lady jd na mai hazbendi wake gadna g. habash wakifurahia maisha usiku wa kuamkia leo hoteli ya movenpick, dar. wamekanusha kwamba wamefarakana na kuushangaa uzushi huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. Mh! jamani! Mbona Gadner sura ya kinafiki! JD nae kalazimisha cheko.

    ReplyDelete
  2. wazushi hao

    ReplyDelete
  3. UYU DADA KAMA ANAMIMBA MBONA PUA IMEVIMBA IF SO HONGERA CANT WAIT FOR THE BABY

    ReplyDelete
  4. Kama ni kweli basi inshallah nawatakia maisha mema, si ufisadi wa mapenzi

    ReplyDelete
  5. Hivi waosha vinywa hamjui wimbo wa siku hazigandi hata mjirekebishe??? Big up u couples

    ReplyDelete
  6. wote wasanii, wanaigiza. tunajua ukweli wa mambo, msikonde wala nini

    ReplyDelete
  7. PENYE UKWELI UONGO HUJITENGA...DAIMA..UKWELI NI KWAMBA JD ANA KIDUME KINAITWA T...HATA KWENYE NYIMBO ZAKE ANAKITAJA. GADNER NAE ANA VICHANGU VYAKE VYA KUIBIA NA KIBAYA ZAIDI NI KUWA ANAMDUNDA SANA JIDE..SISI MARAFIKI WA KARIBU WA JIDE AMBAO GADNER ANATUTONGOZAGA NDO TUNAJUA ISSUE YOTE..ANYWAYS KAMA WAMERUDIANA SAFI MAANA SHOSTI JIDE ALIAHAMIA KWA MAMA YAKE

    ReplyDelete
  8. Niseme nini mpiga Box mwee!!! Yangu macho

    ReplyDelete
  9. hahahahahaaaaaa hahahahahaaaaa
    teh teh teh

    ReplyDelete
  10. I am glad they are back together, keep it up G & L

    ReplyDelete
  11. kwa raha zenu babu hata hamgombwii ..kuleni maisha kwa manapana ya pazia
    P

    ReplyDelete
  12. we anon 11.24 acha uzushi ina maana wewe hujui pua la jide ama unataka kufungilia wasioosha vinywa ......

    ReplyDelete
  13. Jamani nawapenda saaaaaaaaaaaaana Jd na Gadner,nimefurahi saaaaana kukanusha hayo ya waosha vinywa wasopenda kuona mazuri ya watu, basi wao kuwaombea mabaya tu!M MUNGU AWALINDIE NDOA YENU!awajaalie watoto wake kwa waume kwa wakati alopanga yeye mola we2 ni si wakati watakao walimwengu!ROSEBABY.

    ReplyDelete
  14. Duh... mswahili siku hizi kutuonyesha mapenzi hadharani bila aibu ni kawaida...heshima ya wazee mfukoni tu na kweli huo iga iga niga umetuzidi sana...naam

    ReplyDelete
  15. Mzee wa Jahazi usikonde wala nini. waache waoshe vinywa vyao watachoka wenyewe.Si unajua siku hazigandi Bwana.Mmependeza sana tu.

    ReplyDelete
  16. Mimi swali langu ni kwa waosha vinywa. kwani wakiachana au kama waliachana wamerudiana what is the big deal about it. Au siku hizi bongo nayo talboit kwa wingu.

    Hivi ni wangapi wanyooshe vidole ambao ndoa zao ziko 100% perfect? Za kwenu mmezikalia moshi unafuka kazi kuzungumzia ndoa za watu.

    Waacheni waseme kama nyie mko fine na hamna cha vi baby doll around au ngumi kiwanjani good for you guys. Ndoa sio kazi ndogo kuimaintain

    ReplyDelete
  17. They just putting a show, MADONNA NA RICHIE GUY walifanya hivyo hivyo, mwisho wameachana. Kama unadundwa ya nini kukaa na mwanaume anayepiga, huo ni ukale na ukware, achana naye.

    ReplyDelete
  18. Hivi unaanzaje kunyoosha pua juu kwa mambo ya wengine wakati ya kwako umeyasukumia chini ya kapeti? Utakuwa umefanya la maana sana kama utakuwa unajitahidi kujenga kwako kuliko kujidai fundi wa kuangalia mambo ya watu! Kama huna ndoa kaa kimya kwa sababu wala huna experience nayo, na kama unayo ndoa basi kaa kimya kabisaaaa manake inawezekana ndoa yako ndio ina karaha kuliko hiyo unayotaka kuleta ufundi kuihukumu! After all, does it change your life whether it's true or not!

    ReplyDelete
  19. we gadna kama unampiga mkeo noma tutakuweka hadharani sas hivi , nyambafu dume hilii dume ganiiiiiiii achana na mambo ya kale unafikiri kupiga kunasaidia we jinga? kubwa zima lakini pumbavu

    ReplyDelete
  20. Ivi mtu utakuwa rafiki wa karibu na utowe siri za rafiki yako si unafiki huo, mimi naona hawana haja ya kudanganya kama wako pamoja wakati hawako, siku zote binadamu wanapenda kuona mwingine akiporomoa wafurahie ila haiwasaidii, muda utatupa majibu kama wako wote au wanazuga kwasababu u cant pretend forever na Jide na hasira hizo hakawii kurusha chupa manake siku hizi anakunywa mpaka safari na hela zote hizo??? ila mimi nawatakia maisha mema ndoa ngumu ila ni kukomaa tu kwakuwa kuna watu pembeni wanatamani kuwa kama nyinyi na hawawezi sasa wanabakia kuwatukana ambayo haisaidii, jihadharini na wanafiki

    ReplyDelete
  21. na wote wanaowatukana wana wa envy kuna watu picha zao zinawekwa humu na hakuna comment hata moja, we love u guys msiachane wala mna match vizuri sana

    ReplyDelete
  22. Nyii mnaojifanya watetezi wao kwendeni zenu huko! Michu anapoweka picha ya ma-selebriti wetu hapa tunatakiwa tuchangie. Hatuwezi wote tukawa bootlickers! We wasifie kivyako si tunawapiga dongo kivyetu! It is all fair game!

    ReplyDelete
  23. bwana kila mtu atacomment anavoona sio kulazimishana kuwasifia kwani maoni yetu yanafanana?we kama unaona wako mwake kivyako sasa mie nasemaje we gadna tulia na mkeo yeye ndo anakuweka mjini ok?hako ka mshahara ka clouds hakatoshelezi wewe kuvaa unavovaa na kudrive gari unalodrive! jide ni wmanamke kkomando she works hard n gets wat she wants to get wewe kazi macho mbele mbele tochi kwa wanawake huwezi hata kumthamini mkeo..nasema ..SIPENDI WANAUME NAPENDA WANAUME WAZURI WENYE KUHESHIMU NDOA YAO ok ebu mskilizie mwanaFA bado nipo nipo alafu maneno yale yageuza kuwa mwanamke anamuimbia mwanaume..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...