jana ilikuwa zamu ya ifm kula nondozzz. mdau akikatiza tarrrrtiiibu kuelekea nyumbani baada ya kula yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. wow!!
    saafi sana kijana na ivi unasaga mguu na sori yaisha?poa tu utafika paleeeeee nawe ufaudu urojo wa nchi

    ReplyDelete
  2. sasa ngoma ipo katika kupata kazi wanakuja watu kutoka USA na UK na veti vyao havina mpango wanapewa kazi sie wala vumbi hatupati subiri sasa nipige mguu nikipata kazi ninunue Beskeli ya kwendea kazini magari foleni sikuhizi. Ndosi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...