amiri jeshi mkuu JK akirudi jukwaa kuu baada ya kukagua gwaride la kusherehekea miaka 47 ya uhuru leo pale neshno ya zamani/ kulia ni mkuu wa majeshi jenerali davies mwamunyange
msafara wa JK ukiingia neshno
msafara
msafara wa JK ukikaribia lango kuu neshno
watoto 1000 wa shule za msingi za dar wakifanya halaiki
fanya fujo uone wakipiga kwata
neshno ilivyoonelakana leo
wanamaji wako smati
jukwaa kuu
hapa ni mwendo wa bata mzinga
jukwaa kuu
ngoma toka kagera
ngoma toka mara
wadau walihudhuria kwa wingi gwaride la uhuru
halaiki ya kukata na shoka ya watoto 1000 wa shule za msingi















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Rais wangu anapendeza walinzi nao pia. Watu wanapendeza wanafurahi 'uhuru' ambao tunao kwa mara ya 47 sasa. ni jambo zuri na linalopendeza sana Mkuu. Lakini mkuu naomba kuuliza 'hivi uhuru unamaana gani kwetu'? uhuru kwetu upo vipi?

    ReplyDelete
  2. kaka,asante kwa hizi picha.
    ni mimi mama nanii,dc.

    ReplyDelete
  3. Naomba kuuliza mbona sijamuona, Muheshimiwa Rais mstaafu Mkapa!
    alikuwepo?

    Mdau!

    NB:
    USIWEKE KAPUNI MAANA NAONA SIKUHIZI UNAFUNIKA SANA!

    ReplyDelete
  4. Markus Mpangala subiri waKenya wachukue ardhi na nachi yetu ndio utajua kuwa uhuru kwetu uko au ulikuwa vipi! Umezaliwa miaka ya 80 nini?

    ReplyDelete
  5. Kikwete, bwana! Nimeliona BMW...

    ReplyDelete
  6. Wow hizi picha ni nzuri saana we acha tuu. Maana kila mtu kapendenza, uwanja ndio usimee. wow you guys, you look awesome. Mungu ibariki Tanzani, viongozi wak, na watu wake woote.

    ReplyDelete
  7. What's up with those dudes on the roof?? What's goin on??

    ReplyDelete
  8. Michuzi bwana Mchokozi!

    Yaani umeweka hizo BiEmDabliyu makusudi ili tuanze kujadili matumizi ya pesa za kununulia hayo magari sio.

    Shauri zako. Mi simo.

    ReplyDelete
  9. hao jamaa huko juu ya paa wanafanya nn tena mwenye jibu atumegee ufafanuzi jamani

    ReplyDelete
  10. Hivi hao jamaa waliosimama pembeni mwa hilo X6 kazi yao nini?

    ReplyDelete
  11. Hey anony wa 2:51,hiyo ni X5 mkuu na wala si X6...BMW X6 haliko hivyo...angalia www.bmw.co.uk

    ReplyDelete
  12. Hao waliovaa suti huko kwenye paa ndio Secret Service wetu...JK ana roll Kimarekani.

    ReplyDelete
  13. huyo jamaa aliyesimama kwenye step bar(ubavuni) ya hilo X5 ipo siku atavunja mguu,hiyo sio 110 landrover kwamba step bar itadumu milele.hiyo gari ni very delicate haitaki hiyo mikiki yote,ahsante.

    ReplyDelete
  14. Kwa nini wananunua vitu vya zamani?

    ReplyDelete
  15. ikibomba na anon wa ..watu wamesimama kwenye bawa za ndege inaruka huko cuba asivunjike ije iwe hapo e bwana usi muone vile kuchaguliwa pale si mchezo....

    ReplyDelete
  16. hao walioning'inia ubavuni wanaharibu hizo gari na baadaye itawa cost kulipair hiyo SUNROOF RAIL na STEPBAR,kwani hao jamaa kilo zao si mchezo(90kg)na kuendelea na hivo vitu ni kwa ajili ya mapambo na hiyo si kazi yake wamebuni wenyewe.WALENGWA JARIBUNI KUZINGATIA HILO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...