kila kona katika mwezi huu unakutana na taswira mwanana ya mti wa krisimasi. wadau mnaojua jina lake kwa kimatumbi na kwa kiinglishi tunaomba tuelimishane unaitwaje?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. Bougainvillea

    ReplyDelete
  2. unaitwa mzaliwa kwavile unatoa maua kipindi cha kuzaliwa kwa yesu tu

    ReplyDelete
  3. taenia solium

    ReplyDelete
  4. unaitwa Flame of the forest

    ReplyDelete
  5. FLAMBOYAN TREE

    ReplyDelete
  6. we anon uliyesema ni taenia solium ni nanga! That's a worm!! Hujui kutumia mtandao nini?
    Ni flamboyan or flamboyant...they might be the same au kuna tofauti ndogo sana maana maua ndo ivyo wanavyo-classify!

    mtoto

    ReplyDelete
  7. Unaitwa "jacaranda"

    ReplyDelete
  8. mkrismasi.au wewe unataka uitwe jina gani? hicho ndo kimatumbi unadhani kiingereza

    ReplyDelete
  9. tushike lipi tuache lipi haya basi tumalize debate unaitwa..... taifa star

    ReplyDelete
  10. MKARATUSI!!!

    ReplyDelete
  11. sasa mimi mnanichanganya nataka kwenda ununua niupande kwangu, nikifika niwaambie jina gani? kila mtu kaja na jina lake.

    ReplyDelete
  12. Unaitwa MTI!!!!!

    A.k.a Mmaua

    ReplyDelete
  13. Unaitwa MTI!!!!!

    A.k.a Mmaua

    ReplyDelete
  14. Nikikumbuka kwenye biolojia unaitwa "PRIDE OF BARBADOS" tena ulitoka kwenye swali la O-level final exam 1980. mnabisha sasa???

    ReplyDelete
  15. anon uliyesema huo ni "mkaratusi" lazima utakuwa mtoto wa ngara wewe. hahahahahaha

    ReplyDelete
  16. heeeeee nyie watu hahahahaa teh teh
    me najua waitwa christmas tree original-nature
    au ancient x-mas tree
    home zipo 2

    ReplyDelete
  17. Sasa kumweleza mwingine asiyejua mpaka umwite mwezio NANGA. Wabongo bwana hatukui....no wonder jina lako ni mtoto....Shame on you

    ReplyDelete
  18. Ahhhhhhhhhh jamani na nyie hata mbaazi hamuujui jamani acheni utani mwenzenu kauliza

    ReplyDelete
  19. Waitwa 'Nandi Flame' mti huu.Nawasilisha, kwa nia njema.

    ReplyDelete
  20. Najua unaitwa 'jacaranda' kama sivyo basi ni aina mojawapo za 'jacaranda' ukikosa jibu humu wasiliana na Chuo cha Misitu Olmotony Arusha au SUA Morogoro! Kwa mtaji nilioona hapo juu hutojua au hatutopata jibu sahihi! Labda badae tukupe mji!

    ReplyDelete
  21. unaitwa mti wa krisimasi kama unaununua bongo kwa mzungu ni christimas tree ninayo 4 kila chumba kwa ajili ya kumfulaisha mungu

    ReplyDelete
  22. we anon December 03, 2008 12:06 AM wacha kuwa nanga na wewe pia! Mtu ana internet anashindwa hata ku-google kitu na kutoa jibu la kijinga namna hiyo...huyo ni nanga numba 1. Wewe unajua 'taenia solium' ni nini au kelele tu?
    Wengine wanaandika jacaranda...yani hata ku-google angalau picha waone wanashindwa. mie nachoka kabisa...unanga mwingi sana


    mtoto

    ReplyDelete
  23. Jamani wala msibishane bila ushahidi nasisitiza ni "Pride of Barbados" ingia google search image, utapata kila aina. Bado mnabisha?? Nawasilisha na kufunga mjadala. Dada Gie

    ReplyDelete
  24. mdau uliesema proud of Barbados kumbe kijeba. Kumbe blog inatembelewa na vijeba. Mdau kasema liliulizwa swali kwenye paper ya o` level 1980!!!
    Mdau , Mtoni kwa Azizi ALI.

    ReplyDelete
  25. unaitwa mkenge

    ReplyDelete
  26. kuwa kijeba si hoja! hata wewe utafika. Muhimu ni ufahamu wa mambo na kumbukumbu. Ni kweli unaitwa "Pride of barbados" au "Fire tree". Acha ushamba eti hata vijeba wanatembelea mtandao. Watu wengine bwana wanaboa wakikosa hoja zilizoenda shule bora waropoke. Good day!

    ReplyDelete
  27. hivi hamsikii unaitwa Taifa Star

    ReplyDelete
  28. Jamani ni Jacaranda eti. Viipi nyie aagh!!!

    ReplyDelete
  29. Jacaranda una maua ya blue/purple umbo la kengele, nikiwa mdogo nilikuwa nauita mti ulaya. nenda kwa google image utapata picha yake

    ReplyDelete
  30. Mti huu una majina mengi- Flame tree, Flamboyant yakiwa mawili ya haya. Botanical name ni Delonix regia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...