WAKAZI WA LONDON WEMBLEY PATAKUWA HAPATOSHI JUMAMOSI, HEBU WATEMBELEE JAHAZI MODERN TAARAB HAPO CHINI UONE MAMBO YAO
http://www.eastafricantube.com/media/462/Jahazi_Modern_Taarab_-
_Two_In_One/ http://www.eastafricantube.com/media/9576/Kazi_ya_Mungu_haiingiliwi_-Jahazi_Modern_Taarab_with_Khadija_Yusuphy/ http://www.eastafricantube.com/media/9032/Jahazi_Modern_Taarab_-_Mkuki_Part_2/ http://www.eastafricantube.com/media/8371/Nakula_kwa_nakshi_nakshi
-mzee_yusuf/ http://www.eastafricantube.com/media/15519/Niepushie_-
_Jahazi_modern_taarab_na_Miriam_Amour/ http://www.eastafricantube.com/media/8115/undugu_Hazina_Yetu-_Mzee_Yusuph/
Tunawasubiri kwa hamu Mzee Yusuf na Jahazi Taarab hapa London, video zenu kutoka eastafricantube ni nzuri sana.
ReplyDeleteduh mambo haya namtafuta huyu mtoto kwenye hii video niko tayari kumuoa leo leo. http://www.eastafricantube.com/media/9032/Jahazi_Modern_Taarab_-_Mkuki_Part_2/
ReplyDeletemimi sifiki, mzee yusuf katukejeli wapiga boksi katika nyimbo yake moja, pia kaimba kuwa hana haja ya pound sasa nikienda si atapata tija? laiti ingelikuwa ni bure kwa vile hana shida ya pound basi ningelifika. nahiari niende kupiga boksi
ReplyDeleteah masikini mambo gani haya, taarab kweli imekufa sasa tunaletewa staili hii ndio inaitwa taarab. ala zitumiazo ni tafauti, style ya nyimbo na maudhui ni tafauti, uchezaji ni tafauti, ilikuwa akina mama tu dnio wanaocheza sasa naona kama wako katika sindinge ngoma. hivi kipo kikundi kinachoendeleza taarab ya asli hususan kwentu zanzibar tulikozoea kusikilza nyimbo za tarab redioni zikatulaza usingi mnono sio mapigo haya ya leo yanaitwa tarabu
ReplyDeleteUnamtafuta huyo mwenye makalio makubwa au yupi? hebu tuelezee
ReplyDeleteHahahahaaaaaaa, hii sijawahi kuiona, wamebanaaa wameachiaaa
ReplyDeleteHuyu Pinto na mwenzie mbona wanataka kutuchezea? sisi tunataka MUKRIM au IKHWAN SAFAA kaenda kutuletea huu upuuzi wanaita MODERN TAARAB!
ReplyDeleteWho listens to this nonesense?
ahh mie nitakaa ndani nasikiliza MALINDI kwa mbaali badala ya kwenda kwenye haya MAYENU sikuhisi wanaita MODERN TAARAB