Katika kuadhimisha miaka miwili ya mafanikio ya gazeti la serikali la kiswahili la HabariLeo, wafanyakazi 10 wa Tanzania Standard Newspapers (TSN) wachapishaji wa magazeti ya Daily News News na Habari Leo wikiendi hii wamepanda mlima Kilimanjaro na kuweka bendera za magazeti hayo katika kilele cha Bara la Afrika. Pichani ni wafanyakazi Deo Sagamiko na InooMfumu wakiwakilisha bendera hizo 


Jamani barafu hakuna!!! tufanyaje ili kuivuta tena!!!
ReplyDeleteMdau, ndo inabidi UKWANGUE kwenye frezer yako ndo upelekee...
ReplyDelete