Mdau Saidi Yakubu na mai waifu wake Dida na wamekula nondozzz alhamisi katika mahafali makubwa huko Essex. Yakubu kala ya MA in Corporate Governance ambapo mai waifu wake kavuta nondozz ya Business Management!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. hongereni na mmependeza sana
    said naomba email yako, kuna issues nataka nikuulize kuhusu Essex
    will appreciate
    my email ni jjully777@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Mr & Mrs Yakub.

    ReplyDelete
  3. GUD one Said safi sana keep it up.
    Mates from Popatlal

    ReplyDelete
  4. Hongera Brother said na Mama mu tunawatakia mafanikio mema
    by brother ali fammily

    ReplyDelete
  5. Hongereri Saidi na Dida , mmependeza sana tena.

    ReplyDelete
  6. Hongereni sana.

    Salaams to Muntasir.. afuate nyayo zenu.

    //Nuru.

    ReplyDelete
  7. Hongereni sana.

    Salaams to Muntasir.. afuate nyayo zenu.

    //Nuru.

    ReplyDelete
  8. Congratulations Yakubu's family...
    Chungulia mails zako kuna ujumbe wako...

    ReplyDelete
  9. Tangu nizaliwe sijawahi kuona picha ya wasomi wawili wapendanao iliyowapendeza kama hii. Na match yenu iko complete, na mmeshafanana. Mungu akujaalieni wema katika kutumia elimu yenu kuleta ufanisi kazini na kuhamasisha wengine wasome.

    ReplyDelete
  10. Kwa kweli mu wazuri. Hongereni.

    ReplyDelete
  11. Hi! Hongereni sana !sana !kwa kufukuza ujinga ndani ya nyumba yenu!
    Tena Mpendeza sana sana mungu hawazidishie ulinzi.

    ReplyDelete
  12. MASH ALLAH!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  13. Congratulation Yakubu's Family

    One philosopher once said 'The success usually comes after 'hardwork,determination,dedication and faith'

    What you have achieved is a proof that 'YES IT IS POSSIBLE'.

    Kila la kheri ktk mafanikio.

    ReplyDelete
  14. HONGERA BWANA NA BIBI YAKUBU ITS ME R.MIGEZO KEEP IT UP.

    ReplyDelete
  15. Kaka,

    Hongera, katibu mkuu wako hapa still representing you with UN.

    Salam kwa bwana mdogo Muntasir.

    Ruta D.

    ReplyDelete
  16. Hongereni wenetu Saidi na Dida,
    Tuleteeni hiyo elimu yenu huku Tanga itusaidie

    ReplyDelete
  17. niliwahi kusikia watu wakikaa pamoja na wanapendana wanaanza kufanana hata sura...nyie kwa kweli msingesema ni couple basi ningejua nyie ni ndugu jinsi mlivyofanana na hongereni sana sasa elimu ilete change for the better!

    ReplyDelete
  18. wamependeza sijapata kuona

    ReplyDelete
  19. hongereni mmependeza kweli na nafurahi mnarepresent tanga hiyo babkubwa,nuru namuona brother hapo na wewe sijui lini utagraduate haha agaa,au degree ya chaudry inatosha haha
    rama kessy

    ReplyDelete
  20. Ooh nice one bamdogo and did, you finally made it!! A big Mmmwa to my lil' One Tasir wangu...he has some big feet to fit into

    ReplyDelete
  21. hey Said Congrats sana sana sana thats how we roll in the family siunajua what im talking about all the best,write me on haluamzee@yahoo.co.uk tell Nuru to write me too,
    Always mamaodo,
    Halua.

    ReplyDelete
  22. mhh kana ntu na kakie vile walisema hayawi hayawi hayawi na vile yanekuwa waja leo wandoka leo haya mwaja lini tuparti hizo nondo manake mta pokewa ile ya hero welkome huku wezenu twala vumbi tu haya twakusubirni basi

    ReplyDelete
  23. Congrats to the new POWER COUPLE.

    ReplyDelete
  24. you two look great, congratulations

    ReplyDelete
  25. Excellent!!
    Way to go guys.

    ReplyDelete
  26. A perfet match! amma kweli couples are made in heaven.

    Hongereni sana kwa nondoz. Sasa tunasubiri picha ya Dr. Saidi Yakubu na Dida wake.

    ReplyDelete
  27. Hongera sana,Mr.and Mrs.Yakub,familia imetulia hiyo wasomi wawili.Saidi nakuamia toka kule Tambaza,Headboy wetu wa mwaka 2000,ulipata kura yangu.

    ReplyDelete
  28. Mashallah haki ya mungu Mola awazidishie kila la kheri

    ReplyDelete
  29. Duh! Said Yakub aliyekua kaka mkuu usagara sec, sikutegemea kama nitakuona tena ukiwa juu kama JD aimbavyo. Hongereni sana sasa mrudi TANGA mji ubadilike uwe na maendeleo. kila la kheri wewe na mkeo mmependeza sana.

    ReplyDelete
  30. hongera First lady wetu Dida na kamanda yakub kazi kubwa mmefanya kusoma,ndoa,kazi na kulea si mchezo.
    ni meya wenu wa London.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...