Home
Unlabelled
mbilia bel ajichana makange break point
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo ni safi kabisa!
ReplyDeletesana tu bosi na uzi wa imarati -aminia
ReplyDeleteWadhamini wa Mbilia Bel mmesahau yalompata Generali Defao? aliumwa karibu ya kufa kwa kula chakula sehemu kama hizi.
ReplyDeleteSie tumeshalipa viingilio 'in advance', hivyo hakikicheni nyama choma inaiva inavyopaswa kwa kuzingatia viwango vya afya sije Mbilia ziara yake ikaanzia na kuishia hospitali.
Break point wapi,,,, hapo Rose Garden!
ReplyDeleteMhh, kweli amechoka. Ile picha ya juzi hapa hapa tulidhani kakijana bado. Au ndiyo jua la bongo limepiga tayari?
ReplyDeletewhat the difference between machiken na nyama za kuku? au ndo lugha mbovu mbovu
ReplyDeleteNaomba unieleweshe maana ya makange au ulimaanisha makande?
ReplyDeleteAmechoka kula kwenye mahoteli makubawa au wanabana matumizi hivi Mr. Michuzi.
ReplyDeletekapunguwa sana ndo mana Zaire wanamzushia anaugonjwa lakini ni uzushi kukonda huko kama angekuwa na ngoma hata jukwaa hasingepanda,mana angekuwa kwenye hatuwa ya mwisho,labda anafukuzia ujana
ReplyDeletehuyo mdau naona yeye ndiye amechoka na pia naona macho yake hayoni vizuri amone doctor mara moja. huyo mama anapendeza sana anaonekana kama msichane acha wivu
ReplyDeleteANAONEKANA MSICHANA ZAIDI HATA KULIKO ALIVYOKUJA NA TABU LEY MIAKA 20 ILIYOPITA KWA WALE WANAOKUMBUKA
ReplyDeleteUso umeiva hawa watu kwa kujichubua hawajambo. I hope alikuja na sun screen manake jua let halijambo
ReplyDeleteHuyu ni mswahili mwenzetu tu huyu, chakula cha kienyeji anakijua,mi sioni tatizo
ReplyDeleteHuyu dada ni wa siku nyingi, fikiria Tabuley alivyo kuwa naye
m3
Dah huyu Kibibi bado anavaa ki sister duu, ananikumbusha Latoya Jackson kwenye 2002 BET Awards , kava kama ana miaka 16 wakati ni yuko 50+.
ReplyDeleteNaona bado yuko Bomba manaa sikujua kama ni huyo wa kati kati, hivi ana miaka mingapi huyu maana na hisi yuko sawa na mama yake ku age !
Huyo anaye uliza makange tehe tehe tehe mwambie arudi bongo ndo atajua makange ni nini. naona mkiyajua na kamgahawa hako ka uthunguni sijuiii nanii hiii itakuwa tabu kweli kweli. makange kwa bada we kiboko
ReplyDeleteukweli ni kwamba! walio mdhamini
ReplyDeletewamemwambia kuwa hawana uwezo wakumlisha mahotel makubwa,na watampeleka kwa mama ntilie naye
alikubali kutia sahini mkataba huo.
Jamani ng'ombe hazeeki maini. Mnaosema amezeeka ninyi ndiyo mmemzeesha?? Binti bado kabisa. Anapo-maintain figure mnasema amekonda mara ana ngoma. Acheni hizo. Je ninyi mmepima? Mbilia bado wamo na chati yake bado iko juu sana tu. Ninyi toeni tu kiingilia mkajionea mavituzzzzzzzz yake siku ya siku.
ReplyDeleteMdauzi