Mdau SOPHIA RWANGA ambaye majuzi amekamata nondozzz yake ya MSc in Geospatial Information System hapo University of Aberdeen, Scotland.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Hizi nondoz kweli zimedizi bongo! Sasa hiyo geospatial ni kitu gani tena?! Itatumikaje kwenye kuukwakwatua umaskini wa Ktz?

    ReplyDelete
  2. Wakati nampongeza mdau kwa nondo..namshauri abaki huko huko aitumie nondo hiyo...Bongo atakufa na njaa na nondo yake ya uskochi!!!!! Hapana shaka ni ya mamabo ya angani huko i mean angeweza kutueleza kwa nini zile nyota ziliuweka mwezi kati na vitu kama hivyo...kwa bongo..akijitahidi sana ni kula TGS D pale hali ya hewa full stop...kama anapokea ushauri namshauri ahakikishe anarudi bongo na nondo nyingine tofauti hiyo kanunua njaa!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. kwani hiyo nondozz ni ya kitu gani mi bado kuisikia jaman.Msaada darajani.

    ReplyDelete
  4. Binti katulia alafu upsatirs yuko okay.Wanawake Tanzania, maendeleo Tanzania, moto moto Tanzania............

    ReplyDelete
  5. Sasa kama hujui Geospatial Information Systems ni kitu gani,definitely huwezi kujua namna gani itatumika kukwamua umasikini.Acha uzembe,nenda google kisha andika neno "geospatial information systems" kisha utapata habari lukuki.
    Ila kwa kukusaidia kidogo tu,kozi hiyo inahusu matumizi ya sayansi ya kompyuta kwenye teknolojia ya mwonekano,vipimo na mchanganuo wa features au phenomena zinazopatikana katika dunia.

    ReplyDelete
  6. She is hot!

    ReplyDelete
  7. Tazama hapa uelewe maana ya geospatial na TZ tunawahitaji watu kama hawa ni maendeleo. http://en.wikipedia.org/wiki/Geospatial

    ReplyDelete
  8. Hongera sana sister. Watanzania tujifunze kuwapa wenzetu sifa zao pale wanapostahili na kuuliza kwa usaarabu kama hujui kitu. Mambo ya kuponda hayatatufikisha mbali. Tanzanian Ladies, way to go!!

    ReplyDelete
  9. ahh... nyie wabeba maboksi kweli wivu inaambatana nanyi mpaka kiama,baadala ya kumpongeza mwenzetu ati mnauliza as if mmemchangia ada zake...congratulation babes!!

    ReplyDelete
  10. We acha ujinga kila mtu akisoma marketing,mba na IT kwingine nani atafanya kazi fungua mtazamo wako usiangalie sehemu moja tu kijana.Kama hujui kitu kuna google usiulize humu watu wanaona mapungufu yako,AHSANTENI.

    ReplyDelete
  11. wabongo bwana mnawaza CHINI tu..... she is hot ndoyo nini......!!!! badala ya kukubali yaliyojiri mnabaki she is hot....!!! wizi wizi tu... Pumbavu..!!!!

    ReplyDelete
  12. Naungana na wadau wengine kumpongeza binti SOPHIA RWANGA, mrembo wa kitanzania aliyebobea kwenye nondoz za mambo za Geospatial Information System. Bravo SOPHIA RWANGA binti wa Kinyarukolo uliyeumbika mwenye sifa zote za uzuri. Hao wanaume wanaokuponda wanakuonea gele na watakutamani pasipo mafanikio. Wapuuze na endeleza libeneke la nondoz kwenye level ya PhD.
    Mdauzi

    ReplyDelete
  13. AMEOLEWA? Ni hayo tu! Michuzi sijachafua hali ya hewa usibane!

    ReplyDelete
  14. TGS D,,,teh teh teh
    bt kuna ufadhili pale idara ya anga nk atalipwa fresh tu,,,na ivi kiinglishi juuu watamlipa km wakenya tu

    ReplyDelete
  15. congrats sis!!!!!!!!!
    I am in hillhead.....
    if you are still in abdn, you can contact me on 07527086452......

    ReplyDelete
  16. Sasa jamani wengine ndiyo tupendavyo: binti hot na upsatirs zinachaji. Sasa tusiseme jamani? Yuko vizuri. Karibu nyumbani sister, it would be a great pleasure to meet you

    ReplyDelete
  17. SAFI SANA .WAJINGA NDIO WANAOHOJI SUNDAY MANARA ALIKUJA 1984 AKASEMA KASOMEA KOMPYUTA WATU WAKAWA WANAFIKIRI NI KIFARU.DADA AMEKWENDA EXTRA MILE AHEAD.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 04, 2009

    Go baby and show them wha your mama gave you.You have made us really proud as anation.It`s high time Tanzania has a lot more intelligent women setting the pace as Rrole Models is our society.

    All i can say i short is Keep up the good work.You have put us on the map.The whole country is proud of you.This is progress baby xxx

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 04, 2009

    that`s my baby xxx

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 06, 2009

    Great to have an intelligent women like you in this whole world.You are star,keep on shinning xxx

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 17, 2009

    YOU ARE AN INTELLIGENT WOMAN.MAY GOD BLESS YOU AND HELP YOU FIND THE BEST JOB THAT YOU REQUIRE.YOU HAVE WORKED REALLY HARD ALL THESE YEARS FOR THIS.YOU DESERVE IT,KEEP IT UP MY SISTER.WE ARE HAPPY FOR YOU.VIVA TANZANIAN WOMEN VIVA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...