Vodacom Tanzania Prepaid customers will have something to celebrate during this festive season as Vodacom Tanzania launches a new promotion called ‘Extra Airtime Recharge’.
Customers who will recharge from as little as Tsh 2,000 or more via VodaFasta, physical voucher or ATM between midnight and 11am on weekdays will get 10% extra airtime AND 31 Multimedia messaging (MMS) absolutely FREE to be sent to any Vodacom number by December 31, 2008.
Post-paid customers will also get 31 FREE MMS in December by default. Terms & Conditions The airtime recharge bonus is exclusively available for prepaid and VodaJaza customers only. Post-paid customers will get 31 FREE MMS by default.This promotion runs from December 2, 2008 till December 31, 2008.
Recharges of Tsh 2,000 or more via VodaFasta, physical voucher or ATM conducted between midnight till 11am on weekdays will result in the 10% extra airtime bonus.
Prepaid customers will not get any bonuses when they recharge Tsh 2,000 or more via VodaFasta, physical voucher or ATM on weekends or public holidays.M-PESA recharges are excluded from this promotion.
Customers will continue to accumulate points through Tuzo Points based on their usage.The bonus airtime can be used for any Vodacom service e.g. Voice & video calls, MMS, SMS and data.
Customers receiving Bulk system recharges will not be able to get any bonuses i.e. VodaJaza.Recharges of Tsh 250 up to Tsh 1,999 by VodaFasta, physical voucher or ATM will not get any airtime recharge bonus.
Prepaid customers who receive recharges via credit transfer (VodaRUSHA) service will not be able to enjoy the 10% airtime recharge bonus.People’s phone cell numbers are excluded from the airtime recharge promotion.
31 FREE MMS awarded upon first recharge of Tsh 2,000 or more and should be used by December 31, 2008.
Voda achenu uhuni.
ReplyDeleteMnatubania sana na offer zenu. Sijui confo lenu liko wapi tu. Yaani mmetuonjesha kwa unyanyapaa sana Chizika. Kwanza mliibania sana, eti ukijjiunga leo kesho huruhusiwi na mkaweka muda maalum. Yaani mmetukoseha usingizi sana mwezi uliopita. Naona hapa tena mna mpango huo. Tumechoka kabisa.
Hamwezi kuangalia mitandao mingine ya simu nchini? Najua si lazima kuigana.
Pili, kwa nini mmeiweka namba ya huduma kwa wateja wakati simu zenyewe hampokei na badala yake mnatuwekea muziki mreeeefu na kutuambia nasikitika simu yako haiwezi kujibiwa.
Yaani kuna siku nilikuwa ninataka kuanza kupika, nikasema ngoja niwapigie kuulizia issue ya kutoruhusiwa kujiunga na Chizika kila siku. Nikaweka loud nikaanza kupika, hadi chakula kiliiva simu haijajibiwa nimewekewa muziki tu na kamtu kanaongea kila baada ya muda. Mi kwa kweli naona mnatunyanyasa.
Naomba saana kama kuna mahali haya malalamiko yanaweza kupelekwa yafike ili huduma ziboreshwe.
Nimeona tangazo hili na kwa kuwa nilikuwa natafuta pa kutolea dukuduku zangu nikaona nizitoe.
Michuzi usiibanie hii na ikiwezekana nifikishie kwa wahusika waliokupa tangazo hili.
Au watupatie mawasiliano mbadala tutoe maoni. Kama yapo muyabandike hapa. Nadhani watasikiliza maoni ya watu hadi watachoka.
Kila la kheri kaka!
Balozi wa nanihiiiii hawa jamaa wanatuzingua, CHIZIKA imekufa tokea last week sasa hivi wanatuletea offer ya MMS kwani ni wangapi tuna simu zenye kupokea MMS? waliangalie na hilo, then kiwango cha kuweka pesa ni kuanzia 2000 je niweke ya nini wakati hiyo elfu mbili naweka 1500 kwa ajili ya BABKUBWA naongea mpaka siku inaisha..... kaeni mjipange upyaaaa
ReplyDeletemimi nipo voda kwa ajili ya baadhi ya contact zangu sehemu chache lakini situmii tena mtandao wao kupiga nimeshajiunga BABKUBWA -naongea mpaka!hao voda naona sasa wanayumba
ReplyDelete