alijulikana kama bileku mpasi (rapa na dansa wa pepe kalle) wa bongo kwa umahiri wake wa kusakata kwasakwasa. wadau kuna anayejua aliko kokoliko siku hizi na anafanya nini?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Bileku mpasi alikwenda Morogoro baadaye rafiki yangu akaniambia kuwa alimuona A- town, sijamsikia tena.
    Ni kama Jaco wa Dar mtaalamu wa brekidansi naye hatumsikii tena.

    Kweli watu huwa wanaibuka na kutoweka, huko kijiji cha Mugumu alikuwepo 'Maradona' (kiongozi wa hospitali) alikuwa ana mapafu na vyega vya mauzi sijui aliishia wapi.

    ReplyDelete
  2. Ni MC siku hizi.Mara nyingi yuko Magomeni lango la jiji.Kuna grocery moja kwa Frank.Au kuna mahali wanauza bia za jumla maeneo hayohayo panaitwa IMAMA,na meneja wa hapo IMAMA ni Mr.Fumbo.Muulize Fumbo au Frank watakupa habari zake.Mara ya mwisho alikuwa anishi KIGOGO.Au kama una shida nae sana kila jumamosi na Jumapili anakimbia kufanya mazoezi mpaka maeneo ya Ukonga na kurudi Mlie timing njia toka kigogo-karume-na keulekea airport.

    ReplyDelete
  3. Kuna jimama limejitolea kumfuga...wewe una shida naye gani mwanaume mwenzio??

    ReplyDelete
  4. Alikuwaga Arusha akapata deal kwenda canada.....wadau wa canada mna mjua huyu?

    ReplyDelete
  5. WEWE MICHUZI WEWE HIVI HUYU SIYO ZAMOYONI MOGELA AKISHANGILIA UBIGWA WALIO UPATA MWAKA 1983? NAKUMBUKA HAPO NI MAGOMENI DDC ENZI HIZO SIJUI KAMA MICHUZI ULIKUWA DAR ENZI HIZO MAANA NASIKIA UMEKULIA LINDI, HUKO NAMTOMBO LINDI!MIMI NILIKUWA NIMEMALIZA FORM FOUR PALE ST. ANTONY MBAGALA NILIKUWA NA AKILI SANA DARASANI, NDIYO MAANA HATA MUZUMBE KULE MUROGORO NILIFANYA VEMA SANA NIMEACHA KAHISTORIA MWULIZE HATA KAKA YANGU WA KAMBO WA CANADA ANANIKUMBUKA MAANA TULIKUWA NAYE MUZUMBE CHUO KIKUU MUROGORO!

    ReplyDelete
  6. Ni kweli yuko Magomeni Mapipa kijiwe chake ni Hilux Bar na kazi yake kwa sasa ni MC.

    ReplyDelete
  7. Mdau wa m/nyamala saloon unaonekana humjui kokoliko bali umejipendekeza tu kwani kokoliko hajawahi kucheza brekdansi yeye alikuwa na anacheze magoma ya kizaire tu. na hivi sasa huyu bwana anapatikana mkungugu ni muuza chips maarufu pale mkungugu.
    Mdau
    kisiju pwani

    ReplyDelete
  8. anony 9:27
    Rudi shule usomeshwe tena namna ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa.
    habari ya brekidansi haikumuhusu BILE bali JACO- yaani Michael Jackson wa Bongo upo hapo.

    ReplyDelete
  9. mara ya mwisho nilimwona magomeni kwa macheni kachoka kishenzii mpk huruma,sijui nini kinawamaliza hawa,hata ukimnunulia bia anakwambia blaza hiyohela nitoe tu angalau ntapata msosi,nkamwambia poa msosi agiza na bia pata na ya kesho vilevile nikamtoa

    ReplyDelete
  10. wee kisju pwani usituzingue na hicho kijiji chenu cha mkungugu. inaelekea huna habari zake wala nini, najua unatazitamani sana chips ila uwezo huna si vibaya ukaendelea na tu madafu hayo ndiyo majaaliwa.

    ReplyDelete
  11. hahahaaa wadau pembeni si mbunge wa Tegeta? balozi wa nanihii katika tashwira enzi hizo Camera lazima uwe na betri kumi mfukoni ndo alikuwa anabadilisha hahahaahaaa!!Mdau Burunga kijijini.

    ReplyDelete
  12. michuzi mtoto wa mjini akiwa na kina makochela. uliza watu wa mjini watakwambia. kwanza muongo 1983 st.Anthony ilikuwa haijaanza. ilianza 1989 baada ya kuona AL HARAMAIN IKITESA sana hasa A LEVEL.MICHUZI KATOKA MBALI TULIKUWA NAE GEREZANI CLUB NA MAGOTI.

    ReplyDelete
  13. michuzi inaelekea hawakujui vizuri hasa huyo anaesema ulikuwa lindi enzi hizo,akaulize pale YMCA enzi za akina Gibson(marehemu mngu amweke pema)na Franco mzee wa chadema.

    mdau UK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...