omar na emma wakifurahi na wapambe wao kabla ya kuelekea kwenye mnuso karimjee hall
omar cisco mtiro akiwa na mai waifu wake emma wasseh-dee kofa mara baada ya kufunga pingu za maisha leo hapa dar. bi. harusi anatoka liberia (sio nigeria, samahani) na maharusi wote wanaishi new york , marekani
maharusi na wapambe wao (chini) wakiwa na wazazi baada ya kufunga ndoa. kati mwenye chunlai ni baba wa bw. harusi balozi cisco mtiro. kulia juu ni mama mzaa chema na mzee kofa kala waiti.
maharusi na wapambe wakiwa na ndugu wa bi harusi
maharusi na wazazi na ndugu

Imekaa vizuri mno...sasa ni ngoma droo, yule bitoz amemchukua Glady na sie tumefanya makamuzi kwa Chief Kofa.
ReplyDeleteYule mdafada aliyesema vidume vya kibongo havivutii kachemsha...analo baabuu
Na kweli Afrikani unioni hapo!!!lakini nani ametangulia greeni kadi???
ReplyDeleteKwa niaba ya watu wote wa hapa New York (Uptown) Hongera sana Bwana Omar Cisco Mtiro..
ReplyDeleteSasa wale wakinamama wabongo wanaosemaga ni afadhali waolewe na M-Nigeria hii ni 'counter-attack'.
Sijui mtasema nini sasa!? Wabongo mnakuja kasi.. Haya mambo ni complete 'reversible reation'.
taratibu hapo?
= = =
Buffalo,
NEW YORK
SAFI SANA OMMY, WAMACHUKUA DADA YETU LONDON, MISS TZ-UK. TUMEWALIPIZIA HAHAHAHAAA!
ReplyDeleteNaona wabongo na wanaigeria siku hizi imekua fashion!!
ReplyDeleteHongera bwana harusi na bibi harusi
Hongera Omar..karibu kwenye jumuiya ya wanandoa.
ReplyDeleteOmar na Emma hongereni sana,mmependeza mno! nawatakia maisha mema ya ndoa na Mungu awabariki.
ReplyDeleteJirani
Ndugu yangu Nshimimana aka Dumisane kuna Uptown-Buffalo na Uptown-NYC sasa sijui wewe unawakilisa wapi? Na hakuna kitu kama hicho New York(Uptown) ila kuna New York(Upstate).
ReplyDeleteHongera sana bwana Mtiro na tunakutakia heri katika ndoa yako.
ReplyDeletePlease take a good care of her.
Kama dada zetu wanatuona hatuna mpango na Wapopo wa kinigeria ndio mali kwao basi na sisi hatuna jinsi inabidi maisha yaendelee. Hakuna sababu ya kumpenda just kwasababu ni mtanzania mwenzako lakini haku-appreciate.
Naomba pia wanaume watanzania wenzangu pia kuna wanawake wazuri tu Kenya, ugali, sukuma week, dagaa, na above all kiswahili watoto wataongea. Pia ni rahisi kwenda ukweni kama michuzi anavyofanyaga. In search of love ukibahatisha TZ ni kitu kizuri lakini pia ukiona wapopo wanakura ya veto usikonde. Extend your search to nchi jirani. This works only if you are a real man, hardworking and faithful and in need of family, na mademu wa kibongo walikuona hauna mpango.
You love and appreciate and expect the same uncondtionally, suit ina label or not it does not matter. Mimi sijui kufunga neck-tie and my wife does it. And so is shoppings and so many other things. Thank you for loving me for who I am. I feel no fear no worries when I'm with you because I can be myself. You showed me the unconditional love I've never experienced before. You've changed my life and showed me the meaning of being in love.
I love you and thank you
Jamani mmependeza sana hao wanaosema umeoa mnageria huyo sio mnageria ni Mliberia, na mapaenzi hayachagui kabila ni nyinyi wenyewe maelewano hongera sana kaka yangu Omary.
ReplyDeletesasa mnatuchnganya jamani mara Mnigeria mara Mliberia tumwamini nan? ila mimi naelekea kumwamini Misupu maana waliompa hiyo picha wanafahamu ukweli.
ReplyDeleteNa kwako misupu kwa nia njema tu huyu ni mtoto (omar) wa bitozi Cisco bastola nje nje. sasa wewe unasema "maiwaifu mke wake" jamaa anaweza akafikiria una njama za kusarandia shauri yako. Usije ukasema hatukuonya. nekisti taim sema "his waifu mke wake".
kwa anoni wa pili hao sidhani kama wanahitaji greeni kadi ya kijani maana si wabeba maboksi.
Ukimwaga Mbona namwaga ugali
ReplyDeleteAa Asifiwe mwenye kuumba (Mmungu) biharusi kajaliwa sihaba mungu awape uharusi wa kudumu.mungu akubarikini lakini juu ya yote hayo mnauona mwanya wa biharusi ??unamaa yake huo hajaliwi tu mwanamke kuwa nao kwa wale wenye elimu ya kujuwa maana yake tutampongeza bwana harusi unastahiki kaka pia msisahau hapa Tz tunawanawake wazuri njooni tuwastiri ndugu na dada zetu
ReplyDeleteOmar hongera sana kwa hatua hiyo muhimu ya maisha. Nimefurahi sana nilipoona picha yako na shemeji. Please nitafurahi sana kama tutaweza kuonana uso kwa uso kabla hamjarejea NY. Mimi ni Mr. Bonney wa Forodhani Secondary enzi hizooooo! Contacts zangu ni 0717 615535 na 0754 433932. Thanx!
ReplyDeleteWajameni eeee ninaomba kuuliza swali, kwani wadada Bongo hawalipiiii. Mm hii inaniuma sana, kwani wanaume zetu wanatukimbia wanaenda kwenye jujus,sasa wajukuu watarithi mila gani.
ReplyDeleteNdoa ni safari!!!
MM
Mheshimiwa Bonney umeacha number zako kabisa?
ReplyDeleteMdau was 10:32Pm au 2232 Hours.. Tulia! Tulia!
Mi' niko Uptown-Buffalo hapa!? keyboard iliteleza.. Sijui unategemea nini hapo sasa? niseme NDIO au HAPANA?
..Anyway, sisi ni ndugu karibu sana hapa nyumbani Buffalo.. [[[ please feel at home ]]]..
= = =
Buffalo,
New York
mie binafsi nimependa hiyo mix. kuna shemeji yenu mpopo anakuja kujitambulisha muda si mrefu...kaeni mkao wa kula. NYIE ACHENI TU WA-WEST ARE SO MUCH FUN, ESPECIALLY WANAUME.....yaani you feel like you are a queen or something. mtasema mtachoka, lakini mie this time naondoka na mpopo, wabongo nishachoka kukaa jikoni kukanda chapati.
ReplyDeletehongera omary,karibu kwenye maisha yandoa.class mate wako forodhani(form 4B)enzi hizooo!!
ReplyDeleteKweli dada yangu hapo juu hata mimi sidate wabongo kabisa, nina mpopo pia watake wasitake wavulana wa kibongo bado wapo wapo tena huku kwetu uk ndio sana tu. Ukionekana na mbongo watu wanakushangaa, sisemi kama wote wabaya au vipi ila kuna wengi wao wanaogopa majukumu sorry kaka zetu .
ReplyDeleteUnajua tatizo kwa nini dada zetu wana tusagia haku majuu eti hatuna mpango? ni kwa sababu sisi wote tuna matatizo yanayo fanana. Dada zetu wanataka angalao unafuu wa maisha na angalao apate makaratasi. ukiangalia wewe mtanzania mwenzake na wewe unatafuta unafuu wa maisha na makaratasi huna, sasa hapo inakuwa tu kusukumana na maisha magumu. kwa dada zetu hali hii ni ngumu sana na hawezi kukaa anahangaika na wewe , kama wanavyo sema huna mpango. akitokea munugu au mpopo anaondoka naye, akiwa na bahati atapata makaratasi au kulipiwa kodi ya nyumba kwa kipidi chote cha mapenzi yatakavyo dumu. ndiyo hivyo tu. hakuna sababu nyingine ya kutukimbia na kutukandia.
ReplyDeleteWadau mie mshamba wa bongo naomba kuuliza, hivi kwa nini mnawaita wa-nigeria wapopo???
ReplyDeletewe call them wapopo because they smell like popos(bats)NB:na wee michuzi sikuhizi umekuwa mpopo nini ?au ndio unawafagilia na wewe kwavile unaishi bongo ambako hamna wapopo wengi???acha kubania comments zetu kuhusu hao wapopo uliza watu wanaoishi nao watakuhabarisha jamaa ni watu wa aina gani haowahalifu wakuu duniani wamejazana jela zote za duniani kuanzia asia huko china,taiwan,singapore nk ulaya ndio usiseme hadi south amerika wamejazana wao tu.bania na hii basi michuzi
ReplyDeleteWEATHER MTANZANIA AMEOA/OLEWA RUSSIA,MALAWI AU USA- FOR ME IT DOESNT MATTER AS LONG AS WATU WAMEDONDOKEANA, SOTE NI BINANDAMU NA TUSISAHAU KUWA AFRICA NI MOJA NDUGU ZANGU, HII MIPAKA ILIWEKWA NA WAKOLONI TU, AND WHO SAID LOVE CAN BE LIMITED WITH BOUNDARIES?
ReplyDeleteHii satilo ya kubebwa na mashemegi ni nzuri sana hii, kesho na keshokutwa utakuta tushaiga hii stailo mh!!!
ReplyDeleteHongereni maharusaaa, mapenzi ni maua popote huchanua, hata jangwani yapo maua jamani, msisikilize maneno ya humu almuradi mmependana kikweli. Mmependeza sana
Nionavyo mimi wanaume wa kibongo sasa inabidi tuwe Pimp for dada zetu kwa wapopo wa kinageria. Tunawakosa vipenzi vyetu lakini angalau tutaambulia kifutia machozi na bado tutakuwapo kwenye loop.
ReplyDeletehii message hususani kuhusu akina kaka wa kibongo. mie nakubaliana sana tu na wadada hapo juu kuhusu wapopo. nyie acheni tu wapopo wana good time si mchezo, i don't care kama wanaishia jela. starehe yao ni babkubwa! hawa akina kaka wa kibongo bado wapo wapo tuuu. hata kama mnapendeza, sasa ndiyo mnawa-treat akina dada kama sampuli. AKINA KAKA WA KIBONGO JIREKEBISHENI. kum-treat mwanamke wako mara moja moja siyo mbaya. hiyo ndo sababu tunawa-mind wapopo, acha wanukie kama popo but they are fun
ReplyDeleteLol box in effects, ona hawa wengine atii nani wa kwanza kupata karatasi hata kama una jalada ndio utakula hayo makaratasi? Na hao wengine ushamba wa atii ku-treet who said brothers bongo hawatreet sema nyie vicheche mno. unaleta marafiki tano wakati umeelikwa wewe! shame on you well majority wa mademu wa bongo ni wapenda mteremko wachache sana they can...All the same Hongera kwa maharusi hii ni step ahead.
ReplyDeleteLondoner
Hakuna cha gud time or funy nini mademu wa kibongo wana mind miteremko, kila cku mizinga tu wakati wajua kijana wako ni mtafutaji. Wanapenda dezo kuliko kitu chochote, hata tigo wanato ili wapate gud tyme, shame on u. tamaa zenu zinawaponza.
ReplyDeleteMbona hamu wachangamkii hao wazungu huko, are they not funy?
Ushamba tu kwa hawa dada zetu.
Hongera maharusi
Wewe unaesem madem wa kibongo tunapenda mtelemko, at wanaume wa kibongo wanapenda mtelemko mimi nimekaa na mbongo miaka 7 alikua hana kazi wala nini ninampa kila kitu, tena mimi ndio nimemleta hapa marekani nimemeliza shule nimemwambia tuoane anasema yeye bado kidogo anachofanya ni kwenda Texas kutafuta wanawake kwenye party. Hii thanksgiving party iliyopita nimefind out amekosa kitu cha kujitetea mimi sikatai kama wote tumekuja kutafuta na sio wasichana wote tunapenda kupewa nyinyi wenyewe ndio mlaharibu mnakua na wasichana kila state ndio maana tunaona akitokea mtu nje ya bongo tunaenda afadhali hata kaka zetu waliokuwepo bongo ataakicheat lazima utamfumania na wao kuoa sio kugumu nyinyi mnasingizia ugumu wa maisha kwani hao wanaigeria manaowasema hat wao wamekuja kutafuta kama nyinyi na sio wote wanaotoa pesa, kuoa au kuolewa na mipango ya mtu lakini nyinyi kaka zetu mnakimbia kama kweli mtu anakupenda na amekuoa wote mnatafuta si mnasaidiana nyinyi mnataka kuvaa vizuri kwenye club unamkuta mtu anamiaka 37 eti bado yupoyupo unasubiri nini kama unamtu wako na wote mnatafuta sasa msituseme wanawake tunapenda mtelemko tunafuata really love.
ReplyDeleteHAPO KAKA UMEMALIZA HAMNA CONFLICTS ZA MAWIFI WALA MAMA MKWE,AKIWA KABILA JINGINE WOTE HAWA HAWANA NGUVU KWENYE NDOA YENU MTAISHI KWA AMANI TELE.WALA HAKUNA CONTROL YA WAZAZI.
ReplyDeleteMwanangu ommy umesha halalisha bongo tunakungojea DC tukupe hongera zako kwa kufikia uwamuzi ulio ufaya.
ReplyDelete