mabaunsa wataolinda kina joe thomas, boyz II men na wenzao
bongo tambarare. malimo kibao kwa ajili ya masupa staa
mwanamuziki joe thomas na wenzie wakiwasili dar. boyz II men wanatua leo mchana tayari wa shoo ya kesho hapo leaders club. joe thomas na wenzie asubuhi hii wanatembelea watoto yatima kituo cha msimbazi centre

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. Ni kweli nchi yetu ni maskini wa maendeleo lkn c wa kuponda raha
    Achani tujiburudishe kwa raha ze2 safi sana imetulia hiyoooooooo

    ReplyDelete
  2. Hahaha mdau hapo juu umenifurahisha sana umejihami kabla yule muosha vinywa ambaye kila jambo anaenda kinyume hajaingia

    ReplyDelete
  3. naomba kuuliza je kuna kampuni inafundisha ubaunsa?

    ReplyDelete
  4. Namuona Kisaka na kamera kubwa Hongera Mzee.

    ReplyDelete
  5. Ndiyo, kuna kampuni inayofundisha mambo hayo, lakini sio hapo bongo Teh, teh heh eeh heeeeeee, heee eeeee heheheheheeeee

    ReplyDelete
  6. duh kina Waghasusu na oganigwe naona wamejipanga kazi kweli kweli hahaha. wamemfanya michuzi picha yake apige kwa mbaliiiiiiiiiiii inaonesha camera ya michuzi nzuri ime zoom kutoka geti lile lakotokea uwanja wa ndege hahaah! siku nyengine mh issa michuzi nenda na bro wako michuzi jnr si baunsa yule atakuwa anawajuwa wabeba vyuma wenzake utawachiwa kupiga picha. From C.

    ReplyDelete
  7. siko mbali na annon apo,,,mabaunsa ina mana wana silaha na ni kazi registed kbs kulinda usalama wa mtu/watu "mashuhuri"???
    nauliza tuuuuu mana sielewi

    ReplyDelete
  8. Kele wabeba maboksi walidhani Tanzania njaa tupu...loh lakini hao jamaaa makorokoroni(mabaunsa) kweli wamenona kama ngomb'e aendae machinjioni

    ReplyDelete
  9. Ingekuwa States(Marekani) hao kina Joe na Boyz II Men wangesukuma hivyo vitoroli wenyewe lakini bongo watu hamsini wamejitokeza kuvisukuma vitoroli Airport. Shida kweli si mchezo, lakini tutafika tu!

    ReplyDelete
  10. mie nadhani hiyo pesa inayotumika kuwaleta hawa jamaa inaweza kufanya kitu fulani cha maana. acheni starehe. hawa jamaa naoana wamepata pa kuvuna ndo maana wanakuja. kwani sisi watanzania tunafaidika nini na ujio wao?

    ReplyDelete
  11. kwanini hiyo pesa inayotolewa kufadhili hao jamaa isitumike kudhamini twanga pepeta, wanaume family, lady JDee, nk. acheni kuendekeza starehe

    ReplyDelete
  12. Michuzi,
    hao jamaa ni mabaunsa au wabeba mizigo?

    ReplyDelete
  13. Jamani mnaonaje kama bongo mabaunsa wasiwe Misuri tu bali tuwape mafunzo ya ulizi katika matukio kama ya jinsi ya kukabili libeneke na vyeti wapewe pamoja leseni ionekane kama ajira iliyotulia na sio ya kukimbiria

    ReplyDelete
  14. Hivi mmiliki wa hii kampuni ya baunsa kwa nini asibadilishe dress code ya staff wake, jamaa wakala angalau suti nyeusi. I guarantee you..suti nyeusi na miwani myeusi wangependeza mno. Oh,kumradhi nimesahau kipindi hiki joto ni kali sana Bongo.
    Ila washkaji hawa wana qualify kuja kubeba ma box huku.

    ReplyDelete
  15. HAO MABAUNSA DEODORANT WAMEJIKAMULIA LAKINI AU NDIYO KUNUSISHANA VIKWAPA TU...TEH TE TEH TEH...KWI KWI KWI KWIIIIII

    ReplyDelete
  16. hahaha humu raha sana lazima chochote kile watadondosha kuhusu wabeba ma box, sasa hizo chuki binafsi kama ulishindwa kujielezea kuhusu safari ukanyimwa visa basi wacha majungu wenzako wanabeba box wewe upo miaka 30 inaenda kwa mama na baba unawapiga panga bado kisa unaona aibu kuuza dagaa, unafikiria ukauze unga subiri kifungo sasa.

    ReplyDelete
  17. Wi bilonggg' tugezaaaaaaa
    Endi yu nooo zaaati ia em raaaitttti

    Wai du yu plei widh mai hati wai du yuuu
    Plei widhi mai maiindiiiii

    Hahahahaha!! Boyz II Men wakiimba "End of the Road" watakonga nyoyo...lakini kweli wajameni. Hawa wamarekani weusi hawajali wabongo bwana. Tunawachangia mamilioni ambayo hata hawayahitaji. Tusaidie wanamuziki wetu!

    ReplyDelete
  18. Kazi za bouncer bongo ni tofauti na za mamtoni? Naona wanabeba mizigo ....mweeeeee jina lote hilo bado unabeba box ....sasa mnatucheka nini wakati siye tunabeba box wala jina hatuna ....ati bouncer...tetetetetete toroli la nini?

    ReplyDelete
  19. hao baunsa ni English reachable? Isije ikawa mi maimuna

    ReplyDelete
  20. WATANI WA JADI HIYO NDO TANZANIA, ETI TANZANIA MASIKINI, MJOMBA WETU OBAMA ATATULETEA MAPEDA MADOLARI KIBAO, NGOJA OBAMA SI MJOMBA WETU, KAZANENI KUJA BONGO MUTAONA MAMBO KAMA HAYA LEADERS CLUB.

    ReplyDelete
  21. Duuh! jamaa mwenye kamera katoa jicho kaa anapiga ch*&(b**(@!o!. Kusema kweli, mi Bongo naipenda sana kwa jinsi watu walivyo natural no pretending!

    ReplyDelete
  22. Ila watu wengine wamejaaliwa kuongea! Sioni ubaya wa hao wageni kusukumiwa vitoroli na wenyeji wao, kwani hata ukienda kituo cha basi kumpokea mgeni wako hutampokea begi/sanduku au kimzigo chochote alichokuja nacho? Je wewe utabaki unamkenulia meno tu na kumuonyesha njia ya kupita huku akiwa ameelemewa na mizigo yake! Ni wapi huko ulipo mpaka umesahau utamaduni wetu!

    ReplyDelete
  23. mnakumbuka issa michuzi alitowa kauli alivyokuwa ethiopia kuwa mteja ni mfalme sasa tanzania mualike mgeni ashibe wenyeji msubiri makombo tunanizamu sie ya kualika wageni ila hizi janja ya nyani pesa za hawa wasanii wanalipwa au kama wao pesa wanasamehe zinaenda wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...