omar na emma wakifurahi na wapambe wao kabla ya kuelekea kwenye mnuso karimjee hall
omar cisco mtiro akiwa na mai waifu wake emma wasseh-dee kofa mara baada ya kufunga pingu za maisha leo hapa dar. bi. harusi anatoka liberia (sio nigeria, samahani) na maharusi wote wanaishi new york , marekani
maharusi na wapambe wao (chini) wakiwa na wazazi baada ya kufunga ndoa. kati mwenye chunlai ni baba wa bw. harusi balozi cisco mtiro. kulia juu ni mama mzaa chema na mzee kofa kala waiti.
maharusi na wapambe wakiwa na ndugu wa bi harusi

maharusi na wazazi na ndugu






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. Imekaa vizuri mno...sasa ni ngoma droo, yule bitoz amemchukua Glady na sie tumefanya makamuzi kwa Chief Kofa.
    Yule mdafada aliyesema vidume vya kibongo havivutii kachemsha...analo baabuu

    ReplyDelete
  2. Na kweli Afrikani unioni hapo!!!lakini nani ametangulia greeni kadi???

    ReplyDelete
  3. Kwa niaba ya watu wote wa hapa New York (Uptown) Hongera sana Bwana Omar Cisco Mtiro..

    Sasa wale wakinamama wabongo wanaosemaga ni afadhali waolewe na M-Nigeria hii ni 'counter-attack'.

    Sijui mtasema nini sasa!? Wabongo mnakuja kasi.. Haya mambo ni complete 'reversible reation'.

    taratibu hapo?

    = = =
    Buffalo,
    NEW YORK

    ReplyDelete
  4. SAFI SANA OMMY, WAMACHUKUA DADA YETU LONDON, MISS TZ-UK. TUMEWALIPIZIA HAHAHAHAAA!

    ReplyDelete
  5. Naona wabongo na wanaigeria siku hizi imekua fashion!!

    Hongera bwana harusi na bibi harusi

    ReplyDelete
  6. Hongera Omar..karibu kwenye jumuiya ya wanandoa.

    ReplyDelete
  7. Omar na Emma hongereni sana,mmependeza mno! nawatakia maisha mema ya ndoa na Mungu awabariki.
    Jirani

    ReplyDelete
  8. Ndugu yangu Nshimimana aka Dumisane kuna Uptown-Buffalo na Uptown-NYC sasa sijui wewe unawakilisa wapi? Na hakuna kitu kama hicho New York(Uptown) ila kuna New York(Upstate).

    ReplyDelete
  9. Hongera sana bwana Mtiro na tunakutakia heri katika ndoa yako.
    Please take a good care of her.

    Kama dada zetu wanatuona hatuna mpango na Wapopo wa kinigeria ndio mali kwao basi na sisi hatuna jinsi inabidi maisha yaendelee. Hakuna sababu ya kumpenda just kwasababu ni mtanzania mwenzako lakini haku-appreciate.

    Naomba pia wanaume watanzania wenzangu pia kuna wanawake wazuri tu Kenya, ugali, sukuma week, dagaa, na above all kiswahili watoto wataongea. Pia ni rahisi kwenda ukweni kama michuzi anavyofanyaga. In search of love ukibahatisha TZ ni kitu kizuri lakini pia ukiona wapopo wanakura ya veto usikonde. Extend your search to nchi jirani. This works only if you are a real man, hardworking and faithful and in need of family, na mademu wa kibongo walikuona hauna mpango.

    You love and appreciate and expect the same uncondtionally, suit ina label or not it does not matter. Mimi sijui kufunga neck-tie and my wife does it. And so is shoppings and so many other things. Thank you for loving me for who I am. I feel no fear no worries when I'm with you because I can be myself. You showed me the unconditional love I've never experienced before. You've changed my life and showed me the meaning of being in love.

    I love you and thank you

    ReplyDelete
  10. Jamani mmependeza sana hao wanaosema umeoa mnageria huyo sio mnageria ni Mliberia, na mapaenzi hayachagui kabila ni nyinyi wenyewe maelewano hongera sana kaka yangu Omary.

    ReplyDelete
  11. sasa mnatuchnganya jamani mara Mnigeria mara Mliberia tumwamini nan? ila mimi naelekea kumwamini Misupu maana waliompa hiyo picha wanafahamu ukweli.
    Na kwako misupu kwa nia njema tu huyu ni mtoto (omar) wa bitozi Cisco bastola nje nje. sasa wewe unasema "maiwaifu mke wake" jamaa anaweza akafikiria una njama za kusarandia shauri yako. Usije ukasema hatukuonya. nekisti taim sema "his waifu mke wake".
    kwa anoni wa pili hao sidhani kama wanahitaji greeni kadi ya kijani maana si wabeba maboksi.

    ReplyDelete
  12. Ukimwaga Mbona namwaga ugali

    ReplyDelete
  13. Aa Asifiwe mwenye kuumba (Mmungu) biharusi kajaliwa sihaba mungu awape uharusi wa kudumu.mungu akubarikini lakini juu ya yote hayo mnauona mwanya wa biharusi ??unamaa yake huo hajaliwi tu mwanamke kuwa nao kwa wale wenye elimu ya kujuwa maana yake tutampongeza bwana harusi unastahiki kaka pia msisahau hapa Tz tunawanawake wazuri njooni tuwastiri ndugu na dada zetu

    ReplyDelete
  14. Omar hongera sana kwa hatua hiyo muhimu ya maisha. Nimefurahi sana nilipoona picha yako na shemeji. Please nitafurahi sana kama tutaweza kuonana uso kwa uso kabla hamjarejea NY. Mimi ni Mr. Bonney wa Forodhani Secondary enzi hizooooo! Contacts zangu ni 0717 615535 na 0754 433932. Thanx!

    ReplyDelete
  15. Wajameni eeee ninaomba kuuliza swali, kwani wadada Bongo hawalipiiii. Mm hii inaniuma sana, kwani wanaume zetu wanatukimbia wanaenda kwenye jujus,sasa wajukuu watarithi mila gani.
    Ndoa ni safari!!!
    MM

    ReplyDelete
  16. Mheshimiwa Bonney umeacha number zako kabisa?

    Mdau was 10:32Pm au 2232 Hours.. Tulia! Tulia!

    Mi' niko Uptown-Buffalo hapa!? keyboard iliteleza.. Sijui unategemea nini hapo sasa? niseme NDIO au HAPANA?

    ..Anyway, sisi ni ndugu karibu sana hapa nyumbani Buffalo.. [[[ please feel at home ]]]..

    = = =
    Buffalo,
    New York

    ReplyDelete
  17. mie binafsi nimependa hiyo mix. kuna shemeji yenu mpopo anakuja kujitambulisha muda si mrefu...kaeni mkao wa kula. NYIE ACHENI TU WA-WEST ARE SO MUCH FUN, ESPECIALLY WANAUME.....yaani you feel like you are a queen or something. mtasema mtachoka, lakini mie this time naondoka na mpopo, wabongo nishachoka kukaa jikoni kukanda chapati.

    ReplyDelete
  18. hongera omary,karibu kwenye maisha yandoa.class mate wako forodhani(form 4B)enzi hizooo!!

    ReplyDelete
  19. Kweli dada yangu hapo juu hata mimi sidate wabongo kabisa, nina mpopo pia watake wasitake wavulana wa kibongo bado wapo wapo tena huku kwetu uk ndio sana tu. Ukionekana na mbongo watu wanakushangaa, sisemi kama wote wabaya au vipi ila kuna wengi wao wanaogopa majukumu sorry kaka zetu .

    ReplyDelete
  20. Unajua tatizo kwa nini dada zetu wana tusagia haku majuu eti hatuna mpango? ni kwa sababu sisi wote tuna matatizo yanayo fanana. Dada zetu wanataka angalao unafuu wa maisha na angalao apate makaratasi. ukiangalia wewe mtanzania mwenzake na wewe unatafuta unafuu wa maisha na makaratasi huna, sasa hapo inakuwa tu kusukumana na maisha magumu. kwa dada zetu hali hii ni ngumu sana na hawezi kukaa anahangaika na wewe , kama wanavyo sema huna mpango. akitokea munugu au mpopo anaondoka naye, akiwa na bahati atapata makaratasi au kulipiwa kodi ya nyumba kwa kipidi chote cha mapenzi yatakavyo dumu. ndiyo hivyo tu. hakuna sababu nyingine ya kutukimbia na kutukandia.

    ReplyDelete
  21. Wadau mie mshamba wa bongo naomba kuuliza, hivi kwa nini mnawaita wa-nigeria wapopo???

    ReplyDelete
  22. we call them wapopo because they smell like popos(bats)NB:na wee michuzi sikuhizi umekuwa mpopo nini ?au ndio unawafagilia na wewe kwavile unaishi bongo ambako hamna wapopo wengi???acha kubania comments zetu kuhusu hao wapopo uliza watu wanaoishi nao watakuhabarisha jamaa ni watu wa aina gani haowahalifu wakuu duniani wamejazana jela zote za duniani kuanzia asia huko china,taiwan,singapore nk ulaya ndio usiseme hadi south amerika wamejazana wao tu.bania na hii basi michuzi

    ReplyDelete
  23. WEATHER MTANZANIA AMEOA/OLEWA RUSSIA,MALAWI AU USA- FOR ME IT DOESNT MATTER AS LONG AS WATU WAMEDONDOKEANA, SOTE NI BINANDAMU NA TUSISAHAU KUWA AFRICA NI MOJA NDUGU ZANGU, HII MIPAKA ILIWEKWA NA WAKOLONI TU, AND WHO SAID LOVE CAN BE LIMITED WITH BOUNDARIES?

    ReplyDelete
  24. Hii satilo ya kubebwa na mashemegi ni nzuri sana hii, kesho na keshokutwa utakuta tushaiga hii stailo mh!!!

    Hongereni maharusaaa, mapenzi ni maua popote huchanua, hata jangwani yapo maua jamani, msisikilize maneno ya humu almuradi mmependana kikweli. Mmependeza sana

    ReplyDelete
  25. Nionavyo mimi wanaume wa kibongo sasa inabidi tuwe Pimp for dada zetu kwa wapopo wa kinageria. Tunawakosa vipenzi vyetu lakini angalau tutaambulia kifutia machozi na bado tutakuwapo kwenye loop.

    ReplyDelete
  26. hii message hususani kuhusu akina kaka wa kibongo. mie nakubaliana sana tu na wadada hapo juu kuhusu wapopo. nyie acheni tu wapopo wana good time si mchezo, i don't care kama wanaishia jela. starehe yao ni babkubwa! hawa akina kaka wa kibongo bado wapo wapo tuuu. hata kama mnapendeza, sasa ndiyo mnawa-treat akina dada kama sampuli. AKINA KAKA WA KIBONGO JIREKEBISHENI. kum-treat mwanamke wako mara moja moja siyo mbaya. hiyo ndo sababu tunawa-mind wapopo, acha wanukie kama popo but they are fun

    ReplyDelete
  27. Lol box in effects, ona hawa wengine atii nani wa kwanza kupata karatasi hata kama una jalada ndio utakula hayo makaratasi? Na hao wengine ushamba wa atii ku-treet who said brothers bongo hawatreet sema nyie vicheche mno. unaleta marafiki tano wakati umeelikwa wewe! shame on you well majority wa mademu wa bongo ni wapenda mteremko wachache sana they can...All the same Hongera kwa maharusi hii ni step ahead.

    Londoner

    ReplyDelete
  28. Hakuna cha gud time or funy nini mademu wa kibongo wana mind miteremko, kila cku mizinga tu wakati wajua kijana wako ni mtafutaji. Wanapenda dezo kuliko kitu chochote, hata tigo wanato ili wapate gud tyme, shame on u. tamaa zenu zinawaponza.
    Mbona hamu wachangamkii hao wazungu huko, are they not funy?
    Ushamba tu kwa hawa dada zetu.
    Hongera maharusi

    ReplyDelete
  29. Wewe unaesem madem wa kibongo tunapenda mtelemko, at wanaume wa kibongo wanapenda mtelemko mimi nimekaa na mbongo miaka 7 alikua hana kazi wala nini ninampa kila kitu, tena mimi ndio nimemleta hapa marekani nimemeliza shule nimemwambia tuoane anasema yeye bado kidogo anachofanya ni kwenda Texas kutafuta wanawake kwenye party. Hii thanksgiving party iliyopita nimefind out amekosa kitu cha kujitetea mimi sikatai kama wote tumekuja kutafuta na sio wasichana wote tunapenda kupewa nyinyi wenyewe ndio mlaharibu mnakua na wasichana kila state ndio maana tunaona akitokea mtu nje ya bongo tunaenda afadhali hata kaka zetu waliokuwepo bongo ataakicheat lazima utamfumania na wao kuoa sio kugumu nyinyi mnasingizia ugumu wa maisha kwani hao wanaigeria manaowasema hat wao wamekuja kutafuta kama nyinyi na sio wote wanaotoa pesa, kuoa au kuolewa na mipango ya mtu lakini nyinyi kaka zetu mnakimbia kama kweli mtu anakupenda na amekuoa wote mnatafuta si mnasaidiana nyinyi mnataka kuvaa vizuri kwenye club unamkuta mtu anamiaka 37 eti bado yupoyupo unasubiri nini kama unamtu wako na wote mnatafuta sasa msituseme wanawake tunapenda mtelemko tunafuata really love.

    ReplyDelete
  30. HAPO KAKA UMEMALIZA HAMNA CONFLICTS ZA MAWIFI WALA MAMA MKWE,AKIWA KABILA JINGINE WOTE HAWA HAWANA NGUVU KWENYE NDOA YENU MTAISHI KWA AMANI TELE.WALA HAKUNA CONTROL YA WAZAZI.

    ReplyDelete
  31. Mwanangu ommy umesha halalisha bongo tunakungojea DC tukupe hongera zako kwa kufikia uwamuzi ulio ufaya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...