maandalizi ya krisimasi uwanja wa ndege wa julius nyerere dar yamepamba moto

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. MAMBO NAONA NDO KWELI YA X MAX YAMEENZA,SALAM KWA WAFANYABIASHARA KWA WENZATU WA MAJUU YAANI MAMTONI NDO KIPINDI CHA KUPUNGUZA BEI BIDHAA KWANI WATU WENGI WANANUNUA KWAHIYO BIDHAA NYINGI ZINANUNULIWA KWA WINGI NA KUJIANDAA KUINGIZA MALI MPYA KWA MWAKA UNAFUATA.SASA HAPA BONGO NDO KWA KWANZA WAFANYA BIASHARA MNAPANDISHA BEI ILI KUPATA FAIDA KUBWA NA WENGI MNABAKI NA BIDHAA KIBAO,NADHANI ELIMU YA BIASHARA BADO INAHITAJIKA SANA KWA HAPA BONGO.SOLOMON

    ReplyDelete
  2. Lakini waache tabia ya kuibia mizigo ya abiria wanaowapa mishahara. WIZI WIZI MTUPU

    ReplyDelete
  3. Balaa ndo linaanzia hapa.....msifungie macho kindumbwendumbwe cha januari.....ZE SCHOOL FEEEZ....ACADEMICS za wanetu!!!!

    ReplyDelete
  4. Christmas ndo hiyo na wengine ndo wanaoa, wanaolewa na ubarikio,yaani kadi za mchango zimepamba moto,kadi za harusi ubarikio,halahala january kuna maisha yanaendelea kama Mungu atatuweka!!!!!

    ReplyDelete
  5. Hiyo miti ni ile ya plastic?if so kwa nini wasipande miti ya cristimas hapo uwanjani ili ikifika wakati kama huu wanapamba tu,raha ya mti wa kristmass ni harufu ati.asanteni

    ReplyDelete
  6. ufisadi tu,na UVIVU MKUBWA

    ReplyDelete
  7. Faza krismasi wa kibongo nae kapamba moto katika picha hii ya kueneza biashara...

    ReplyDelete
  8. KWA UTAMADUNI WA KAWAIDA SI KWELI KWAMBA WAKATI WA X-MAS MAMTONI VITU HUSHUKA BEI, HIYO NI ELIMU NYA BIASHARA GANI? WAKATI WA X-MAS BEI HUWA JUU HKU MAMTONI KWA VILE KUNA DEMAND KUBWA YA VITU, BEI HUSHUKA CHINI BAADA YA X-MAS NA MWAKA MPYA SI KABLA YA HAPO, NENDA U.S.A, U.K, CANADA HIVYO NDIVYO ILIVYO MIAKA YOTE, NI MWAKA HUU NTU BEI ZIMESHUSHWA HATA KABLA X-MAS KWA VILE KUNA CREDIT CRUCH NA RECESSION, ZIMESHUSHWA ILI KU-STIMULATE ECONOMY, KUWA FUTA WATU WATUMIA SAVINGS ZAO ILI UCHUMI UAMUKE, LAKINI MIAKA MINGINE YOTE SALE UANZA BAADA YA X-MAS NA NEW YEAR, USIPOTOSHE WATU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...