mpiga solo mahiri adolph mbinga (njano) bado yupo fiti na bendi yake ambapo kila jumamosi anatumbuiza pale brake point kijitonyama. wapenzi wa twanga pepeta ya enzi ya 'kisa cha mpemba' na mchinga sound ya kina muumini mwinjuma watamkumbuka kwa kazi yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mbona umetaka twanga pepeta na mchinga sounds tu. Huyu hakuanza kupata umaarufu kwenye bendi hizo aliingia huko wakati ameshakuwa super star.

    ReplyDelete
  2. Sio jumamosi ni ijumaa bwana, bendi yao inaitwa Bulicheka sound, wana mpolampola.

    ReplyDelete
  3. Mbona Jamaa KACHOKA sana,

    Yule wa kipindi kile alikuaga BONGE,

    Hapo hata Hiyo Jinsi ilikuaga inam'bana enzi zake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...