Home
Unlabelled
SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Rais wangu anapendeza walinzi nao pia. Watu wanapendeza wanafurahi 'uhuru' ambao tunao kwa mara ya 47 sasa. ni jambo zuri na linalopendeza sana Mkuu. Lakini mkuu naomba kuuliza 'hivi uhuru unamaana gani kwetu'? uhuru kwetu upo vipi?
ReplyDeletekaka,asante kwa hizi picha.
ReplyDeleteni mimi mama nanii,dc.
Naomba kuuliza mbona sijamuona, Muheshimiwa Rais mstaafu Mkapa!
ReplyDeletealikuwepo?
Mdau!
NB:
USIWEKE KAPUNI MAANA NAONA SIKUHIZI UNAFUNIKA SANA!
Markus Mpangala subiri waKenya wachukue ardhi na nachi yetu ndio utajua kuwa uhuru kwetu uko au ulikuwa vipi! Umezaliwa miaka ya 80 nini?
ReplyDeleteKikwete, bwana! Nimeliona BMW...
ReplyDeleteWow hizi picha ni nzuri saana we acha tuu. Maana kila mtu kapendenza, uwanja ndio usimee. wow you guys, you look awesome. Mungu ibariki Tanzani, viongozi wak, na watu wake woote.
ReplyDeleteWhat's up with those dudes on the roof?? What's goin on??
ReplyDeleteMichuzi bwana Mchokozi!
ReplyDeleteYaani umeweka hizo BiEmDabliyu makusudi ili tuanze kujadili matumizi ya pesa za kununulia hayo magari sio.
Shauri zako. Mi simo.
hao jamaa huko juu ya paa wanafanya nn tena mwenye jibu atumegee ufafanuzi jamani
ReplyDeleteHivi hao jamaa waliosimama pembeni mwa hilo X6 kazi yao nini?
ReplyDeleteHey anony wa 2:51,hiyo ni X5 mkuu na wala si X6...BMW X6 haliko hivyo...angalia www.bmw.co.uk
ReplyDeleteHao waliovaa suti huko kwenye paa ndio Secret Service wetu...JK ana roll Kimarekani.
ReplyDeletehuyo jamaa aliyesimama kwenye step bar(ubavuni) ya hilo X5 ipo siku atavunja mguu,hiyo sio 110 landrover kwamba step bar itadumu milele.hiyo gari ni very delicate haitaki hiyo mikiki yote,ahsante.
ReplyDeleteKwa nini wananunua vitu vya zamani?
ReplyDeleteikibomba na anon wa ..watu wamesimama kwenye bawa za ndege inaruka huko cuba asivunjike ije iwe hapo e bwana usi muone vile kuchaguliwa pale si mchezo....
ReplyDeletehao walioning'inia ubavuni wanaharibu hizo gari na baadaye itawa cost kulipair hiyo SUNROOF RAIL na STEPBAR,kwani hao jamaa kilo zao si mchezo(90kg)na kuendelea na hivo vitu ni kwa ajili ya mapambo na hiyo si kazi yake wamebuni wenyewe.WALENGWA JARIBUNI KUZINGATIA HILO.
ReplyDelete