Home
Unlabelled
shinyanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Daah Michu!! UMENIKUMBUSHA mbali.. ungekuwa na muda ningeomba uende mji wa Mwadui mgodi maarufu wa Almasi Duniani. utupatie hata picha ...sijui kama mji huo bado upo au ndio ulishakula nyundo na wachimbaji..kwa wale waliobahatika kuisha hapo miaka ya Sabini mpaka mwanzoni mwa 80s MTAKUBALIANA NAMI, Mgodi huo ilikuwa Ulaya ndogo , kuanzia life style,public services mpaka mandhari ya mji. nakumbuka enzi hizo Mwadui walikuwa na ndege zao ..gharama ilikuwa shilingi 200 toka MWADIU MPAKA DAR kwa wafanyakazi ..
ReplyDeleteHapo sawa misupu. Ukitoka hapo uende na kwenu upige picha utwekee tuone!!!
ReplyDeletemichuzi hapo ni maganzo umenikumbusha mbali saaaaana ndugu yangu mwishoni wa miaka ya 90 nilikua naenda mnadani kila jpili enzi hizo ndio maganzo imeanza kutema,,,tunakushukulu kwa kutukumbuka na huko kwetu..1
ReplyDeletethanx for the memories.
ReplyDeleteHivi jamani kitako cha baiskeli kinaweza kutia sugu nn....???. Nauliza tu naomba mnitoe tutani
ReplyDeleteKwa picha hii Michu imetoa neno.
ReplyDeleteKumbe kweli mvumilivu hula mbivu. Ningekuwa nimeshalalamika zamaniii. Mbona kwetu huwa hupatoi. Safi sana mwanangu!
Kula tano kabisa!!!
Hapo ndi kwetu hivyo. Tunaanzaga kuendeshaga baiskeli ukiwa na miaka 5 na unaanzaga kabisa kusomba maji kutoka mtoni ukiwa mdogo, unabeba makorondo matatu. Hapo nakwambiaga na hata shule haipandi. Msichana au mwanamke kama hujui kuendesha baiskeli utajiju. Mwanaume haendagi kuchota maji au kusaga unga, maana mashine kwa kawaida ziko mbali-kwenye center tu. Sasa usipojua kunyonga kiuno ujalibeba debe na kuhesabu hatua hadi mashineni.
Yaani natamani niendelee kuandikaga tu hapa.
Misupu safi sana kakangu!
anon wa dec 01'6:56 kweli wewe ni msukuma UNAANZAGA,NAKWAMBIAGA,KUANDIKAGA.
ReplyDeleteFaida za madini hizo.
ReplyDeleteKIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Wazushi mjinyonge.
Umenikumbusha enzi za Shycom & Shybush miaka ya 80s. Kulikuwa na group ya vijana wa kisukuma pale mjini walikuwa wanajifanya wanazo sana- Makunes etc. Dada zetu wengine walishindwa kuendelea na shule kwa kudanganywa na vijisenti vyao. Likizo walalahoi tukirudi kwa gogo 3rd class mpaka makwetu au Tanganyika bus, wenyewe walikuwa wanakatiwa tickets za pipa, lakini baada ya kuspend few days Shy. Lakini hizi shule zimetoa watu wenye kazi nzuri ktk mashirika mengi. ECA ilikuwa SHYCOM tuuuu!!
ReplyDelete