Meneja Uhusiano wa Zain Tanzania, Beatrice Mallya (kulia) akipokea cheti kutoka mwa Mkurugenzi Mtendaji wa Zain Tanzania Khalid Muhtadi baada ya kuibuka mfanyakazi bora wa kitengo cha uhusiano wakati wa hafla ya wafanyakazi wa Zain kuuaga mwaka 2008, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam wiki hii.
Meneja Uhusiano wa Zain Tanzania, Beatrice Mallya (kulia) akipokea cheti kutoka mwa Mkurugenzi Mtendaji wa Zain Tanzania Khalid Muhtadi baada ya kuibuka mfanyakazi bora wa kitengo cha uhusiano wakati wa hafla ya wafanyakazi wa Zain kuuaga mwaka 2008, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam wiki hii.

WHATS UP WITH THE BOOTS WHEN PEOPLE ARE COMPLAINING HOW HOT DAR IS?
ReplyDeleteHi Beatrice
ReplyDeleteHongera dada kwa kupewa zawadi ya mfanyakazi bora najua lazima iwe hivyo kwani unakumbuka zile shughuli za kifungilo zinatufundisha mambo mengi tumshukuru sister Fide japo tulikuwa tunaumia lakini hayo ndiyo matunda yake hongera mpenzi ni tunakupata vilivyo huku na hiyo ngoma nafikiri unakumbuka kifungilo miaka ya 1994 kama sikosei big up shost
Mie Namefika kwa huyo bi Hilda, naona binti mungu amekujalia.Umbo na courage pia.mmh kweli fimbo ya mbali haiuwi nyoka.
ReplyDeleteAnon wa kwanza kabisa hapo juu... Nakuunga mkono, mguu, shingo na kila kitu. Huyo dada wa Mabuti kweli jamani hata hapa Bongo unatuvalia mabuti pia. Mbona unatuaibisha. Sasa na walio Marekani huko kwenye Winter wavae nini. Jamani... hivi Bongo nako kuna baridi kiasi cha kuvaa buti au ni kuiga walio nchi za nje? Au kuna hata snow siku hizi mie sijui... Naomba nifahamishwe!
ReplyDeleteThis is too much!!! Michuzi hebu elimisha ndugu zetu basi maana na wewe safari za Ukerewe unazipiga sana mzee!!
we mwanamke acha ushamba bwana mbona unajidhalilisha hivyo joto lote ilo boot miguni za nini, acheni ushamba bongo mbona joto ndio lina viwalo kibao na bongo sasa hivi tambalale sasa we inakuwaje shoga mbona unakuwa kama mgeni wa mambo
ReplyDeleteHilda Nakajumo!! Umependeza dada!!
ReplyDeletehuyo aliyevaa mabuti ukiangalia sana atakuwa mchaga huyo
ReplyDeleteNYIE SEMENI YOTE MWENZENU NDO ANAPETA NA USHAMBA WAKE,AJIRA SAFI NA MSHAHARA MNONO NYINYI JE?NYIE SI MPO KWA AJILI YA KUANGALIA MAKOSA!!
ReplyDeleteheheheh nyie watu nyie ati mchagga.....
ReplyDeleteNa boots zake kaletewa zawadi au ni sagura sagura sasa mnategemea ata vaa wapi
Na anayesema mishahara minono who knows it is true lakini watu hawahami kwa baba. I don't get that.....Mishahara minono waishi wenyewe basi. Mpiga box mashuhuri lakini nina kwangu. Summer nilikua bongo rafiki zangu bado wanaishi kwa baba zao. Wanalalia chumba kile kile walichokulia.
Wazuri wa kulemea wengi ni maeneo ya upanga, masaki, kimara na Obay. Tokeni kwa wazazi basi kama mnamake good money. Hamtaolewa mkikaa kwa wazazi jamani.
WE INAONEKANA UMESAHAU MILA ZETU MWANAMKE AONDOKI NYUMBANI MPAKA AOLEWE,NAFIKIRI NDO MAANA BADO WAKO HOME.
ReplyDeletedangio kaniki ndie aliyesomaga zanaki au majina yanafanana??kama ni yeye amerudi lini bongo? si alikuwa ughaibuni? poa dada mungu akujalie udumu katika ajira.
ReplyDelete