leodegar chilla tenga na mpinzani wake jamal malinzi wakishangilia wakati wa kutangazwa matokeo muda mfupi uliopita ambapo tenga kamshinda malinzi kwa kupata kura 68 kwa 39 katika ukumbi wa nssf waterfront dar.
mgombea wa nafasi ya urais njamal malinzi na mgombea wa makamu wa pili wa rais ramadhan nasib kabla ya uchaguzi kuanza
gemu ni dakika 90 n jamal malinzi anakubali matokeo ya kushindwa na tenga kwa kura 68 - 39





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Hongera sana Sir Tenga huyu Malinzi alikuwa anatutia kiwewe kwa kampeni zake. Mungu ibariki bongo. Huko mbeleni tutakufanyia vitu uwe waziri wa michezo.

    ReplyDelete
  2. Nilisema hawa wajumbe wa TFF siyo wa kuwaamini kabisa. Malinzi amepata kura nyingi sana ukilinganisha na utendaji wa Sir Tenga. Ilibidi apante kura moja kama Mwanakatwe. Ndolanga angeweka jina lake humo pengine angeshinda. Hongera Sir Tenga.

    ReplyDelete
  3. Hongereni sana, ni jambo zuri na furaha kuona uchaguzi umekamilika kwa amani na walioshinda na kushindwa ni vizuri wakashirikiana kwa pamoja katika kufanya yale yaliyobora kwa wapenda soka wa Tanzania.
    Hongera sana Tenga na wenzako. Pia Hongera sana Michuzi kwa kuwa mstari wa mbele kutupatia habari kila zinapolipuka.

    ReplyDelete
  4. Wadau, hii habari mbona sijaiona CNN?

    mdau, zero

    ReplyDelete
  5. Malinzi umefanya kosa sana, ungegombea Umakamu ungesaidia sana, hakukuwa na sababu ya kumtoa Tenga. Sasa angalia hao waliochukua nafasi za Umakamu, mimi sidhani hata kama wanaweza kuzungumza Kiingereza wakienda FIFA. Hii inatia hasira sana.

    ReplyDelete
  6. Stori hii haihusiani na picha!

    Kwenye mkutano wa kuuaga Iraq na waandishi wa habari, mwanahabari mmoja alivua viatu vyake na kuvivurumisha kwa Rais Bush kwa minajili ya kumpiga. lakini Rai Bush kavikwepa vyote viwili!

    ReplyDelete
  7. Naomba kuuliza tenga ni yupi na malinzi ni yupi?

    ReplyDelete
  8. Hongera Tenga kwa ushindi bila ufisadi, kura za mafisadi zimeleta ushindani kiasi lakini siku zote mtoto hulala na nepi tu siyo pesa.
    Mungu ibariki Bongo yetu.

    ReplyDelete
  9. HONGERA TENGA, ziba makorongo kwa ajili ya awamu hii mpya.

    ReplyDelete
  10. Hongera Bwana Tenga ila kazi kubwa uliyonayo ni kuhakikisha mpira wa Tanzania unaingizia nchi hela. Kivipi? Tuna uwanja mzuri sana wa mpira now that 2010 worldcup itakuwa South Africa many European teams cant cope with the weather in Africa and would need a ground to pre exercise before the finals. Safiri nje ya nchi wauzie wazo la wao kukodi uwanja wetu mpya for dollars na hizi dollars ziwe accounted for jamani.

    Pili, TFF ina hela financini matangazo na vipindi kupitia TAMWA, TWAWEZA and the like vitakavyoleta mabadiliko nchini.

    Tatu,nipeni nafasi mimi mwanamke nisikike. mtoe ideas za wanawake pia kuwa members hapo au Tanzania haina timu ya wanawake wanaocheza mpira? nitafurahia kupata fidibaki kupitia hii email:mikasayambongo@yahoo.com

    ReplyDelete
  11. Hongera Bwana Tenga.Kuna points alikuwa anaziongea Bwana Malinzi wakati wa kampeni zake,baadhi ni logical.Si vibaya ukazifanyia kazi,ndani ya siku zimempatia kura 38+1 ya kwake!!!

    ReplyDelete
  12. Hongera Saaaaaaaana Kaka Tenga...

    Kaka wa Kichagga aliyekulia hapo mjini moro kasoro bahari...

    ReplyDelete
  13. Jamani natafuta namba ya Jamal Malinzi mimi ni shemeji yake nipo US.Naomba mwenye mawasiliano naye anisaidie.Thanx

    ReplyDelete
  14. unayetaka number ya jamal malinzi piga simu kwa wandishi wa michezo gazeti lolote watakupa au website ya TFF chukua namba ya mwakalebela.www.freemedia.co.tz utaona majina ya waandishi wa michezo kama dina Ismail au Makubuli Ali.
    hongera Nyamlani na Nassib.jamani ila TENGA hatupi hesabu za mapato na matumizi ya TFF tuwe macho kwani mwenzetu ni mtu wa kilimanjaro tuwe makini kwenye pesa za timu ya taifa na mapato ya uwanja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...