Home
Unlabelled
nondozzz za uskochi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hizi nondoz kweli zimedizi bongo! Sasa hiyo geospatial ni kitu gani tena?! Itatumikaje kwenye kuukwakwatua umaskini wa Ktz?
ReplyDeleteWakati nampongeza mdau kwa nondo..namshauri abaki huko huko aitumie nondo hiyo...Bongo atakufa na njaa na nondo yake ya uskochi!!!!! Hapana shaka ni ya mamabo ya angani huko i mean angeweza kutueleza kwa nini zile nyota ziliuweka mwezi kati na vitu kama hivyo...kwa bongo..akijitahidi sana ni kula TGS D pale hali ya hewa full stop...kama anapokea ushauri namshauri ahakikishe anarudi bongo na nondo nyingine tofauti hiyo kanunua njaa!!!!!!!!!!!
ReplyDeletekwani hiyo nondozz ni ya kitu gani mi bado kuisikia jaman.Msaada darajani.
ReplyDeleteBinti katulia alafu upsatirs yuko okay.Wanawake Tanzania, maendeleo Tanzania, moto moto Tanzania............
ReplyDeleteSasa kama hujui Geospatial Information Systems ni kitu gani,definitely huwezi kujua namna gani itatumika kukwamua umasikini.Acha uzembe,nenda google kisha andika neno "geospatial information systems" kisha utapata habari lukuki.
ReplyDeleteIla kwa kukusaidia kidogo tu,kozi hiyo inahusu matumizi ya sayansi ya kompyuta kwenye teknolojia ya mwonekano,vipimo na mchanganuo wa features au phenomena zinazopatikana katika dunia.
She is hot!
ReplyDeleteTazama hapa uelewe maana ya geospatial na TZ tunawahitaji watu kama hawa ni maendeleo. http://en.wikipedia.org/wiki/Geospatial
ReplyDeleteHongera sana sister. Watanzania tujifunze kuwapa wenzetu sifa zao pale wanapostahili na kuuliza kwa usaarabu kama hujui kitu. Mambo ya kuponda hayatatufikisha mbali. Tanzanian Ladies, way to go!!
ReplyDeleteahh... nyie wabeba maboksi kweli wivu inaambatana nanyi mpaka kiama,baadala ya kumpongeza mwenzetu ati mnauliza as if mmemchangia ada zake...congratulation babes!!
ReplyDeleteWe acha ujinga kila mtu akisoma marketing,mba na IT kwingine nani atafanya kazi fungua mtazamo wako usiangalie sehemu moja tu kijana.Kama hujui kitu kuna google usiulize humu watu wanaona mapungufu yako,AHSANTENI.
ReplyDeletewabongo bwana mnawaza CHINI tu..... she is hot ndoyo nini......!!!! badala ya kukubali yaliyojiri mnabaki she is hot....!!! wizi wizi tu... Pumbavu..!!!!
ReplyDeleteNaungana na wadau wengine kumpongeza binti SOPHIA RWANGA, mrembo wa kitanzania aliyebobea kwenye nondoz za mambo za Geospatial Information System. Bravo SOPHIA RWANGA binti wa Kinyarukolo uliyeumbika mwenye sifa zote za uzuri. Hao wanaume wanaokuponda wanakuonea gele na watakutamani pasipo mafanikio. Wapuuze na endeleza libeneke la nondoz kwenye level ya PhD.
ReplyDeleteMdauzi
AMEOLEWA? Ni hayo tu! Michuzi sijachafua hali ya hewa usibane!
ReplyDeleteTGS D,,,teh teh teh
ReplyDeletebt kuna ufadhili pale idara ya anga nk atalipwa fresh tu,,,na ivi kiinglishi juuu watamlipa km wakenya tu
congrats sis!!!!!!!!!
ReplyDeleteI am in hillhead.....
if you are still in abdn, you can contact me on 07527086452......
Sasa jamani wengine ndiyo tupendavyo: binti hot na upsatirs zinachaji. Sasa tusiseme jamani? Yuko vizuri. Karibu nyumbani sister, it would be a great pleasure to meet you
ReplyDeleteSAFI SANA .WAJINGA NDIO WANAOHOJI SUNDAY MANARA ALIKUJA 1984 AKASEMA KASOMEA KOMPYUTA WATU WAKAWA WANAFIKIRI NI KIFARU.DADA AMEKWENDA EXTRA MILE AHEAD.
ReplyDeleteGo baby and show them wha your mama gave you.You have made us really proud as anation.It`s high time Tanzania has a lot more intelligent women setting the pace as Rrole Models is our society.
ReplyDeleteAll i can say i short is Keep up the good work.You have put us on the map.The whole country is proud of you.This is progress baby xxx
that`s my baby xxx
ReplyDeleteGreat to have an intelligent women like you in this whole world.You are star,keep on shinning xxx
ReplyDeleteYOU ARE AN INTELLIGENT WOMAN.MAY GOD BLESS YOU AND HELP YOU FIND THE BEST JOB THAT YOU REQUIRE.YOU HAVE WORKED REALLY HARD ALL THESE YEARS FOR THIS.YOU DESERVE IT,KEEP IT UP MY SISTER.WE ARE HAPPY FOR YOU.VIVA TANZANIAN WOMEN VIVA.
ReplyDelete