mdau rita semzigi (kati) wa tanzania standard newspapers (tsn) wachapishaji wa daily news/habari leo akitabasamu wakati wa kula nondozzz yake ya ya MBA pale mlimani UDSM (samahani, vidole havina breki; sio imf ama ifm kama nilivyoandika awali), dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Wabeba maboksi ' eat your heart out'

    ReplyDelete
  2. IMF wameanzisha lini chuo Dar? kiko sehemu gani. Au sisi IFM imebadilishwa jina
    This can't be typo, twice:)

    ReplyDelete
  3. hivi kwanini wabongo wengi wanakula nondo wakiwa wazee?waachieni vijana hizo position vyuoni,mibaba na mimama mizee mmeshazeeka hizo elimu za uzeeni sijui zinawasaidia nini?

    ReplyDelete
  4. Anonym. wa 8.20 PM una kitu tunaita " CHICKEN VISION" yaani kwa lugha ya kimatumbi twasema "MAONO YA KUKU". Uwe unafikiria kwanza kabla ya kukoment. Leo nakuminyia ila siku nyingine!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. Mbona kama naona waganda

    ReplyDelete
  6. Mdau Kichele pia umo nakuona. Hongera kwa kuongeza nondoz. Wadau wa Tambaza 1980s wanakukumbuka? wadau wa SHYCOM je?

    Mdau
    Cardiff

    ReplyDelete
  7. Chiken vision ana ubongo wa fulava, ho watoto wadogo shule wanataka basi? wanaona starehe na kupata hela za haraka bila shule ndio dili wacha wazee tusome elimu haina mwisho

    ReplyDelete
  8. Michuzi, kipekee nakushukuru kwa kupost matukio ya muhimu hasa matukio ya unyakuaji wa NONDOZZ,hakika hiki ni kitu cha muhimu sana kwani haya ndio maendeleo halisi ya wananchi wetu na nchi kwa ujumla,ila naomba nikukosoe kdg,hawa wadau hawajamaliza IFM bali wamemaliza UDSM naomba urekebishe kdg....

    ReplyDelete
  9. Hao wadau wamekula Nondozzzzz za mlimani, sio IFM

    ReplyDelete
  10. HONGERA DA RITA NA WOTE MLIOPIGA HATUA HIYO. TUNAWATAKIA KAZI NJEMA.


    Wadau toeni comments za maana kama mtu amepiga hatua kwa kuhitimu wewe mpe hongera baadaye tuma comments zako kumsahihisha Michuzi.

    ReplyDelete
  11. MISUPU WAMSHUSHIA HADHI DA RITA HAPO SIO IFM AU IMF NI UDSM KAKA. AU MLIMANI.

    ReplyDelete
  12. Rita semizigi hongera mwanabonde hio nondo yako tunaingojea kwa hamu sie huku kwamkole kwasemgaya magila tuje tuitambikie kwanza,kaza msuli mtoto wa kibondei

    ReplyDelete
  13. Hongera mdogo wangu Rita bidii zako zinazidi kuzaa matunda tangu ukiwa pale Mzumbe. Endeleza libeneke la kusoma. Sasa tunasubiri nondozz za CPA, usichelewe sana.

    Kaka yako wa USA

    ReplyDelete
  14. Hongera mdogo wangu Rita bidii zako zinazidi kuzaa matunda tangu ukiwa pale Mzumbe. Endeleza libeneke la kusoma. Sasa tunasubiri nondozz za CPA, usichelewe sana.

    Kaka yako wa USA

    ReplyDelete
  15. KICHEEEEREEE ah! njoo huku, nimekumbuka enzi hizo Amex (jikoni) Tambaza Sec.tukikong'otana kwenye misosi. Hongera baba paroko kwa nondo.

    ReplyDelete
  16. Hongera kwa kuchukua nondoz ya MBA Rita na wegineo.

    Hivi huyo mshamba anayesema elimu ya nini ukishakuwa mtu mzima katokea wapi? Ni Mkenya nini maana lazima aone wivu kuwa sasa Watanzania wameamka wakubwa kwa wadogo ni shule tu kwa kwenda mbele. Kwa watu wazima walioshia form four wengi wanasoma ili waendelee mbele mpaka UNi, walisohia form six hali kadhalika. Na walio na degree moja wako busy kuongeza ya pili, na walio na mbili wanakazana kupata shahada za Udaktari (Phd). Tushachoka kuitwa mbu mbu mbu, tunataka tuwe na idadi kubwa ya watu waliopata elimu ya kutosha na wanaojitambua na kutambua wajibu wao katika jamii. Haya ndio maendeleo sio maneno ya kujibizana na wakenya na wengineo! Kama unaona aibu kusoma basi usiwakandye wengine wenye kujua faida ya kujiendeleza! Kalaghabaho na UBOZI wako!

    ReplyDelete
  17. wakina mama wanalipaaa si mchezo
    akinamama msuli-msuli tuu noo kubweteka kuwategemea saaaana wanaume

    ReplyDelete
  18. jamani Rita Semizige yani hongera sana, lol Mihuzi kweli wewe mtu, umenikumbusha mbali sana. Huyu Rita nilisomaneye Mgulani primary, du long time, jamani Rita msalimie sana dada yako mwalimu Semizige. Hongeraaa

    ReplyDelete
  19. Wajameni,
    Huyu Rita simjui lakini mmenifurahisha sana kwa picha hii kwani nimemwona hadi rafiki yangu wa zamani sana, Kicheeeeeeeeeeeeeeele. Mambo ya SHYCOM hayo. Na pale JKT. Nimeshangaa kweli kumwona anakula nondozzz.
    Swali: Umeoa na umetulia sasa. Maana hapo nakuona umetulia kweli. Na je, ulimwoa dada yule yule??? Shhhhhhhh!
    Tuwasiliane basi. Sijui nitapaje mawasiliano yako.
    Nipo US sasa.

    ReplyDelete
  20. Rita habari za macku? za tangu MU ( Mzumbe University). hongera sana kwa mafanikio yako ya kielimu, ila hapo c mwisho. songa mbele dada. Yu can do it, i kno yu! karibu sana kwenye mitihani ya bodi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...