mwanamuziki mkongwe toka kongo mbilia bel akijichana makange break point ya mjini ambako ndiko alikopangiwa kula baada ya kukinai machiken chipsi na nyama za kuku kwenye mahoteli makubwa. bosi wa break point daudi yupo na uzi wake wa imarati

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. sana tu bosi na uzi wa imarati -aminia

    ReplyDelete
  2. Wadhamini wa Mbilia Bel mmesahau yalompata Generali Defao? aliumwa karibu ya kufa kwa kula chakula sehemu kama hizi.

    Sie tumeshalipa viingilio 'in advance', hivyo hakikicheni nyama choma inaiva inavyopaswa kwa kuzingatia viwango vya afya sije Mbilia ziara yake ikaanzia na kuishia hospitali.

    ReplyDelete
  3. Break point wapi,,,, hapo Rose Garden!

    ReplyDelete
  4. Mhh, kweli amechoka. Ile picha ya juzi hapa hapa tulidhani kakijana bado. Au ndiyo jua la bongo limepiga tayari?

    ReplyDelete
  5. what the difference between machiken na nyama za kuku? au ndo lugha mbovu mbovu

    ReplyDelete
  6. Naomba unieleweshe maana ya makange au ulimaanisha makande?

    ReplyDelete
  7. Amechoka kula kwenye mahoteli makubawa au wanabana matumizi hivi Mr. Michuzi.

    ReplyDelete
  8. kapunguwa sana ndo mana Zaire wanamzushia anaugonjwa lakini ni uzushi kukonda huko kama angekuwa na ngoma hata jukwaa hasingepanda,mana angekuwa kwenye hatuwa ya mwisho,labda anafukuzia ujana

    ReplyDelete
  9. huyo mdau naona yeye ndiye amechoka na pia naona macho yake hayoni vizuri amone doctor mara moja. huyo mama anapendeza sana anaonekana kama msichane acha wivu

    ReplyDelete
  10. ANAONEKANA MSICHANA ZAIDI HATA KULIKO ALIVYOKUJA NA TABU LEY MIAKA 20 ILIYOPITA KWA WALE WANAOKUMBUKA

    ReplyDelete
  11. Uso umeiva hawa watu kwa kujichubua hawajambo. I hope alikuja na sun screen manake jua let halijambo

    ReplyDelete
  12. Huyu ni mswahili mwenzetu tu huyu, chakula cha kienyeji anakijua,mi sioni tatizo
    Huyu dada ni wa siku nyingi, fikiria Tabuley alivyo kuwa naye
    m3

    ReplyDelete
  13. Dah huyu Kibibi bado anavaa ki sister duu, ananikumbusha Latoya Jackson kwenye 2002 BET Awards , kava kama ana miaka 16 wakati ni yuko 50+.

    Naona bado yuko Bomba manaa sikujua kama ni huyo wa kati kati, hivi ana miaka mingapi huyu maana na hisi yuko sawa na mama yake ku age !

    ReplyDelete
  14. Huyo anaye uliza makange tehe tehe tehe mwambie arudi bongo ndo atajua makange ni nini. naona mkiyajua na kamgahawa hako ka uthunguni sijuiii nanii hiii itakuwa tabu kweli kweli. makange kwa bada we kiboko

    ReplyDelete
  15. ukweli ni kwamba! walio mdhamini
    wamemwambia kuwa hawana uwezo wakumlisha mahotel makubwa,na watampeleka kwa mama ntilie naye
    alikubali kutia sahini mkataba huo.

    ReplyDelete
  16. Jamani ng'ombe hazeeki maini. Mnaosema amezeeka ninyi ndiyo mmemzeesha?? Binti bado kabisa. Anapo-maintain figure mnasema amekonda mara ana ngoma. Acheni hizo. Je ninyi mmepima? Mbilia bado wamo na chati yake bado iko juu sana tu. Ninyi toeni tu kiingilia mkajionea mavituzzzzzzzz yake siku ya siku.
    Mdauzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...