Hi Mzee Michuzi,
Hongera kwa shughuli zote na kwa kutuupdate kila kukicha. Leo nilikuwa nafanya booking ya hotel hapo nyumbani cha kushangaza nikakuta kila hotel malipo yake ni nje ya nchi.
Kwa kweli sikuweza kuelewa huu ufisadi, kwa nini hotel zetu ha;lafu malipo nje? Je tutajuaje kuchukua kodi? Kwa uthibitisho nimeambatanisha moja ya mail hapa chini naomba ufuatilie hili swala au uitoe kwenye blog labda kuna mtu atafuatilia.
Mail na jina Kapuni.
Mdau Ughaibuni
------------------------------------------------------
Dear XXX
Thank you very much for your mail. I am pleased to confirm availability of the requested hotel. Details of costs are:
Hotel Name: XXXX Hotel
Check in day: 19th Dec 2008
Check out day: 20th Dec 2008
No. of nights: 1
Room type: One Double standard room
Meal Plan: Bed and Breakfast meal plans
Cost: The cost per double room is US$188
Booking fee is US$ 10
Total cost is US$198
VERY IMPORTANT NOTES
These rates are net and are not available at the hotel. They are only available if prepayment is made through Africa Point.
These rates are subject to change with or without prior notice.
E&OE PAYMENT OPTIONS:
Option 1: Credit Card ( Visa, Amex, JCB, Mastercard ONLY)
Option 2: Wire (Telegraphic Transfer)
Please send or mail to the following address.
Beneficiary Name: Africa Point
Account number: 46 402 000 909
Kenya Commercial Bank,
Milimani Branch
P. O. Box 69695,
Nairobi Swift Code: KCBLKENX
Receivers Correspondent: BKTRUS33
Contact person: Rachel Situma
YAN WEE WA-BOOK HOTEL TOKA ULAYA WAFIKILI WAKUONAJE???
ReplyDeleteSII MTALII WAJA BONGO 4 VACATION??
khaaaaa ila kaaaazi kweli
bt me uwa na-book tu km kawa apa bongo na ninalipia account zao za apa apa bongo
YAKO MH
yaani ni walewale wezi we2 wakenya 2naowazungumzia wanataka ku2ibia kila ki2 jamani me wananikera!...
ReplyDeleteKaka michu embu weka ofa kwa wale wataalam wa jadi ili wawatengeneze hawa wa2 kuwatimua bila kuwapa mshahara angalau wa vijipu uchungu hautawafanya wakome
thanks bro tena ingekuwa poa kama ungetaja hotel kabisa ili tufanyie uchunguzi na 2wapeleka TRA wakawashugulikie wakati wataalamu wanaandalia pakeji zao
mdau ughaibuni hayo malipo siyo nje, ni benki ya kigeni imewekeza hapa bongo, na hilo ni tawi lao la mlimani city - mwenge...........
ReplyDeletehuyu nse mbumbumbu kweli we huoni hiyo bank iko dar?
ReplyDeletewanaua hela yetu vibaya sana. Na pia siye wenyewe tunahachangia hili.Kwenye harusi siku hizi zawadi watu wanachanga dola mia tano .Kwanini tusiwape watu hela ya kwetu. Au kama tumeichoka basi tuiue ibakie dola tu
ReplyDelete