In Thai, NAREE means 'girl/woman' and POL means plant/tree or 'buah'. In Malay, it means women tree. It is amazing.... GOD created the World in many forms that amused human beings. You can see the real tree at Petchaboon province about almost 500 kms away from Bangkok...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. wadau, mimi kithungu kinanichenga kidogo simnajua mambo ya haki elimu ebu nipeni tafsiri ya maneno hayo. pia mnielimisha kama ni mti wa kweli au ni picha tu.

    ReplyDelete
  2. wadau,

    hapo haihitaji kidhungu wala mtafsiri, huu ni ulimwengu wa utandawazi na hakuna tena mipaka ya ki-jiografia ama kisiasa ambayo inaweza kuzuia habari kutoka upande mmoja kwenda mwingine, dunia imekuwa ndogo kiasi cha habari kusikika kirahisi sana kila kona ya dunia. Sasa jiulize... hivi kama kweli mti huu ungekuwepo? Si kila mtu angekuwa anajua na habari zingeenea vyombo vyote vya habari Duniani... tena ingevuma kuliko Obama... Huu ni uongo wa kimtandao (Tunaita Hoax) kama huamini basi tafuta kwenye mtandao (NAREEPOL Tree) utapata picha zinazofanana kabisaaa ni hizi... Sasa kama kweli mti huu upo kwanini kusiwe na picha za aina mbalimbali... mfano mche wake, Shina lake... na wana-science wangejitokeza kibao kutafuta kwanini hauna matunda yenye shape ya mwanaume....

    Naitwa asN
    Mdau Dar

    ReplyDelete
  3. Believe this and you will believe anything - including that the earth is flat (or used to be).

    Kwa mdau aliyesema kidhungu kinamchenga ni kwamba: Ukiamini kuwepo kwa mti huu basi utaamini kila kitu ikiwa ni pamoja na kwamba dunia ni tambarare (au liwahi kuwa).

    ReplyDelete
  4. Ndugu Michuzi, kwanza hongera sana kwa kutuhabarisha toka pande mbalimbali za dunia. Suala la mti huu wenye maua yanayoonekana kwa maumbile ya mwanamke kweli unavutia. Huu mti inaonekana ni wa ajabu sana na ambao unavutia kuangalia na unaweza kuwa na manufaa fulani hata kwa mambo ya utalii. Je mdau aliyepost picha na taarifa hii kama yuko huko Malasia si achukue mbegu zake azilete bongo tuupande ili tuwe nao. Iwapo kila mkoa na kila wilaya wakiupanda mti huu nadhani inaweza kuwa nzuri sana. Wasiliana na huyo mdau afanye mpango wa kuleta mbegu za mti huo. Kama ni vipi kuna wataalamu wa mambo ya misitu na miti pale Sokoine University of Agriculture, Morogoro wanaweza kuasaidia hata namna ya kupata mbegu au cuttings zake ambazo zinaweza kupandwa.
    Ahsante sana kaka michuzi

    ReplyDelete
  5. Hoax - Fiksi

    http://www.hoax-slayer.com/nareepol-tree.shtml

    mdau,
    Hamburg

    ReplyDelete
  6. hii si kweli bali ni internet hoax. Fanya research uone.

    ReplyDelete
  7. UONGO MTUPU!: WADAU MIMI HUWA NI THOMASO, SO HUWA SIAMINI KITU HADI NIONE, AU NISERCH NIPATE MAELEZO YA KURUZISHA.NA HAYA NDIO MAELEZO KWA FAIDA YA WOTE:

    According to this fanciful message, which is making the rounds of the Internet via email, blogs and forums, the accompanying photographs depict an amazing tree in Thailand that grows fruit in human shape. The images show what appears to be small, perfectly formed figures of women "growing" from amid the leaves of the tree.

    Many people apparently believe that the Nareepol Tree and its improbable fruit really exists and, although they have never seen it "in the flesh" (so to speak), some have even come to regard it as a sacred object. However, the Nareepol Tree is almost certainly nothing more than a hoax. If such an amazing phenomenon was real, the tree would undoubtedly be quite famous and there would be many media reports published about it all around the world. The scientific community and religious groups would also have examined the tree and published their findings. Instead, the only information about the alleged Nareepol Tree is in versions of the above message.

    Moreover, the three photographs above appear to be the only images of the tree available. Given the self-publishing power provided by the Internet, if the tree was real, there would surely be myriad photographs of the tree available on many different blogs, travel websites and photo sharing websites.

    According to the message, the Nareepol Tree is located in the Petchaboon province. So, if the tree and its fruit really existed, it would likely be a major tourist attraction for the region and promoted as such. However, the tree is not listed as an attraction on any credible travel related websites for the Petchaboon province.

    Thus, it seems very probable that some unknown prankster has created the hoax by cleverly attaching a few man-made figurines to an ordinary tree's branches and then taking some photographs to document his "creation". The junction where each "fruit" joins the branch is conveniently obscured by leaves, perhaps to hide the wire or twine that holds it aloft. And, the figures look too uniform to be natural. Except for the positioning of the arms, each piece of "fruit" is virtually identical in size and colour. Real fruit is likely to vary considerably in size, hue and quality, even when growing on the same tree.

    The description of the Nareepol Tree and the photographs of its "fruit" are amusing and the message is basically harmless so long as recipients do not take its claims seriously.

    ReplyDelete
  8. aisee huo mti ni kiboko.. kweli mungu kaumba maajabu duniani.. why cant we get some mbeguz na sisi tupande hapa kwetu?
    kaka michu iam amazed to see that tree.. kweli mungu ni mkubwa.. sasa je, huyo mdada hapo analiwa au? i mean hilo tunda lenyewe je, linaliwa??
    mdau- SSD

    ReplyDelete
  9. sasa haya matunda si yatakuwa ya ngali sana,na matamu sana hata kama ni bichi,na kiunoni nadhani nikutamu sana kuliko kichwani.Je mdau ulietuletea hii picha hakuna man tree huko Thai manake wanawake watakuwa wamenyanyapaliwa sana manake hawatakula haya matunda ya kike ywasaidie jama heheheheeeeeee

    ReplyDelete
  10. PHOTOSHOP!!

    Kaka Gee.

    ReplyDelete
  11. This story is a completelly hoax, its a story za kijiweni na hadithi za buricheka.The story has been around 10 months and i never heard a scientist talk about it,in wikipedia or national geography etc,and it always come with the same pictures. The guy is a victim wa matapeli.

    ReplyDelete
  12. Huu sio ukweli jamani... Hii picha ameichukua kwenye forum moja online. Michuzi next time angalia hizi habari. Kuna watu hawana kazi

    ReplyDelete
  13. It is amazing why woman fruits and not men this is man made tree

    ReplyDelete
  14. the Nareepol Tree is almost certainly nothing more than a hoax. If such an amazing phenomenon was real, the tree would undoubtedly be quite famous and there would be many media reports published about it all around the world. The scientific community and religious groups would also have examined the tree and published their findings

    ReplyDelete
  15. It is a hoax. Hakuna kitu kama hicho. Nimejaribu kucheki katika a number of sources lakini hiyo kitu hakuna na kila mahali ni image hizo hizo zatokea. Hata kwenye Thai tourism destinations haipo. Samahani, hio kitu sio kweli.

    ReplyDelete
  16. Hii inaweza ikawa sawa na ile hadithi ya nguva, eti watu wanaiita samaki-mtu!
    Hii ni hadithi, huo ni usanii tu.
    m3

    ReplyDelete
  17. Hata kwa kuangalia tuu utagundua hapa wizi mtupu, kwanini picha ya tatu hilo tunda litafautiane mahali palipokalia kikonyo? huyo mwanamke wa kwanza alieficha aibu yae ya mbele kikonyo kiko utosini, vereje huyo aliyetubong'olea kikonyo kipo kwenye aibu yake ya nyuma? Ama huu ni wizi tena mtupuuuuu.

    ReplyDelete
  18. Bro Michu
    Hayo matunda yaliwaje? ymenwa, yakatwakatwa au yaliwa yikiwa mabivu? ni matamuaje?
    wabeba maboksi tutumieni na sie tuonje basi.

    ReplyDelete
  19. Tupate mbegu. tukaupande kule keko wafungwa wapate mahali pa kuondolea usongo.

    ReplyDelete
  20. Wadau Wote mnaodai ni uzushi basi wao ndio wazushi,

    Kwa taarifa yenu huu Mti upo, na unaishi duniani, hata mi ninao.

    Huu Mti unaitwa m-demu, au mjike.

    Kama kuna mtu anahitaji mbegu zake anitafute kwa 0713 87 56 59,

    Ila awe amejiandaa financially

    ReplyDelete
  21. Ancheni utomaso wadau.
    Infact huyu mleta picha kachanganya tu habari... huu mti nimeuona kwa masikio yangu kule Maneremango

    ReplyDelete
  22. Okay inawezekana huu ukawa ni ujanja ujanja wa computer ili kuvutia watalii huko Thailand. Nakumbuka wakati nipo MOROGORO miaka ya 80 kulishawahi tokea mambo yanayofanana na huu mti wa kutunga. Miti yote ya MIHOGO ilikuwa kila asubuhi inaota vichwa vidogo vidogo nya mwanadamu. Hivi vilikuwa vina macho, masikio, pua, na kila kitu cha kichwani kasoro nywele. Mpaka hii leo sijajua ni nini kilisababisha ile hali. Wadau wa morogoro nadhani mtakuwa mnakumbuka hii.

    ReplyDelete
  23. Kwa wasiojua kutumia computer wataamini, lakini kwa wataalamu wa computer ni rahisi sana kutengeneza kioja hiko machoni mwa watu. Hebu jiulize tu "mti huo una matunda mfano wa mwanamke yenye urefu sawa? Angalia vizuri picha, utaona kuwa msanii wa ICT amepachika picha hiyo kwenye matawi na ncha za majani ya mti.

    ReplyDelete
  24. hahhahahaha ndugu yangu wa mwanarumango kauona huu mti hahaaha mbavu zangu wacha bangi sio mafenesi haya kaka mie nimeyaona CHOLE pale.

    ReplyDelete
  25. danganya toto....hahahahha...how comes ukigooogle that is the only picture available? tetetetetetet....

    ReplyDelete
  26. khaaaaaaaa hahahaaaa teh teh
    aya mambo watu mna stress za ubongo??uyo annon eti kutamu ni kiunoni hahaaaaaa,sio kati?

    ReplyDelete
  27. Wadau as a Professional Graphic Designer nawathibitishia kuwa hiyo ni picture doctoring si picha ya kweli, alichofanya huyo aliyetengeneza hiyo picha ni kuchukua picha ya mti na dolls na kucheza nazo kwenye Photoshop nothing else!

    With Photoshop unaweza kufanya chochote na picha depend with your skills and creativity unaweza hata kumgeuza Matonya akaonekana Bil Gates na Bill Gates akawa Matonya! kama huamini nipe picha yako!!!!

    ReplyDelete
  28. mh staki amini

    ReplyDelete
  29. Matunda matamu kweli kweli miye nimewahi kula, yaliwa kwa nadra tena kwa nidhamu! Yaliwa kichwa na miguu tu. Halahala mnosema hoax na mnotaka kuuza mbegu!

    ReplyDelete
  30. It's hoax and GBV. Tunda linaliwa kuanzia kifuani. Ebo!

    ReplyDelete
  31. jamani sasa hamtaki nini wakati mnaona? me hapo naomba tu kuuliza, tunda hili linaanziwa wapi kula... kichwa, miguu, tumbo, kati au mgongo? litakuwa tam mno...

    ReplyDelete
  32. inawezekana kuwa ni kweli kwa sababu hakuna linalomshinda mungu kuteneza hata kama jana halikuwepo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...