Brother Issa.
Mr. M. Msemo nampongeza mai waifu wangu Mariam Shomari Mgowa kwa kufanya Birthday yake salama na ninamtakia X- Mass na Mwaka mpya mafanikio tele.

Kwa Kushirikiana na Brother Issa Michuzi kwa kutusaidia sana tena sana kwani hii BLOG NI YA UKWELI.
Mimi na wana BLOG wenzangu tunakutakia mafanikio tele na kutoa mashindano yako ambayo yako Kitaalam zaidi utuwekee mengi. Tukipata habari NEW tutakutumia ili na sisi wenzetu waweze kusoma.

SHIME wana blog Tushikamane Kum-support Brother Issa Michuzi ili aweke mambo fresh zaidi ya hapa.

Tunaomba kama kuna uwezekano sisi wadau unaweza kututengenezea fulana tutanunua lakini ziwe za kiwango kama BLOG YAKO ok.

Kwa hayo napenda kuwashukuru wadau wenzangu pamoja na wewe nawatakia mafanikio mema katika X - MASS na MWAKA MPYA

Email:masqtz@yahoo.com
----------------------------------------------
Mdau Msemo
Kwanza nampongeza sana mai waifu wako kwa kusherehekea sikukuu ya hepi bethdei yake salama. Pili natoa asante kwa salamu za Noeli na Mwaka mpya pamoja na ujumbe ulioambatana nao. Nashukuru sana kwani wadau kama nyie ndio pumzi ya globu hii ya jamii. Asante sana sana
-Michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. huyu dada namba ya simu hana manake hata kama hujui kusoma lkn unjuwa kinaendelea nini atuaptie namba ya simu tusiweke usiku

    ReplyDelete
  2. halafu atalia badala ya kushukuru watu wakimsaidia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...