JK akisalimiana na baroness lynda chalker mwenyekiti wa africanmatters limited ikulu, dar, leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. SWALI RAHISI KABISA KWA HUYU BWANA MKUBWA: KILA SIKU ANAPITA UARABUNI, JE, KWA NINI HAJAPATA DEAL KWA MWENZALE MWAI KIBAKI AMBAYE TRIPU MOJA TU KARUDI NA DEAL YA KUJENGA BANADARI LAMU KWA DOLA BILIONI 2.4?

    ReplyDelete
  2. vyeo vingine bwana ama kweli wazungu wezi sasa ndio cheo gani hicho?hivi kuna mwenyekiti wa europeanmatter limited tena awe mweusi???

    ReplyDelete
  3. Kuhusu hii sakata iliyopo ya kuwa na EAC. ni hawa kina Lynda Chalker ndio wako nyuma ya habari yote hii. Wakenya wanaotukebehi, ni wasemaji tu lakini wenyewe hasa ndio hao.Kwa hiyo Mr Jakaya angalia sana na hawa wakoloni mambo leo.
    Wameiandama Zimbabwe na ardhi yao hadi tunaona vipi wakufa kwa njaa na maradhi, na sisi tuwe macho.EAC sio lazima tuwemo.

    ReplyDelete
  4. Huyu ajuza wa Kiingereza kiboko yake Rais Daniel Apa Moi. Rais Moi alimfurumsha mwaka '95 na aliporudi kwao ikabidi kijiwe kiote nyasi. Huyu na yule ajuza aliyempokea noma kinoma ikifika mambo ya Afrika hususani Zimbabwe. Ajuza mwenzake yule mchafu mchafu ndiye alipigilia msumari wa mwisho mambo ya land reform Zimbabwe lakini ilipofika suala la Iraq eti kwa kuwa she is so moralist akajiuzulu... tshichwiiii (nimefyonya).

    ReplyDelete
  5. wazungu awa???acheni lazima watupandie juu ya vichwa adi tu-surrender kwao na kuwapigia magoti

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...