Home
Unlabelled
pool table
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hahahaaaa, sio mchezo.
ReplyDeletebaaaaaaaaaaabu kubwa nimelipenda sana
ReplyDeletekudadeki kweli bongo hakuna kisichowezekana sasa imebaki kuifungulia casino ya asili
ReplyDeleteThat's what we call creativity. Sio kama watoto wetu wengine hapa kila kitu kipo ready made , ubongo hautanuki, siku wakikutana na mazingira magumu wanahaha.
ReplyDeleteNdio hapo walikoanzia hao wabeba maboksi kabla kutoroka kwenda ughaibuni...asili yenu ndio hapo babu....niga wala hajui katoka ukoo gani lakini nyie waosha vyombo ndio hapo...msione aibu!!!
ReplyDeleteHAWA JAMAA NIMEWAPENDA SANA SIYO KWAMBA HAWANA PESA YA KUNUNUA POOLTABLE BALI WANATAKA KUONYESHA KWAMBA INAWEZEKANA KUTENGENEZA WENYEWE VITU KAMA HIVYO BADALA YA KUENDEKEZA USINGIZI TU TUKISUBIRI KILA KITU KUTOKA NJE. SHAURI YENU IMPORTERS MIMI NIMEKWISHA WAAMBIA TOKEA JANA KWAMBA NIMEANZA OPERATION YA KUDISKAREJI KUNUNUA BIDHAA TOKA NJE(HASA WAKENYA NA MATUSI YAO) AMBAZO HATA SISI TWAWEZA KUTENGENZA. KWA MFANO NIMEPIGA CHINI KUONA NDANI KWANGU MIJUISI SIJUI YA DELMONTE, CERES AU JOOS WAKATI HUO HUO KUNA MATUNDA SOKONI TENA NATURAL. WABONGO TUAMKE
ReplyDeleteTuache sasa na kuvaa hayo majeans yao ya LEVI`S na LEE tuvae suruali za vitenge na mashati ya khanga mbona tuna mafundi vyerehani wazuri tu,au kunywa coca cola na pepsi bora tunywe togwa tu na kusoma tusomeshe watoto wetu veta na DIA sio havard sijui wapi huko...tuone itakuaje muziki tunasikiliza msondo na juma nature hamna 50cent wala britney spears cinema tusiangalie za hollywood
ReplyDelete