Baada ya kufanya show ya karne huko Atlanta Ga. iliyokubalika na maelfu ya washabiki waliokwenda kumuona, Mwanamuziki Alikiba ataendeleza libeneke huko Seattle, Wa Jumamosi 12/06/08.

Wakazi wote wa Seattle na vitongoji vyake mnakaribishwa kwa wingi mje mshuhudie umahariri wa Mwanamuziki wetu huyu kutoka Tanzania. "CINDERELLA", "MAC MUGA" "NAKSHI MREMBO" "NJIWA" Ni baadhi ya vibao ambavyo Alikiba ataviporomosha jukwaani pamoja na vingine sita kutoka kwenye albamu yake mpya anayotegemea kuitoa Mwakani.

Alikiba anawaahidi washabiki wake kuwapa kitu special siku hiyo ya jumamosi kwa hivyo basi usikose kuhudhuria. kwa maelezo zaidi angalia flier hapo juu ama nenda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. NIMEICHOKA HII SURA APA,,,khaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...