


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni kweli nchi yetu ni maskini wa maendeleo lkn c wa kuponda raha
ReplyDeleteAchani tujiburudishe kwa raha ze2 safi sana imetulia hiyoooooooo
Hahaha mdau hapo juu umenifurahisha sana umejihami kabla yule muosha vinywa ambaye kila jambo anaenda kinyume hajaingia
ReplyDeletenaomba kuuliza je kuna kampuni inafundisha ubaunsa?
ReplyDeleteNamuona Kisaka na kamera kubwa Hongera Mzee.
ReplyDeleteNdiyo, kuna kampuni inayofundisha mambo hayo, lakini sio hapo bongo Teh, teh heh eeh heeeeeee, heee eeeee heheheheheeeee
ReplyDeleteduh kina Waghasusu na oganigwe naona wamejipanga kazi kweli kweli hahaha. wamemfanya michuzi picha yake apige kwa mbaliiiiiiiiiiii inaonesha camera ya michuzi nzuri ime zoom kutoka geti lile lakotokea uwanja wa ndege hahaah! siku nyengine mh issa michuzi nenda na bro wako michuzi jnr si baunsa yule atakuwa anawajuwa wabeba vyuma wenzake utawachiwa kupiga picha. From C.
ReplyDeletesiko mbali na annon apo,,,mabaunsa ina mana wana silaha na ni kazi registed kbs kulinda usalama wa mtu/watu "mashuhuri"???
ReplyDeletenauliza tuuuuu mana sielewi
Kele wabeba maboksi walidhani Tanzania njaa tupu...loh lakini hao jamaaa makorokoroni(mabaunsa) kweli wamenona kama ngomb'e aendae machinjioni
ReplyDeleteIngekuwa States(Marekani) hao kina Joe na Boyz II Men wangesukuma hivyo vitoroli wenyewe lakini bongo watu hamsini wamejitokeza kuvisukuma vitoroli Airport. Shida kweli si mchezo, lakini tutafika tu!
ReplyDeletemie nadhani hiyo pesa inayotumika kuwaleta hawa jamaa inaweza kufanya kitu fulani cha maana. acheni starehe. hawa jamaa naoana wamepata pa kuvuna ndo maana wanakuja. kwani sisi watanzania tunafaidika nini na ujio wao?
ReplyDeletekwanini hiyo pesa inayotolewa kufadhili hao jamaa isitumike kudhamini twanga pepeta, wanaume family, lady JDee, nk. acheni kuendekeza starehe
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeletehao jamaa ni mabaunsa au wabeba mizigo?
Jamani mnaonaje kama bongo mabaunsa wasiwe Misuri tu bali tuwape mafunzo ya ulizi katika matukio kama ya jinsi ya kukabili libeneke na vyeti wapewe pamoja leseni ionekane kama ajira iliyotulia na sio ya kukimbiria
ReplyDeleteHivi mmiliki wa hii kampuni ya baunsa kwa nini asibadilishe dress code ya staff wake, jamaa wakala angalau suti nyeusi. I guarantee you..suti nyeusi na miwani myeusi wangependeza mno. Oh,kumradhi nimesahau kipindi hiki joto ni kali sana Bongo.
ReplyDeleteIla washkaji hawa wana qualify kuja kubeba ma box huku.
HAO MABAUNSA DEODORANT WAMEJIKAMULIA LAKINI AU NDIYO KUNUSISHANA VIKWAPA TU...TEH TE TEH TEH...KWI KWI KWI KWIIIIII
ReplyDeletehahaha humu raha sana lazima chochote kile watadondosha kuhusu wabeba ma box, sasa hizo chuki binafsi kama ulishindwa kujielezea kuhusu safari ukanyimwa visa basi wacha majungu wenzako wanabeba box wewe upo miaka 30 inaenda kwa mama na baba unawapiga panga bado kisa unaona aibu kuuza dagaa, unafikiria ukauze unga subiri kifungo sasa.
ReplyDeleteWi bilonggg' tugezaaaaaaa
ReplyDeleteEndi yu nooo zaaati ia em raaaitttti
Wai du yu plei widh mai hati wai du yuuu
Plei widhi mai maiindiiiii
Hahahahaha!! Boyz II Men wakiimba "End of the Road" watakonga nyoyo...lakini kweli wajameni. Hawa wamarekani weusi hawajali wabongo bwana. Tunawachangia mamilioni ambayo hata hawayahitaji. Tusaidie wanamuziki wetu!
Kazi za bouncer bongo ni tofauti na za mamtoni? Naona wanabeba mizigo ....mweeeeee jina lote hilo bado unabeba box ....sasa mnatucheka nini wakati siye tunabeba box wala jina hatuna ....ati bouncer...tetetetetete toroli la nini?
ReplyDeletehao baunsa ni English reachable? Isije ikawa mi maimuna
ReplyDeleteWATANI WA JADI HIYO NDO TANZANIA, ETI TANZANIA MASIKINI, MJOMBA WETU OBAMA ATATULETEA MAPEDA MADOLARI KIBAO, NGOJA OBAMA SI MJOMBA WETU, KAZANENI KUJA BONGO MUTAONA MAMBO KAMA HAYA LEADERS CLUB.
ReplyDeleteDuuh! jamaa mwenye kamera katoa jicho kaa anapiga ch*&(b**(@!o!. Kusema kweli, mi Bongo naipenda sana kwa jinsi watu walivyo natural no pretending!
ReplyDeleteIla watu wengine wamejaaliwa kuongea! Sioni ubaya wa hao wageni kusukumiwa vitoroli na wenyeji wao, kwani hata ukienda kituo cha basi kumpokea mgeni wako hutampokea begi/sanduku au kimzigo chochote alichokuja nacho? Je wewe utabaki unamkenulia meno tu na kumuonyesha njia ya kupita huku akiwa ameelemewa na mizigo yake! Ni wapi huko ulipo mpaka umesahau utamaduni wetu!
ReplyDeletemnakumbuka issa michuzi alitowa kauli alivyokuwa ethiopia kuwa mteja ni mfalme sasa tanzania mualike mgeni ashibe wenyeji msubiri makombo tunanizamu sie ya kualika wageni ila hizi janja ya nyani pesa za hawa wasanii wanalipwa au kama wao pesa wanasamehe zinaenda wapi?
ReplyDelete