Home
Unlabelled
jahazi watua ulaya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mtanisamehe wote!
ReplyDeleteLakini kuna ulazima wa kupewa "briefing" kuhusu hali ya hewa ikoje huko "waendako" kabla ya kuondoka Tanzania!
Dar sasa ka-jua ndio hivyo tena. Lakini hapa London ka-baridi ndio hivyo tena.
Kuwasili na vifulana au vi-T-shirts ni ujuha wa kuonekana kana kwaba ni wendawazimu!
hawa jahazi wanawazim, hajui kama U.K, kuna barid au........
ReplyDeleteDuuu, wapambe hawakuwaambia jamaa kuwa huko juu winter? Manake wao wametinga vi t-shirt kama vile wanakwenda Diamond Jubilee kuperform!
ReplyDeletekumbe nyie wababe sana, yaani mmeshuka uk winter hii na nguo nyepesi namna hiyo! wenyeji wenu wako wapi wasiokupeni onyo juu ya hali ya hewa kwa wakati huu, poleni msije mkashindwa kufanya show shauri ya kuumwa baada ya kupigwa na baridi.
ReplyDeleteMbona kama wana mageneza?! Au design ya masanduku?
ReplyDeleteWewe Anon 9:15 PM hivi unafikiri ala zao za muziki wangeziweka kwenye masanduku ya kawaida....hivi ni lazima uandike humu? Kama huna la maana kaa kimya!
ReplyDeleteHapa nilipo nimo kwenye koti zito la baridi na bado barid ya UK inapenya, nawaonea huruma jahazi, wapambe wao nuksi hawakuwaarifu juu ya winter!
ReplyDeleteWewe unaye sema Mageneza , hizo ni cases wameweka vyombo vya mziki, mshamba kweli wewe.
ReplyDeleteNa nyie ,Bongo tutanunua wapi hayo makoti wakati kila kitu huku ni cha joto, hata huko huko pia wakati wa summer pia mbona inakuaga ngumu pia kupata sweter , msiwashangae sana walijua wata fanya shopping huko huko.
kwanini wanunue koti bei mbaya Dar ,wakati wakifika London ni ya ku mwaga?
Halfu wanjua akishuka ni wako ndani ya airport na hata wakitoka nje ni wanakuwa ndani ya gari so baridi halita wasumua kwani umeiskia ni watapanda mabasi kama nyie mnavyo panda kila siku kwenye kuosha wazee?
Kisa cha kweli.
ReplyDeleteWapi: Moscow Airport
Nani: Watanzania kwenye ujumbe wa Rais Mwalimu Nyerere. Kimbele mbele cha kuanza kutoka ndani ya ndege na kutayarisha kushuka kwa Mwalimu (maprotokali na walinzi) na huku wamevalia ile ya Mao Suti na viatu vya kawaida.
Mwalimu kawaambia, "Jamani, hapa ni Urusi! Kuna theluji na barafu! Hamna makoti!
Wakamjibu: Ni sawa tu, Mzee!
Wa kwanza akaanza kukanyaga barafu. Akateleza, fyaaaaaaaaa, chini!
Wa pili akamfuatia. Akateleza, fyaaaaaaaaaaaaaaa, chini, pia!
Mwalimu kutoka nje anawaona wote wawili wamelowa!
Kawaambia rudini ndani ya ndege!
Ikawabidi waletewe makoti ya baridi!
Ni kisa cha kweli.
duh utafikiri wametoka dafur hawa jamaa.wakimbizi?
ReplyDeleteNGOJA WATOKE HAPO NJE YA AIRPORT NDO WATAONA CHA MTEMAKUNDE KILICHO MTOA KANGA MANYOYA, WATAHISI KAMA VILE WAKO NDANI YA FRIJI.
ReplyDeletejamani nyie mtasema yote,mara wana majeneza mara vifulana,...lakini ni WAKO JUU NA WAKO IN LONDON sasa maneno ya mkosaji,mara hili mara lile kazi kwenu msiopenda maendeleo ya watu hivi ni lini MBONGO AKAMSIFIA MBONGO MWENZAKE, MNABABAIKA NA RANGI NYEUPE EEEHHH
ReplyDeleteNDIO MAANA MMEWAJAZA WACHINA TANZANIA WAKO OVERSTAYED KIBAO NA VITU FEKI KILA LEO WANAINGIZA NA WATAINGIZA SANA ....
Sasa jadili mambo yanayohusu nchi yako siyo ywa wenzenu...WIZI MTUPU.
MIPODAAAAAAAAAAAA.....LAINIIIIIII
mimi hiyo jezi ya Liverpool tu...hata adidas hawajui hilo toleo. hiyo ndio zanzibar production???/
ReplyDeleteNi kweli joto la Dar makoti ya winter watayatoa wapi kama si umbea na ushambenga na WIZII MTUPU!
ReplyDeleteHivi nyie mlivyotoka Dar kwenda Ulaya mlinunua wapi makoti yenye manyoya shingoni kama si WIzii mtupu! Ni duka gani hilo linauza hayo makoti ya winter huko Dar na tena anafanyaje biashara ya makoti ya winter wakati summer ni mwaka mzima huko Dar na anapataje faida kama si WIzi mtupu!
Ikesha nyie mlinunua wapi maana huku Dar labda uende Manzese ukasagule au uende Tandale au Mchikichini au Tandika na tena kipindi hiki joto la kufa mtu nani anauza hayo madude kama si ujinga mtupu!
Haya nyie mlivyokwenda huko UK au Europe kwa mara ya kwanza mlishuka kwenye ndege mkiwa mmevalia hayo makoti yenu ya winter kabisa kutokea huko Dar, mliyavaa ndani ya ndege au mlivyoshuka? Wengi wenu mlibeba makoti ya suti tu za kawaida si tunawaona ndani ya ndege, na makoti yenu mliyoshonesha kwa mafundi suti wa kichaga, mkishafika huko London sijui wapi ndio mnaenda Primark, sunday market, upton market kutafuta makoti au kwenye maduka ya charity kwenye bei nafuu. Nani anashuka na koti la wool lenye manyoya la pauni 70 au 100 kutoka nalo Dar kwa mara ya kwanza kabisa anaingia ulaya kama si UDAKU mtupu!!
huyo anony anayesema hawapati baridi eti wapo airport na wakitoka wanaingia kwenye gari,amebugi.ukiwa inside heathrow airport kuna kibaridi na ukitoka nje ndo usiseme na hadi ufike kwenye parking lot ume-freeze.kwahiyo acha kujikosha kuwa hawakupigwa na baridi
ReplyDeletehuyu alosema eti wako airport na wakitoka wapo ndani yagari hivi ameshafika uk au anaropokwa tu?
ReplyDeletemh watanzania mmezidi umbea kwani wao wakipigwa na baridi inawahusu nini?kwani ni nyie si ni wao wataganda mifupa afu mnaopiga kelele hata ndege hamjui inafananaje wapuuzi mtupu!
ReplyDeleteWewe, anon wa tarehe December 14, 2008 3:33 pm, kwani ni nani kakwambia kuwa wote wanaoondoka Dar kwenda Ulaya, kwa mfano, huwa wanaoondoka wakati kama huu?
ReplyDeleteEti unasema, utapata wapi makoti ya baridi Dar! Mbona watu wa Dar wanavaa masuti na matai ya winta!
Wewe fikiria kutoka hapo uwanjani hadi wakatafute hayo makoti ya baridi....wanakufa kwa nyumonia ya kibaridi cha siku nyingi mwilini!
Wa kulaumiwa ni wote wenyeji wao na wao pia.
Kabla ya kuondoka kwenda London walipitia "consulate" ya Uingereza hapo Dar, ambako huwa kuna info kuhusu hali ya hewa ya Uingereza wakati wa safari!
Na hata marubani wa ndege hutoa hali ya hewa ya mahali pa kutua!
Umbumbumbu (si upumbavu) usipewe nafasi ya kukita hapa bloguni.
Nina imani kuwa siku nyingine wataamuka wote walio ignorant!
Mimi ndio nime sema kuhusu kuwa ndani ya Airport , usinidanganye ukiwa ndani ya airport ni pale unapo toka ndani ya ndege tuu ndio una sikia kibaridi kidogo ukiingia kwenye terminal sio baridi kihivyo, na hapa ukitoka kwenye parking lot una weza vumilia ile baridi, usinidanganye eti ile baridi kwa muda mchache tu unaweza kufa, nimekaa Chicago kunabaridi sio mchezo , nilipo shuka Ohare sikuwa na koti na mbona sija pata tatizo?
ReplyDeleteAcheni ujinga baridi inaanzia kwenye ndege!
ReplyDeleteHata mimi shaka yangu ni hiyo jezi ya bwawa la maini, jamani wabongo tuepuke kuvaa nguo za kutangaza biashara bila ya idhini za wenyewe, hizo tshirt za KTM tuvae hapa hapa bongo, tutashtakiwa!
ReplyDeletewamefikeje apo UK??mdhamini ni nani afu team yao wangapi iyo jahazi
ReplyDeletejamani mboni kuwakomalia wana wa wezenu abt vitop vyao???baridi haiui mtu msijitie mna hurumaaaa,,feki kweli nyie,,
kwanza ile baridi tu ya ndegeni mtoto wa bongo waweza zimia lzm udate kwanza,,,ingawa ukijifunike vile viblanketi aaaa poa tu
mh kuchamba kwingi kutoka na mavi. afya za wenzeni si mgogoro hebu tusikie atakaye rudi kajeruhiwa na nimoniaaaaa ndo tu comment.
ReplyDeletesasa si nimeona wanaperfom imekuwaje hawasikii baridi au ndo kuna kiyoyozi ja choto
tatizo watanzania waliopo nje wana midomo mno na hawataki kusikia mtanzania mwingine kafika huko maana wanadhani ulaya ni kwa ajili yao tu. lazima wachonge sana maana hawakutegemea kundi kama hilo litakanyaga ardhi ya uingereza, wakati huko ni sawa na kuingia chooni, ni nauli na pesa zako tu.
ReplyDeletepamoja na kashfa zenu zote, zisizo na msingi, lakini wame perform tumeona, hakuna aloumwa wala aloganda kama chizi mmoja alivyosema. Hata nyie mlio huko hamkujua kama mtafika, mkisikia wenzenu wanakuja be proud!!! kua at least watanzania wenzangu wanakuja kutuonyesha show. Mna matatizo gani nyie, kuweni jamani kiakili sio umri tu.