Marehemu Mzee Stephen Austin Nalitolela

Familia ya Marehemu Stephen Austin Nalitolela inawataarifu ndugu, jamaa na marafiki kuwa kutakuwa na misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kufariki kwa mzee wao
Stephen Austin Nalitolela
aliyetutoka tarehe 6.12.07 na kuzikwa 09.12.07 katika makaburi ya Kinondoni, Dar es salaam.
Misa hiyo itafanyika Jumamosi, tarehe 6.12.08 katika kanisa la Anglikana la Mbezi Luis kuanzia saa tatu asubuhi. Wote mnakaribishwa
Mungu amlaze mahali pema peponi
- Amina.
Watoto wa Marehemu
Stephen Austin Nalitolela.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...