Home
Unlabelled
mkrisimasi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bougainvillea
ReplyDeleteunaitwa mzaliwa kwavile unatoa maua kipindi cha kuzaliwa kwa yesu tu
ReplyDeletetaenia solium
ReplyDeleteunaitwa Flame of the forest
ReplyDeleteFLAMBOYAN TREE
ReplyDeletewe anon uliyesema ni taenia solium ni nanga! That's a worm!! Hujui kutumia mtandao nini?
ReplyDeleteNi flamboyan or flamboyant...they might be the same au kuna tofauti ndogo sana maana maua ndo ivyo wanavyo-classify!
mtoto
Unaitwa "jacaranda"
ReplyDeletemkrismasi.au wewe unataka uitwe jina gani? hicho ndo kimatumbi unadhani kiingereza
ReplyDeletetushike lipi tuache lipi haya basi tumalize debate unaitwa..... taifa star
ReplyDeleteMKARATUSI!!!
ReplyDeletesasa mimi mnanichanganya nataka kwenda ununua niupande kwangu, nikifika niwaambie jina gani? kila mtu kaja na jina lake.
ReplyDeleteUnaitwa MTI!!!!!
ReplyDeleteA.k.a Mmaua
Unaitwa MTI!!!!!
ReplyDeleteA.k.a Mmaua
Nikikumbuka kwenye biolojia unaitwa "PRIDE OF BARBADOS" tena ulitoka kwenye swali la O-level final exam 1980. mnabisha sasa???
ReplyDeleteanon uliyesema huo ni "mkaratusi" lazima utakuwa mtoto wa ngara wewe. hahahahahaha
ReplyDeleteheeeeee nyie watu hahahahaa teh teh
ReplyDeleteme najua waitwa christmas tree original-nature
au ancient x-mas tree
home zipo 2
Sasa kumweleza mwingine asiyejua mpaka umwite mwezio NANGA. Wabongo bwana hatukui....no wonder jina lako ni mtoto....Shame on you
ReplyDeleteAhhhhhhhhhh jamani na nyie hata mbaazi hamuujui jamani acheni utani mwenzenu kauliza
ReplyDeleteWaitwa 'Nandi Flame' mti huu.Nawasilisha, kwa nia njema.
ReplyDeleteNajua unaitwa 'jacaranda' kama sivyo basi ni aina mojawapo za 'jacaranda' ukikosa jibu humu wasiliana na Chuo cha Misitu Olmotony Arusha au SUA Morogoro! Kwa mtaji nilioona hapo juu hutojua au hatutopata jibu sahihi! Labda badae tukupe mji!
ReplyDeleteunaitwa mti wa krisimasi kama unaununua bongo kwa mzungu ni christimas tree ninayo 4 kila chumba kwa ajili ya kumfulaisha mungu
ReplyDeleteHauna jina huo!!
ReplyDeletewe anon December 03, 2008 12:06 AM wacha kuwa nanga na wewe pia! Mtu ana internet anashindwa hata ku-google kitu na kutoa jibu la kijinga namna hiyo...huyo ni nanga numba 1. Wewe unajua 'taenia solium' ni nini au kelele tu?
ReplyDeleteWengine wanaandika jacaranda...yani hata ku-google angalau picha waone wanashindwa. mie nachoka kabisa...unanga mwingi sana
mtoto
Jamani wala msibishane bila ushahidi nasisitiza ni "Pride of Barbados" ingia google search image, utapata kila aina. Bado mnabisha?? Nawasilisha na kufunga mjadala. Dada Gie
ReplyDeletemdau uliesema proud of Barbados kumbe kijeba. Kumbe blog inatembelewa na vijeba. Mdau kasema liliulizwa swali kwenye paper ya o` level 1980!!!
ReplyDeleteMdau , Mtoni kwa Azizi ALI.
unaitwa mkenge
ReplyDeletekuwa kijeba si hoja! hata wewe utafika. Muhimu ni ufahamu wa mambo na kumbukumbu. Ni kweli unaitwa "Pride of barbados" au "Fire tree". Acha ushamba eti hata vijeba wanatembelea mtandao. Watu wengine bwana wanaboa wakikosa hoja zilizoenda shule bora waropoke. Good day!
ReplyDeletehivi hamsikii unaitwa Taifa Star
ReplyDeleteJamani ni Jacaranda eti. Viipi nyie aagh!!!
ReplyDeleteJacaranda una maua ya blue/purple umbo la kengele, nikiwa mdogo nilikuwa nauita mti ulaya. nenda kwa google image utapata picha yake
ReplyDeleteMti huu una majina mengi- Flame tree, Flamboyant yakiwa mawili ya haya. Botanical name ni Delonix regia.
ReplyDelete