita msalimie sana dada yako mwalimu Semizige. Hongeraaa
ReplyDeleteWajameni,
ReplyDeleteHuyu Rita simjui lakini mmenifurahisha sana kwa picha hii kwani nimemwona hadi rafiki yangu wa zamani sana, Kicheeeeeeeeeeeeeeele. Mambo ya SHYCOM hayo. Na pale JKT. Nimeshangaa kweli kumwona anakula nondozzz.
Swali: Umeoa na umetulia sasa. Maana hapo nakuona umetulia kweli. Na je, ulimwoa dada yule yule??? Shhhhhhhh!
Tuwasiliane basi. Sijui nitapaje mawasiliano yako.
Nipo US sasa.
Rita habari za macku? za tangu MU ( Mzumbe University). hongera sana kwa mafanikio yako ya kielimu, ila hapo c mwisho. songa mbele dada. Yu can do it, i kno yu! karibu sana kwenye mitihani ya bodi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu
ReplyDelete