Home
Unlabelled
jide na gadna bado wapo wapo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mh! jamani! Mbona Gadner sura ya kinafiki! JD nae kalazimisha cheko.
ReplyDeletewazushi hao
ReplyDeleteUYU DADA KAMA ANAMIMBA MBONA PUA IMEVIMBA IF SO HONGERA CANT WAIT FOR THE BABY
ReplyDeleteKama ni kweli basi inshallah nawatakia maisha mema, si ufisadi wa mapenzi
ReplyDeleteHivi waosha vinywa hamjui wimbo wa siku hazigandi hata mjirekebishe??? Big up u couples
ReplyDeletewote wasanii, wanaigiza. tunajua ukweli wa mambo, msikonde wala nini
ReplyDeletePENYE UKWELI UONGO HUJITENGA...DAIMA..UKWELI NI KWAMBA JD ANA KIDUME KINAITWA T...HATA KWENYE NYIMBO ZAKE ANAKITAJA. GADNER NAE ANA VICHANGU VYAKE VYA KUIBIA NA KIBAYA ZAIDI NI KUWA ANAMDUNDA SANA JIDE..SISI MARAFIKI WA KARIBU WA JIDE AMBAO GADNER ANATUTONGOZAGA NDO TUNAJUA ISSUE YOTE..ANYWAYS KAMA WAMERUDIANA SAFI MAANA SHOSTI JIDE ALIAHAMIA KWA MAMA YAKE
ReplyDeleteNiseme nini mpiga Box mwee!!! Yangu macho
ReplyDeletehahahahahaaaaaa hahahahahaaaaa
ReplyDeleteteh teh teh
I am glad they are back together, keep it up G & L
ReplyDeletekwa raha zenu babu hata hamgombwii ..kuleni maisha kwa manapana ya pazia
ReplyDeleteP
we anon 11.24 acha uzushi ina maana wewe hujui pua la jide ama unataka kufungilia wasioosha vinywa ......
ReplyDeleteJamani nawapenda saaaaaaaaaaaaana Jd na Gadner,nimefurahi saaaaana kukanusha hayo ya waosha vinywa wasopenda kuona mazuri ya watu, basi wao kuwaombea mabaya tu!M MUNGU AWALINDIE NDOA YENU!awajaalie watoto wake kwa waume kwa wakati alopanga yeye mola we2 ni si wakati watakao walimwengu!ROSEBABY.
ReplyDeleteDuh... mswahili siku hizi kutuonyesha mapenzi hadharani bila aibu ni kawaida...heshima ya wazee mfukoni tu na kweli huo iga iga niga umetuzidi sana...naam
ReplyDeleteMzee wa Jahazi usikonde wala nini. waache waoshe vinywa vyao watachoka wenyewe.Si unajua siku hazigandi Bwana.Mmependeza sana tu.
ReplyDeleteMimi swali langu ni kwa waosha vinywa. kwani wakiachana au kama waliachana wamerudiana what is the big deal about it. Au siku hizi bongo nayo talboit kwa wingu.
ReplyDeleteHivi ni wangapi wanyooshe vidole ambao ndoa zao ziko 100% perfect? Za kwenu mmezikalia moshi unafuka kazi kuzungumzia ndoa za watu.
Waacheni waseme kama nyie mko fine na hamna cha vi baby doll around au ngumi kiwanjani good for you guys. Ndoa sio kazi ndogo kuimaintain
They just putting a show, MADONNA NA RICHIE GUY walifanya hivyo hivyo, mwisho wameachana. Kama unadundwa ya nini kukaa na mwanaume anayepiga, huo ni ukale na ukware, achana naye.
ReplyDeleteHivi unaanzaje kunyoosha pua juu kwa mambo ya wengine wakati ya kwako umeyasukumia chini ya kapeti? Utakuwa umefanya la maana sana kama utakuwa unajitahidi kujenga kwako kuliko kujidai fundi wa kuangalia mambo ya watu! Kama huna ndoa kaa kimya kwa sababu wala huna experience nayo, na kama unayo ndoa basi kaa kimya kabisaaaa manake inawezekana ndoa yako ndio ina karaha kuliko hiyo unayotaka kuleta ufundi kuihukumu! After all, does it change your life whether it's true or not!
ReplyDeletewe gadna kama unampiga mkeo noma tutakuweka hadharani sas hivi , nyambafu dume hilii dume ganiiiiiiii achana na mambo ya kale unafikiri kupiga kunasaidia we jinga? kubwa zima lakini pumbavu
ReplyDeleteIvi mtu utakuwa rafiki wa karibu na utowe siri za rafiki yako si unafiki huo, mimi naona hawana haja ya kudanganya kama wako pamoja wakati hawako, siku zote binadamu wanapenda kuona mwingine akiporomoa wafurahie ila haiwasaidii, muda utatupa majibu kama wako wote au wanazuga kwasababu u cant pretend forever na Jide na hasira hizo hakawii kurusha chupa manake siku hizi anakunywa mpaka safari na hela zote hizo??? ila mimi nawatakia maisha mema ndoa ngumu ila ni kukomaa tu kwakuwa kuna watu pembeni wanatamani kuwa kama nyinyi na hawawezi sasa wanabakia kuwatukana ambayo haisaidii, jihadharini na wanafiki
ReplyDeletena wote wanaowatukana wana wa envy kuna watu picha zao zinawekwa humu na hakuna comment hata moja, we love u guys msiachane wala mna match vizuri sana
ReplyDeleteNyii mnaojifanya watetezi wao kwendeni zenu huko! Michu anapoweka picha ya ma-selebriti wetu hapa tunatakiwa tuchangie. Hatuwezi wote tukawa bootlickers! We wasifie kivyako si tunawapiga dongo kivyetu! It is all fair game!
ReplyDeletebwana kila mtu atacomment anavoona sio kulazimishana kuwasifia kwani maoni yetu yanafanana?we kama unaona wako mwake kivyako sasa mie nasemaje we gadna tulia na mkeo yeye ndo anakuweka mjini ok?hako ka mshahara ka clouds hakatoshelezi wewe kuvaa unavovaa na kudrive gari unalodrive! jide ni wmanamke kkomando she works hard n gets wat she wants to get wewe kazi macho mbele mbele tochi kwa wanawake huwezi hata kumthamini mkeo..nasema ..SIPENDI WANAUME NAPENDA WANAUME WAZURI WENYE KUHESHIMU NDOA YAO ok ebu mskilizie mwanaFA bado nipo nipo alafu maneno yale yageuza kuwa mwanamke anamuimbia mwanaume..
ReplyDelete