Mheshimiwa Balozi wa Zain,
Namtafuta rafiki yangu jina lake Hija Mbonde na Dada yake aitwae Rehema Said Alawi.Mimi niko Marekani.Mara ya mwisho kuwasiliana na Hija ni mwaka 1999.Nasikia alikuja Marekani.Mara ya Mwisho Rehema alikuwa Uingereza..Naomba wawasiliane na Mimi kwa kutumia e mail address hii
Kazi njema
Mdau USA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mdau,Sina hakika kama tunazungumzia Hija mmoja, ila Hija ninayemfahamu mimi(naye alikuja Marekani) kupitia kwa Kaka yangu, ni kwamba alifariki Dar es salaam kama mwaka na nusu uliopita! Taarifa za kifo chake zinasikitisha sana na siwezi kuzimwaka hapa....
    Poelmart5@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...