Home
Unlabelled
ufafanuzi wa mwezi na nyota mbili jana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Not possible.
ReplyDeleteYaani wewe ndo umetuchanganya kabisaaa, sio siri. Confuser mkubwa sana wewe.
ReplyDeleteimpossible
ReplyDeleteHapa hamana mwenye uwezo wa kujua maana ya hili swala isipokuwa Mwenyezi mungu Mwenyewe,kwani kama watabiri walitakiwa even kulijua hili hata kabla halijatokea lakini hata baada ya kutokea hamana walichoongea chochote kuhusu suala hili. Hili jambo linamaana sana haswa kwa wale walioamini kuna jambo Mwenyezi mungu anataka tulijue ila tatizo la wanadam wajuaji wengi na wanausahau ufalme wa mungu ndo mana kila mtu aandila lake.Tumrudie Mungu na kuacha maasia kwani hizo zote ni dalili za mwisho wa dunia anaetaka akubali na asiyetaka aache ila ukweli ndo huo.
ReplyDeleteBongo ndio hamkutangaziwa, wengi walio ughaibuni watakwambia kuwa walilijua hili, I knew abt this 2 weeks befor it happened. Na hii ni sayansi ya UNAJIMU. Period.
ReplyDeleteJamani michuzi fanya mawasiliano na hawa jamaa zetu wa mamlaka ya hali ya hewa,,,,wanajua mambo mengi juu ya anga, tena ukimpata Dr. mhita, atasaidia kumaliza huu utata
ReplyDelete